Haya ni magonjwa mawili tofauti.Kwa Bantu stock inaitwa sickle cell na kwa semites inaitwa spherocytosis. .
Pia hizi Sicked red cells, zikipita kwenye spleen (=sijui ndo bandama), zinaharibiwa.
In short, the life span of these cells are markedly reduced.
Mgonjwa aweza kuonyesha dalili za upungufu wa damu(anemia). Ikumbukwe huu ugonjwa pia hujulikana kama SICKLE CELL ANEMIA.
Mahitaji ya kuongezewa damu mara kwa mara hutokea hasa utotoni.
Kutokana na shape yao, hizi sikled red cells zinapopita kwenye mishipa myembamba sana ya damu(capillaries), zinashindwa kupenya kwa urahisi, hivyo zinakwama na kuziba mshipa.
Kinachoendelea baada ya blockage, u can guess!!
No oxygen delivery to the tissues at the periphery.
Chakula/nutrients can not reach tissues at the perphery.
As a result, they literary suffocate to death.
The process can occur at any part of the body: mapafu, mifupa( ndo common sana), tumboni, brain, n.k, n.k.....
Spelled:
Sickle Cell Disease.
@watu8 samahani nilikosea Kichwa cha maneno (ZeruZeru) badala ya kuweka ( Anemia ya Sickle Seli) samahani.Mzizi Mkavu, kuna uhusiano gani kati ya Zeruzeru na Sickle Cell?...nijuavyo upungufu wa kiini cha rangi ngozi "melanin" ndio hupelekea mtu au kiumbe jamii ya wanyama au wadudu kuwa zeruzeru.
@Luushu Kichwa cha maneno ni Anemia ya Sickle Seli sio Zeruzeru Samahani kwa usumbufu.Hapo MZIZI MKAVU umenichanganya nimeshindwa kukuelewa unamaana zeruzeru ana sikoseli au Zeruzeru ni tatizo tofauti na sikoseli fafanua mkuu