Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell anaemia): Dalili na matibabu yake

Mkuu MziziMkavu,kuna tiba mbadala ya tatizo hili?Asante sana Wabillah Tawfiq Taallah Wabarakatul

Sickle Cell Anemia & Crisis

Sickle1.gif

Sickle cell means the red blood cells are sickle shaped (half rounded) instead of being fully round like a circle. Sickle cell anemia is a condition where abnormal hemoglobin triggers a sticky consistency and stiff texture, which can cause blockages in arteries, veins and capillaries. It is an extremely serious disease that's most commonly found in African-Americans.

Causes and Risk Factors

Sickle cell anemia is caused by a genetic mutation of the hemoglobin, which carries oxygen from the lungs to other parts of the body.

Both parents must carry the sickle cell gene in order for it to be passed to an infant.

Symptoms

Some common symptoms of sickle cell anemia are:
  • Anemia
  • Episodic pain
  • Swollen hands and feet
  • Frequent infections
  • Vision problems
  • Delayed growth or physical development

Natural Healing Solutions

The most important agent in managing sickle cell anemia is IRON or Iron Phosphate (which is organic iron). Nature provides us with iron phosphate, which is needed for human hemoglobin.

The greatest way to obtain optimal and maximum amounts of iron phosphate is via herbs. Herbs rich in iron or iron phosphate are:
  • Yellow dock root
  • Dandelion root
  • Burdock root
  • Nettle leaf
  • Mullein leaf
  • Devil's claw
  • Iron weed
  • Blue cohosh root
  • Echinacea
  • Red raspberry leaf
  • Fenugreek
  • Thyme
  • White oak bark
  • Yerba mate
You might also want to try these excellent blood purifiers:
  • Red clover
  • Strawberry leaf
  • Chapparal
  • Chickweed
  • Manjistha
  • Cayenne
  • Elder berries
  • Cerasee
  • Oregon grape
Oxygen also plays a role in reversing iron deficiency disorders. Liquid oxygen drops products can prove most helpful in cases of sickle cell.

Taking daily alkaline baths (in sea salt) will help to alkalize the body. And if you have an oxygen or ozone machine, you can take an oxygen bath. If you add a whole box of sea salt to this bath, some serious healing will take place because now you're dealing with inundation of oxygen and alkalinity.

Minerals

Hematite cleanses the blood and stimulates the absorption of iron and the formation of healthy red blood cells, making it vital for persons battling sickle cell.

Malachite is ideal for sickle cell and iron deficiency anemia as it is an iron and also helps in absorbing copper. It consists of the blue-green dynamic (like blue-green algae) and therefore is a must for healing on all levels.

Dietary Intervention

Change your diet to one that's includes plenty of iron-rich foods. Natural sources of iron are:
  • Parsley
  • Spinach
  • Greens (collards and mustard)
  • Watercress
  • Burdock
  • Chard
  • Kale
It is best to juice the above green foods (vegetables) or to eat them steamed (for seven minutes or less).

Seaweed

Seaweeds are also great sources of natural iron:
  • Irish Moss
  • Dulse
  • Kelp
  • Spirulina
  • Chlorella
  • Blue Green Algae
Seaweeds are the greatest food you can eat and are the most oxygenating plants on the planet and greatly increase and enhance oxygen throughout the body. But by all means, the best seaweed you can consume is Blue Green Algae.

Fruits

Fruits that provide good and moderate amounts of iron include:
  • Black currants
  • Grapes
  • Cherries
  • Strawberries
  • Elder berries
  • Blueberries
  • Lycii berries
  • Blackberries
  • Pumpkin
  • Lime
Grasses and Sprouts

Iron-rich grasses and sprouts are:
  • Alfalfa
  • Barley grass
  • Wheat grass
ALFALFA (herb or sprouts) is laced with organic iron. Most commercial brands of chlorophyll are made from Alfalfa. So drink plenty of chlorophyll (adding it to your water).

BARLEY GRASS and WHEAT GRASS (2-4 ounces daily) also provide essential iron (and other minerals and nutrients) and are also great sources of chlorophyll.

