Ugonjwa wa Ngiri (Hernia), Dalili na tiba yake

Ugonjwa wa Ngiri (Hernia), Dalili na tiba yake

Habari wana-JF

Nasumbuliwa sana na ugonjwa wa mshipa wa ngiri, kiingereza wanaita henia(haiandikwi hivi kizungu), but concept, tangu nikiwa mdogo na daktari mmoja hospital ya kitete Tabora alithibitisha nina hernia na alishauri ukinishika gafla nipelekwe hosp kwa ajili ya kufanyiwa oparesheni.

Leo ni siku ya tano umenishika, naumia sana tumbo mkono wa kulia karibu na nyonga nimekwenda hospitali wamenifanyia ultrasound wanasema sio hernia ila ni Kidney enlarged with severe hydromephosis wamenipa dawa lakini za kumeza lakini bila bila no changes sasa wataalam wa hernia naomba msaada nitumie dawa gani japo na ile niliyopewa hospitali natumia?
Chemsha Majani ya Mwarubaini unywe kikombe 1 asubuhi mchana na usiku utapata nafuu.Ukitaka Kulimaliza hilo Tatizo kabisa nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia upone na upate kusahau kabisa hayo maradhi yako.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Habari wana-JF

Nasumbuliwa sana na ugonjwa wa mshipa wa ngiri, kiingereza wanaita henia(haiandikwi hivi kizungu), but concept, tangu nikiwa mdogo na daktari mmoja hospital ya kitete Tabora alithibitisha nina hernia na alishauri ukinishika gafla nipelekwe hosp kwa ajili ya kufanyiwa oparesheni.

Leo ni siku ya tano umenishika, naumia sana tumbo mkono wa kulia karibu na nyonga nimekwenda hospitali wamenifanyia ultrasound wanasema sio hernia ila ni Kidney enlarged with severe hydromephosis wamenipa dawa lakini za kumeza lakini bila bila no changes sasa wataalam wa hernia naomba msaada nitumie dawa gani japo na ile niliyopewa hospitali natumia?
We jamaa unaendeleaje?
 
Me kuna dawa nilitengenezewa na bibi yangu mwaka wa NNE sasa Niko pouwa maana a-level ilinisumbua saana nnayo hadi Leo ni ya miti Shamba lakini
 
Chemsha mizizi ya mbuyu isipopata nafuu nahamia CCM
 
Ndugu wana JF niko serious na wala ctanii, na naombeni mnipe ushauri utakaonisaidia mwenzenu. Imetokea kuwa nasumbuliwa na ugonjwa wa ngiri na hapa nilipo nackia maumiv c kawaida. Imepelekea mpaka sehemu 1 ya yai la kushoto kwenye uume ina mishipa yenye uvimbe najihic ni utumbo umezama huko nikishika. Nilienda hsptl doctor akanipa 2 vidonge ambavyo havikunisaidia. NAOMBENI USHAURI KWA ANAEJUA DAWA YAKE NIWEZE KUPONA MANAKE NIMEKATA TAMAA YA KUPONA. Nakaribia mwaka nikiwa na haya maumiv.
Mkuu umetibiwa
 
Wakuu samahani naomba kuuliza, hivi ugonjwa wa ngiri unaweza kusababisha mgonjwa akashindwa kukaa na kupata maumivu kiuononi?
 
Back
Top Bottom