Yule anasumbuliwa na mawili, la kwanza ni njiti na pili ni sickle cell.
Dah ndio maana ni mtu wa makamo asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule anasumbuliwa na mawili, la kwanza ni njiti na pili ni sickle cell.
Nakushukuru sana ndugu kwa sababu hayo ni maoni yako na sina tatizo nayo..
Ila nakushauri ujitahidi kujibu hoja kwa kutumia hoja badala ya kuingiza emotions kwenye mambo ambayo ni ya kisayansi.
SCD ni genetically inherited na hakuna tiba...kama ipo basi tueleze.
Nimetoa maelezo yangu kwa misingi ya kisayansi na siyo kwa lengo la kumpa mtu faraja hewa kama unavyotaka wewe. Endapo nimetoa taarifa za uongo au nimekosea mahali basi unatakiwa kunipinga kisayansi. Mbali na hapo ni porojo tu.
Mkuu Babu Dc ameelezea kisayansi kwamba hakuna tiba ya sickle cell na nijuavyo mimi yuko sahihi kabisa. Magonjwa mengi ya kurithi ambayo hayana tiba wataalamu wameelezea namna ya kuishi nayo na ndio babu anajitahidi kuelezea .
Bahati mbaya watu wa kiimani zaidi huwa hamjui mateso anayopata mgonjwa na ndo maana mnarahisisha mambo magumu kuwa mepesi. Nina Athma ya kurithi upande wa baba yangu , ambayo iko very systematic katika kuchagua family victim(i.e mjukuu wa kwanza wa kiume kutoka mtoto wa kwanza wa kiume) nakumbuka kuna mawaka nusura nipoteze maisha !niliombewa kwa masaa 8 nikiwa katika full athma attack ,baadaye hali ilizidi kuwa mbaya ,someone katika lile group la wana maombi aka suggest nichomwe sindano ya amminophyline ,ndio ikawa bahati yangu.
Uko kiimani zaidi ya kujipa matumaini yasiyofahamika !siwezi kukudharau wala kukupinga, chance za kupona kiimani zipo japokuwa si kwa asilimia nyingi .Hali halisi ni kuwa dunia hii ya leo sayansi ndo ina determine our future hayo ya kiimani yanafuata baada ya science kushindwa .
Ulishawahi jiuliza kwa nini watu waliokwenda kwa babu loliondo hawakupona na wengi walipoteza maisha ! Jibu ni kuwa waliweka pembeni majibu ya kisayansi waka deal na walichokiamini!
Hizo siyo emotions ndugu yangu. Ni reality.
Scince haijawahi kuweza kutoa majibu ya vitu vyote hapa duniani.
Jaribu na kusoma vitabu vya madaktari wakubwa kama Ben Carson na wanasayansi wengine waliofikia point ya kukubali GOD's existence.
Ndugu yangu, nimewahi kupona ugonjwa ambao madaktari hawakuona haya kuwaambia wazazi wangu kwamba hakuna tiba.
Hakuna mtu asiyekuwa na imani hapa duniani. Hata kuamnini katika science 100% ni imani pia
The fact kwamba ulipona, tukipeleka wagonjwa 100 kwa huyo Pastor aliyekuponya, wangapi watapona?
That's what science is all about...to be able to replicate the experiment or intervention.
Babu DC!!
Msimchanganye Mbofu jamani!!!! Tiba ya Sickle cell IPO na wagonjwa wanapona kabisa na kuondokana kabisa na athari mbali mbali za ugonjwa huo.
Mwana FA kwani nae anasumbuliwa na huu
ugonjwa Mkuu,ila nadhani yuko vema tu.
Nashukuru BAK kwa taarifa,
Siyo kwamba hatujui kuwa stem cell implant inaweza kumsaidia ila ni kwamba hii siyo conventional therapy ambayo Daktari wa kawaida pale Muhimbili au hospitali yoyote anawe ku-prescribe.
Kama ungeweka na gharama yake, ungeweza kujua kwa nini wengine hatuiongelei kabisa hii tiba...but it is there!
Babu DC!!
Tunaweza kuwasiliana kwa ajili ya ushauri na kumpatia tiba kwa bidhaa asili ambazo zitamsaidia na ataweza kupona tatizo hilo kabisa. Kwa ushauri zaidi piga 0768 955 185
Tiba hii imegunduliwa miaka ya karibuni sidhani kama imetimiza hata miaka 15 tangu igunduliwe na gharama yake ni SIFURI. Ila kwa kuwa sina uhakika kama inapatikana nchini kama haipatikani basi kuna gharama za kusafiri, malazi na chakula kutegemea na hiyo hospitali husika.
Kwa jinsi ugonjwa huu unavyowasumbua watoto wengine hata shule wanashindwa kusoma kwa kuwa karibu kila wiki ni wagonjwa na wamelazwa hospitali na wengi kufariki dunia katika umri mdogo sana hii option ya kupandikiza adult stem cells/cord kwa ushauri wangu ndiyo nzuri kuliko zote katika kupambana na ugonjwa huu hata kama kuna gharama hasa ukitilia maanani gharama kubwa na msongo wa kimawazo kumuona motto wako kila siku yuko hospitali akitobolewa ili apatiwe blood transfusion na wakati mwingi mahudhurio yake shule ni hafifu kiasi cha Walimu kukataa motto kuendelea na darasa la juu kwa sababu tu mahudhuruio yake labda yalikuwa ni 25% tu au hata chini ya hapo.
CC: Mbofu
Nashukuru BAK kwa taarifa,
Siyo kwamba hatujui kuwa stem cell implant inaweza kumsaidia ila ni kwamba hii siyo conventional therapy ambayo Daktari wa kawaida pale Muhimbili au hospitali yoyote anawe ku-prescribe.
Kama ungeweka na gharama yake, ungeweza kujua kwa nini wengine hatuiongelei kabisa hii tiba...but it is there!
Babu DC!!
Ahsante sana mkuu BAK[/B[/URL]] kwa maelezo yako...
Nimekuwa nikifanyakazi kwa karibu na watu wa Sickle Cell foundation na sijasikia wakiongelea uwezekano wa kutumia hii njia. Sijui kwa nini.
Nikipata jibu nitaliweka hapa.
Babu DC!!
Haijakaa vema hii.
Ethically!
Hata kama ni rafiki, ndugu, dokta anaemtibu hii haikubaliki
Pole sana. Kubaliana na hali hiyo. ni tatizo lamaisha.
Mtafute Daktari Bingwa wa Sickle Cell Dr. Jane Makani hapo Muhimbili. wana mradi maalamu utapata ushauri wote.
Ohhh kumbe kuna dawa despite how many millions it might cost!!!! ????