Thiocyanate

Thiocyanate is known to have anti-sickling properties. Foods rich in Thiocyanate are:
  • White yam
  • Plantain
  • Banana
  • Pulse (all legumes)
  • Butter beans
  • Lentils
  • Black eye peas
  • Garbanzo beans (Chickpeas)
  • Lima beans
  • Millet
  • Buckwheat
  • Falafel
  • Humus
  • Oatmeal
  • Teff (Injera)
  • Turnips
  • Rutabaga
  • Brussel sprouts
  • Almonds
  • Raspberries

DHerbs Solutions

Habari ndugu,
Nina mtoto wangu wa kike mwenye umri wa miaka miwili sasa.Tangu alipozaliwa alikuwa na matatizo ya upungufu wa damu(anaemia) na baadae kugundulika kuwa ana tatizo la sickle cell (Hbss).Kwa sasa anaendelea vizuri baada ya kuanzishiwa cliniki pale muhimbili.
Kwa maelezo ya daktari pale muhimbili hakuna tiba ya ugonjwa huu kwa sasa,kinachofanyika ni kuudhibiti (control) tu kwa kumpatia mtoto vidonge vya folic acid and penicilin-V,je
1-hakuna tiba mbadala juu ya tatizo hili?
2-Kwa kuendelea kutumia dawa hizi,mtoto anaweza kukua na kufikia kuwa mtu mzima bila matatizo?
3-Kwa maelezo ya daktari sisi(yaani mimi na mke wangu) tuna chance ya kupata mtoto mmoja mwenye sickle cell kwa kila watoto wanne(kwa kuwa ni carrier yaani HbAs),na kwa vile mtoto wetu wa kwanza tayari anatatizo hili,je waliobaki (watatu) hakuna chance ya wao kupata tatizo hili?
Nitashukuru sana kupata majibu au ufafanuzi wa mambo haya.
Asanteni sana.
 
pole ndugu..ndo maana mnaambiwa mpime blood groups kabla ya juamua kutengeneza.mtoto sababu kama sio negative groups zenu basi ni ya kurithi..
mimi sio daktari wala mtaalam wa haya mambo ila limewah kutokea kwa rafiki wa dada yangu..yeye alivogundua kuwa damu zao ni -ve na wanataka mtoto yeye na mchumba wake walienda kwa daktari na akawashauri kumtengeneza mtoto kwa masharti ya mama kichomwa sindano ya kuzuia hilo tatizo la anaemia pindi atakapozaliwa maana asilimia kubwa ilionyesha lazima wapate mtoto wa aina hiyo...basi akawa anachoma hizo sindano zenyewe ni gharama pia..mtoto akazaliwa akiwa na kiwango kidogo sana cha kuweza kupata anaemia..sasa ana miaka 17 na huwa wanasema hata mtoto akitibiwa vipi mwenye sickle cell hawez kuishi zaid ya miaka 15 ikizid ni bahati sana..wengi hupoteza maisha wakiwa na umri mdogo wa miaka 5-8.samahan jwa kulisema hili sikutishi ila sijui wa.kwako ana umri gani..
tuwasubiri wataalam kwakweli maana mimi sijawahi kusikia tiba baada ya mtoto kuzaliwa ila nlishasikia kinga tu kabla hajazaliwa..
ushauri unaotolewa na madaktari pia ni kuepuka kuzaa ili kuepusha uwepo wa tatizo hili...ila uwezekano wa kupata mtoto nwingine ambae hana upo kama mtakua na uwezo wa mama kudunga hizo sindano kwa miez yote 9.hebu madoctor njooni huku..
 
Pole sana mkuu kwa tatizo hilo. Nijuavyo mimi ni kuwa tatizo la chembe muundu huwa halina matibabu.

Hata nchi zilizoendelea kama S.Africa, India, USA na kwingineko ambapo kiwango cha utabibu kiko juu mno, bado hawajapata ufumbuzi wake.

Ni kweli mtoto mwenye tatizo la chembe muundu anaweza kukua na hata kufikia umri wa utu uzima, lakini anabakia ni mtu wa kuhudhuria kliniki kwa maisha yake yote.

