UGONJWA WA SELI MUNDU ( Sickle cell anemia )
Himoglobini (haemoglobin) ni molekyuli ambayo ni sehemu ya chembe hai nyekundu zilizoko mwilini. Himoglobini hufanya kazi ya kuzisaidia chembe hai nyekundu kubeba hewa ya oksijenu kutoka kwenye mapafu kwenda sehemu nyingine za mwili.
Kwa kawaida binadamu anapozaliwa huwa na himoglobini ya kawaida ambayo huitwa himoglobini A (Haemoglobin A) au kwa kifupi HbA na Himoglobini ya kichanga ambayo huitwa Himoglobini F (HbF). Himoglobini A ambayo hutengeneza takriban asilimia tisini na saba ya Himoglobini za mtu mzima imeundwa na jozi mbili za minyororo (chains) za alfa (alpha) na beta (beta). Chembe hai nyekundu za damu za kawaida huwa laini,za duara na huweza kujipenyeza katika mishipa ya damu kirahisi. Pia huweza kuishi kwa takriban siku mia moja na ishirini (120) kabla chembe hai nyekendu za damu mpya hazijatengenezwa.
Ugojwa wa seli mundu ni chembe hai nyekundu ngumu, zenye umbo la mundu au mwezi mchanga ambazo hupita kwa shida kwenye mishipa ya damu hasa ile midogo. Aina hii ya himoglobini huitwa Himoglobini S (HbS).Tofauti na chembe hai nyekundu za damu za kawaida zenyewe huishi kwa siku chache zaidi, kwa kawaida huishi takribani siku kumi na sita (16) tu.
UGOJWA WA SINGLE SELI HUATHIRIWA NA HUTOKEA JE?
Ugonjwa wa sickle cell waweza kurithiwa kama ilivyo kwa makundi ya damu, rangi ya ngozi, rangi ya macho na tabia ua vitu vingione vinavyoweza kurithiwa. Kwa mfano kama mzazi mmoja ana himoglobini AS, na ana sickle cell na mwingine ana sickle cell bila dalili, kuna uwezekano wa asilimia hamsini (50%) ya kupata mtoto mwenye sickle cell au sickle cell bila dalili katika kila mimba itakayotungwa. Na kuna takriban asilimia ishirini na tano (25%) ya kupata sickle cell yenye dalili katika kila mimba.
SELI MUNDU HUTOKEAJE?
Seli mundu hutokana na mabadiliko (mutations) katika mnyororo wa beta (beta chain) ambapo amaino asidi (amino acid) aina ya glutameti (glutamate) huitoa amaino asidi ya Valini (Valine) kutoka kwenye nafasi ya sita ya mnyororo wa beta.
Katika mazingira yenye kiwango kidogo cha oksijeni, chembe hai nyekundu za damu zenye umbo la kawaida (mviringo) huharibiwa na kupoteza uwezo wa kutanuka na kusinyaa (elasticity) zipitapo kwenye mishipa ya damu. Hali hii hupelekea chembe hai hizo nyekundu za damu kuharibiwa na mfumo wa damu kwenye bandama (spleen) .
Pia hupelekea kuziba kwa mishipa midogo ya damu (infarction) kutokana na chembe hai nyekundu za damu zenye umbo la mundu. Hali hii yaweza kupelekea kukosekana kwa damu na oksijeni ya kutosha katika baadhi ya viungo.
DALILI ZA SELI MUNDU
Ni mara chache kwa dallili za sickle cell kuonekana katika miezi sita ya mwanzo baada ya kuzaliwa. Hii inatokana na kuwepo kwa wingi kwa himoglobini ya kichanga, himoglobini F, ambayo huzilinda chembe hai nyekundu za damu zisibadilike umbo. Ikumbukwe kwamba mabadiliko ya kiumbo ya chembe hai nyekundu za damu ndiyo chanzo cha dalili tutakazoziona hivi punde.
*Dalili za seli Mundu wakati wa utotoni*
-Maumivu ya pingili (dactylitis) za mikono na miguu
-Kushambuliwa na maradhi kama uti wa mgongo, nimonia, mafua, kikohozi.
-Kuvimba kwa bandama/wengu (splenomegally) kutokana na kujaa ghafla kwa damu kwenye bandama
-Kusinyaa kwa bandama(autosplenectomy)
*Dalili za seli Mundu ukubwani*
-Upungufu wa damu
-Maumivu ya tumbo
-Maumivu ya mifupa (viungo)
-Kupooza
-Maumivu ya kifua yafananayo na nimonia (acute chest syndrome)
-Kubana kwa kifua
-Kukojoa damu
-Vidonda sugu miguuni
-Kusimama kwa uume kuambatanako na maumivu makali (priapism)
-Kuvimba kwa paji la uso au fuvu
Folic acid,Ganodema,Spirulina,na gyrophora tea,ni dawa au tiba zenye virutubisho ambavyo vimetokana na mimea ya asili matunda mbalimbali,mbaga za majani, alfafa,green algae,unga wa algae usio changanywa na wanga, uyoga mwekundu,ya aina hizi zenye uwezo wa kuboresha, kutengeneza na kukarabati seli za damu.pia tunatoa huduma za vipimo vya mwili mzima(full body check up)kwa tsh 10,000.Mawasiliano Ni 0718069047/0688184620.