Ugonjwa wa Ngiri (Hernia), Dalili na tiba yake

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] wacha fujo zako

ugonjwa huu unazibeba kirodani nje zinakoning'nia na kuzificha ndani haswa nyakati za baridi na kusababisa maumivu makali sana. Kwa wanawake sijui labda wale wanawake waliotunukiwa korodani wanaweza kuupata [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Jomoni kuna wanawake wana korodani
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] wacha fujo zako

ugonjwa huu unazibeba kirodani nje zinakoning'nia na kuzificha ndani haswa nyakati za baridi na kusababisa maumivu makali sana. Kwa wanawake sijui labda wale wanawake waliotunukiwa korodani wanaweza kuupata [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Hata mwanamke anaweza kuugua hernia
 
Habari wana-JF

Nasumbuliwa sana na ugonjwa wa mshipa wa ngiri, kiingereza wanaita henia(haiandikwi hivi kizungu), but concept, tangu nikiwa mdogo na daktari mmoja hospital ya kitete Tabora alithibitisha nina hernia na alishauri ukinishika gafla nipelekwe hosp kwa ajili ya kufanyiwa oparesheni.

Leo ni siku ya tano umenishika, naumia sana tumbo mkono wa kulia karibu na nyonga nimekwenda hospitali wamenifanyia ultrasound wanasema sio hernia ila ni Kidney enlarged with severe hydromephosis wamenipa dawa lakini za kumeza lakini bila bila no changes sasa wataalam wa hernia naomba msaada nitumie dawa gani japo na ile niliyopewa hospitali natumia?
 
Nenda hosp kubwa zenye wataalamu na vifaa vikubwa vya kupimia kama Muhimbili,recency,Robininsia hizo ni nzuri mno na unatumia bima NHIF na Agakhan ya dar lakini haitumii bima huko mikoni siku hizi tunaenda kama ni emergency imetokea au minor illness vinginevyo ni huko nilikotaja kuokoa maisha yetu kama Mungu bado hajakuhitaji
 
Habari wana-JF

Nasumbuliwa sana na ugonjwa wa mshipa wa ngiri, kiingereza wanaita henia(haiandikwi hivi kizungu), but concept, tangu nikiwa mdogo na daktari mmoja hospital ya kitete Tabora alithibitisha nina hernia na alishauri ukinishika gafla nipelekwe hosp kwa ajili ya kufanyiwa oparesheni.

Leo ni siku ya tano umenishika, naumia sana tumbo mkono wa kulia karibu na nyonga nimekwenda hospitali wamenifanyia ultrasound wanasema sio hernia ila ni Kidney enlarged with severe hydromephosis wamenipa dawa lakini za kumeza lakini bila bila no changes sasa wataalam wa hernia naomba msaada nitumie dawa gani japo na ile niliyopewa hospitali natumia?
Umejuaje ni henia?
 
Nmejua ni hernia kwa sababu tangu nmeanza kuumia tumbo, hata korodani hazionekani
 
Kama pumb.u haziina maumivu huenda siyo hernia kweli, usiwabishie madaktari
 
Back
Top Bottom