Na wakati mwingine anapofikia umri wa miaka 20 -30 mifupa na hasa joints zinaweza kushindwa kufanya kazi kabisa baada ya kutoweka kwa virainishi vya asili katika mifupa hiyo.

Sijui ni kwanini serikali haitilii maanani ugonjwa huu mpaka wakati huu. Hakuna chochote kinachozungumzwa na serikali wakati ugonjwa huu upo na inawatesa sana watanzania.

Kwa nini hakuna elimu inayotolewa kuwaelomisha watanzania juu yavugonjwa huu?

Kwanini watu kabla ya kufunga ndoa au wanapoamua kuishi kama mke na mme wasicheki damu zao kwanza ili kuepuka tatizo hilo?

Yote hayo ni maswali ninayojiuliza pasipo kupata majibu.

Mkuu daktari anaposema kwenye watoto wanne una nafasi ya kuzaa watoto watatu wazima na mmoja mgojwa, haimaanishi kuwa kwakuwa mtoto wako wa kwanza tayari ana tatizo basi watatu watakaofuata lazima watakuwa wazima!!!

Nakushauri, uende tena kwa daktari ili akupe ufafanuzi wa kina juu ya hilo.

Pole sana mkuu, amini,k ila litendekalo ni mapenzi ya Mungu muumba.
 
Circle cell hainaga tiba japo akifikisha miaka 15 wataalam wanasema yaweza pungua au kuisha. Ni ugonjwa unaoumiza na kusumbua sana. Usije ongeza mtoto kabla ya kwenda kupima nyie wote ili kujua nani ana asili hiyo.
 
Mkuu nyangomboli, mtoto anapozaliwa na tatizo hilo, ni lazima baba na mama wote wawe ni carrier wa chembe mundu.

Kama baba tu au mama tu ndio carrier, mtoto anabakia kuwa carrier wa chembe mundu pasipo kuugua uginjwa huo.

Kwa kifupi wote baba na mama ni carriers wa chembe mundu.
 
Pole sana mkuu kwa tatizo hilo. Nijuavyo mimi ni kuwa tatizo la chembe muundu huwa halina matibabu.

Hata nchi zilizoendelea kama S.Africa, India, USA na kwingineko ambapo kiwango cha utabibu kiko juu mno, bado hawajapata ufumbuzi wake.

Ni kweli mtoto mwenye tatizo la chembe muundu anaweza kukua na hata kufikia umri wa utu uzima, lakini anabakia ni mtu wa kuhudhuria kliniki kwa maisha yake yote.

Na wakati mwingine anapofikia umri wa miaka 20 -30 mifupa na hasa joints zinaweza kushindwa kufanya kazi kabisa baada ya kutoweka kwa virainishi vya asili katika mifupa hiyo.

Sijui ni kwanini serikali haitilii maanani ugonjwa huu mpaka wakati huu. Hakuna chochote kinachozungumzwa na serikali wakati ugonjwa huu upo na inawatesa sana watanzania.

Kwa nini hakuna elimu inayotolewa kuwaelomisha watanzania juu yavugonjwa huu?

Kwanini watu kabla ya kufunga ndoa au wanapoamua kuishi kama mke na mme wasicheki damu zao kwanza ili kuepuka tatizo hilo?

Yote hayo ni maswali ninayojiuliza pasipo kupata majibu.

Mkuu daktari anaposema kwenye watoto wanne una nafasi ya kuzaa watoto watatu wazima na mmoja mgojwa, haimaanishi kuwa kwakuwa mtoto wako wa kwanza tayari ana tatizo basi watatu watakaofuata lazima watakuwa wazima!!!

Nakushauri, uende tena kwa daktari ili akupe ufafanuzi wa kina juu ya hilo.

Pole sana mkuu, amini,k ila litendekalo ni mapenzi ya Mungu muumba.

Nashukuru sana mkuu kwa ushauri na maneno yako yenye faraja kwangu.
 
