Ugonjwa wa mnyauko wa majani ya viazi mviringo

Ugonjwa wa mnyauko wa majani ya viazi mviringo

Dasizo

Senior Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
173
Reaction score
413
Wadau, naombeni kuuliza ugonjwa wa mnyauko wa majani ya viazi mviringo unasababishwa na nini na tiba gan iinahitajika?

IMG_20170718_101025.JPG
 
hebu ng'oa mche mmoja uangalie hali ya mizizi ipoje then lete tena picha hapa
 
Kuna mtu kapita na Bomba ya gramasoni nini au Kuna mkono wa mtu ndugu pole sana
 
Back
Top Bottom