Kwa ujumla maelezo yako yote sioni pointi yeyote ya kumsaidia ndugu yetu.
Hata kama huna imani ya dini yeyote, bado sidhani pia kama upo vizuri kwenye sayansi ambayo watu wake hufikia pointi ya kusema 'unknown cause' kwa maajabu yeyote yanayotokea. Wanaamini kuna kisababisho ila hawakijui.
Hakuna ugonjwa wowote katika dunia hii ambao hauwezi kutibiwa kwa maombi kwa MUNGU BABA (hii inategemea na imani yako Kwake na neema Yake)
Huyo mtoto anaweza akapona kabisa aisee! Nina uhakika katika hili. Ni kumuamini MUNGU.
Mzazi wa mtoto aliuliza diet na sio kama kuna tiba. Ila ulichonikera ni kuanza na maelezo yako kwamba huo ugonjwa hauna tiba. Hapa nakubaliana na msemo usemao, "If you have anything nice to tell someone, tell nothing"