Ameline "huwa wanasema hata mtoto akitibiwa vipi mwenye sickle cell hawez kuishi zaid ya miaka 15 ikizid ni bahati sana..wengi hupoteza maisha wakiwa na umri mdogo wa miaka 5-8".
Nyangomboli "Circle cell hainaga tiba japo akifikisha miaka 15 wataalam wanasema yaweza pungua au kuisha.

Nani yuko sawa kati ya hawa?
 
pole ndugu..ndo maana mnaambiwa mpime blood groups kabla ya juamua kutengeneza.mtoto sababu kama sio negative groups zenu basi ni ya kurithi..
mimi sio daktari wala mtaalam wa haya mambo ila limewah kutokea kwa rafiki wa dada yangu..yeye alivogundua kuwa damu zao ni -ve na wanataka mtoto yeye na mchumba wake walienda kwa daktari na akawashauri kumtengeneza mtoto kwa masharti ya mama kichomwa sindano ya kuzuia hilo tatizo la anaemia pindi atakapozaliwa maana asilimia kubwa ilionyesha lazima wapate mtoto wa aina hiyo...basi akawa anachoma hizo sindano zenyewe ni gharama pia..mtoto akazaliwa akiwa na kiwango kidogo sana cha kuweza kupata anaemia..sasa ana miaka 17 na huwa wanasema hata mtoto akitibiwa vipi mwenye sickle cell hawez kuishi zaid ya miaka 15 ikizid ni bahati sana..wengi hupoteza maisha wakiwa na umri mdogo wa miaka 5-8.samahan jwa kulisema hili sikutishi ila sijui wa.kwako ana umri gani..
tuwasubiri wataalam kwakweli maana mimi sijawahi kusikia tiba baada ya mtoto kuzaliwa ila nlishasikia kinga tu kabla hajazaliwa..
ushauri unaotolewa na madaktari pia ni kuepuka kuzaa ili kuepusha uwepo wa tatizo hili...ila uwezekano wa kupata mtoto nwingine ambae hana upo kama mtakua na uwezo wa mama kudunga hizo sindano kwa miez yote 9.hebu madoctor njooni huku..

tatizo hili halihusiani na blood groups.
 
Ameline "huwa wanasema hata mtoto akitibiwa vipi mwenye sickle cell hawez kuishi zaid ya miaka 15 ikizid ni bahati sana..wengi hupoteza maisha wakiwa na umri mdogo wa miaka 5-8".
Nyangomboli "Circle cell hainaga tiba japo akifikisha miaka 15 wataalam wanasema yaweza pungua au kuisha.

Nani yuko sawa kati ya hawa?

Muhode amini ninachokueleza, mtoto mwenye sickle cells anakuwa kama watoto wengine, anasoma, anacheza na kuwa mtu mzima kama binadamu wa kawaida.

Usiwe na hofu hata kidogo, mbali na kuuguaugua tu, mtoto huyo ataishi maisha ya kawaida kama binadamu wakawaida.

Natambua mama mmoja mtu mzima mwenye nafasi kubwa katika ofisi ya manispaa ya Ilala ni mgonjwa wa sickle cells ni mtu mzima tayari, na anaishi kawaida kama binadamu.

Lakini vilevile jirani yangu mwanake ana tatizo la sickle cells, ameolewa na ana watoto wawili. Kwa kuwa mme wake hana tatizo hilo, watoto wao hawana tatizo lolote japo wanaweza kuwa ni carriers wa sickle cells.

Kwa maana hiyo hao watoto wake wawili kama watakuwa carriers wa sickle cells, watakapo olewa au kuoa carriers ndipo watokea wagonjwa wa sickle cells.

Mkuu haya maisha yanakuwa na mambo mengi yasiyotarajiwa. Wakati mwingine yakubali yote usiyoweza kuyabadili. Mimi hayo binadamu asiyoweza kuyabadili nayaita MPANGO WA MUNGU, hivyo namwachia yeye mwenyewe.

Zaidi cheki kwenye Google utapata elimu zaidi kuhusiana na tatizo hilo la sickle cells. Siyo wewe pekee unayekumbwa na tatizo hilo. Utakapo Google, utaona namna hata marekani walivyothiliwa na tatizo hilo la sickle cells.

