Ugonjwa wa Ngiri (Hernia), Dalili na tiba yake

Mzizi mkavu una dawa ya hydrocele?
 
Me kuna dawa nilitengenezewa na bibi yangu mwaka wa NNE sasa Niko pouwa maana a-level ilinisumbua saana nnayo hadi Leo ni ya miti Shamba lakini
Je unaweza nisaidia na mie iyo dawa
 
Mnasumbuliwa na hili tatizo nashuhudia kweli zipo dawa za kiswahili zinatoa uvimbe ule uvimbe na unajihisi kupona labisa. Mm nilinunua kwa elf 6 tu. Sifanyi marketing au promotion ukihitaji nakuagizia jina ukatafute na wewe. Sijui kuapload picha ningeweka lile box lake humu
 
Naomba msaada wako mkuu
 
Hello!
Mimishida yangu bhana nilikua nataka kujua Kuna shida frani inanisumbua mwilini mwangu yani kuna wakat mshipa wa kitovu unauma Kama nachomwa sindano Muda mwingine Kolodani zinaweza kuanza asubuh mpaka jioni zinauma tu Pia Tumbo Chini ya kifua linauma Sana yani likianZa kuuma linaambatana na ges sasa cjui linaweza kuwa Tatizo gani?

Kuna mtu kaniambia kuuma Kwa Kolodani na kitovu huwa inakuaga ngiri sasa cjui Ni kweli?

Msaada jamani!
 

Mkuu Laiswa, tueleze hiyo tiba ya Kiswahili dhidi ya ngiri. Utakuwa umesaidia wengi sana hapa jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…