Pole sana mkuu.
 
pole ndugu..ndo maana mnaambiwa mpime blood groups kabla ya juamua kutengeneza.mtoto sababu kama sio negative groups zenu basi ni ya kurithi..
Umekurupuka,acha kurusha shutuma kwa vitu usivyo vijua.
Blood group inaingiaje hapa?
mimi sio daktari wala mtaalam wa haya mambo ila limewah kutokea kwa rafiki wa dada yangu..
yeye alivogundua kuwa damu zao ni -ve na wanataka mtoto yeye na mchumba wake walienda kwa daktari na akawashauri kumtengeneza mtoto kwa masharti ya mama kichomwa sindano ya kuzuia hilo tatizo la anaemia
Kuna tofaut kubwa kati ya anemia na sickle cell
pindi atakapozaliwa maana asilimia kubwa ilionyesha lazima wapate mtoto wa aina hiyo...basi akawa anachoma hizo sindano zenyewe ni gharama pia..mtoto akazaliwa akiwa na kiwango kidogo sana cha kuweza kupata anaemia..sasa ana miaka 17
Ahsante kwa taarifa.
na huwa wanasema hata mtoto akitibiwa vipi mwenye sickle cell hawez kuishi zaid ya miaka 15 ikizid ni bahati sana..wengi hupoteza maisha wakiwa na umri mdogo wa miaka 5-8.samahan jwa kulisema hili sikutishi ila sijui wa.kwako ana umri gani..
inawezekana mtoto kuish maisha marefu tu,hasa akipita adolescence.
tuwasubiri wataalam kwakweli maana mimi sijawahi kusikia tiba baada ya mtoto kuzaliwa ila nlishasikia kinga tu kabla hajazaliwa..
ushauri unaotolewa na madaktari pia ni kuepuka kuzaa ili kuepusha uwepo wa tatizo hili...ila uwezekano wa kupata mtoto nwingine ambae hana upo kama mtakua na uwezo wa mama kudunga hizo sindano kwa miez yote 9.hebu madoctor njooni huku..
Kwanini usinge subiri wataalam,badala ya kumwaga shutuma kwa mhanga?
 
pole ndugu..ndo maana mnaambiwa mpime blood groups kabla ya juamua kutengeneza.mtoto sababu kama sio negative groups zenu basi ni ya kurithi..
mimi sio daktari wala mtaalam wa haya mambo ila limewah kutokea kwa rafiki wa dada yangu..yeye alivogundua kuwa damu zao ni -ve na wanataka mtoto yeye na mchumba wake walienda kwa daktari na akawashauri kumtengeneza mtoto kwa masharti ya mama kichomwa sindano ya kuzuia hilo tatizo la anaemia pindi atakapozaliwa maana asilimia kubwa ilionyesha lazima wapate mtoto wa aina hiyo...basi akawa anachoma hizo sindano zenyewe ni gharama pia..mtoto akazaliwa akiwa na kiwango kidogo sana cha kuweza kupata anaemia..sasa ana miaka 17 na huwa wanasema hata mtoto akitibiwa vipi mwenye sickle cell hawez kuishi zaid ya miaka 15 ikizid ni bahati sana..wengi hupoteza maisha wakiwa na umri mdogo wa miaka 5-8.samahan jwa kulisema hili sikutishi ila sijui wa.kwako ana umri gani..
tuwasubiri wataalam kwakweli maana mimi sijawahi kusikia tiba baada ya mtoto kuzaliwa ila nlishasikia kinga tu kabla hajazaliwa..
ushauri unaotolewa na madaktari pia ni kuepuka kuzaa ili kuepusha uwepo wa tatizo hili...ila uwezekano wa kupata mtoto nwingine ambae hana upo kama mtakua na uwezo wa mama kudunga hizo sindano kwa miez yote 9.hebu madoctor njooni huku..

Ameline acha kupotosha umma!!!!!!!

Hakuna sindano hizo ulizozitaja.

Kama unachosema ni kweli tutajie jina la sindano hizo na wapi zinapatikana.
 
Muhode amini ninachokueleza, mtoto mwenye sickle cells anakuwa kama watoto wengine, anasoma, anacheza na kuwa mtu mzima kama binadamu wa kawaida.

Usiwe na hofu hata kidogo, mbali na kuuguaugua tu, mtoto huyo ataishi maisha ya kawaida kama binadamu wakawaida.

Natambua mama mmoja mtu mzima mwenye nafasi kubwa katika ofisi ya manispaa ya Ilala ni mgonjwa wa sickle cells ni mtu mzima tayari, na anaishi kawaida kama binadamu.

Lakini vilevile jirani yangu mwanake ana tatizo la sickle cells, ameolewa na ana watoto wawili. Kwa kuwa mme wake hana tatizo hilo, watoto wao hawana tatizo lolote japo wanaweza kuwa ni carriers wa sickle cells.

Kwa maana hiyo hao watoto wake wawili kama watakuwa carriers wa sickle cells, watakapo olewa au kuoa carriers ndipo watokea wagonjwa wa sickle cells.

Mkuu haya maisha yanakuwa na mambo mengi yasiyotarajiwa. Wakati mwingine yakubali yote usiyoweza kuyabadili. Mimi hayo binadamu asiyoweza kuyabadili nayaita MPANGO WA MUNGU, hivyo namwachia yeye mwenyewe.

Zaidi cheki kwenye Google utapata elimu zaidi kuhusiana na tatizo hilo la sickle cells. Siyo wewe pekee unayekumbwa na tatizo hilo. Utakapo Google, utaona namna hata marekani walivyothiliwa na tatizo hilo la sickle cells.

Pole sana mkuu.

From deep down my heart,real i do appreciate your advice ndugu.This is more than advice and i feel like something energetic in my heart.thanx and God bless you.Iwill work on that.
 
Ameline acha kupotosha umma!!!!!!!

Hakuna sindano hizo ulizozitaja.

Kama unachosema ni kweli tutajie jina la sindano hizo na wapi zinapatikana.

sijapotosha ndugu mimi sio doctor otherwise niulize then nipate jina lake..ila yeye alijua anachoma Aghakan..
 
Umeeleweka mkuu. Uliza kisha utuletee hilo jibu hapa jamvini.
 
Umekurupuka,acha kurusha shutuma kwa vitu usivyo vijua.
Blood group inaingiaje hapa?

Kuna tofaut kubwa kati ya anemia na sickle cell Ahsante kwa taarifa.
inawezekana mtoto kuish maisha marefu tu,hasa akipita adolescence.

Kwanini usinge subiri wataalam,badala ya kumwaga shutuma kwa mhanga?

sijamwaga shutuma ila nimeongea kwa nlichokiona ndugu..wala sijamwaga shutuma ni mawazo yangu tu..nashukuru kwa kunijuza ila mim najua inaitwa sickle cell anaemia na zinahusiana..asante doctor kwa ushaur
 
source kubwa ya sickle cell ndugu unaijua? Rh inapokua negative kwa baba na mama uwezekano ni mkubwa ..
 
Ameline "huwa wanasema hata mtoto akitibiwa vipi mwenye sickle cell hawez kuishi zaid ya miaka 15 ikizid ni bahati sana..wengi hupoteza maisha wakiwa na umri mdogo wa miaka 5-8".
Nyangomboli "Circle cell hainaga tiba japo akifikisha miaka 15 wataalam wanasema yaweza pungua au kuisha.

Nani yuko sawa kati ya hawa?

Huyo wa pili na kubaliana nae mtu mwenye sicklecell akifika above 18 hilo tatizo hupungua ingawa haliishi lote na linaweza jirudia akiwa mtu mzima mimi sio daktari ila kwenye familia yetu tunae mwenye hilo tatzo na aliambiwa hvyo na daktari na sasa he is 32 na ana mke na watoto 4 hasumbuliwi hovyo tena tangu awe mtu mzima hila mara chache tatzo humrudia ila anafata masharti na kula vyakula vya kuongeza damu.
 
Back
Top Bottom