jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Unatibika lakini
Hauna tiba ugonjwa huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatibika lakini
Sijawahi sikia kama una dawa kuna mama mmoja alikuwa na ugonjwa huu huruma hadi machozi yalinitoka yani huwa wanapata tabu sana afu moyoni anakuwa anajua mi ni wa kufa tu..Unatibika lakini
Unatibika kienyeji unakuwa ok kabisa within few months. Kuna watu walikuwa wahanga wa hii issue yani ilikuwa kila week lazima akaongezwe damu hospital but now they are ok. Ni zaidi ya watu watano ninaowafahamu wametumia na wapo ok. Haina kuchanjwa chale wala kupiga ramli unakunywa kama dose ya hospital na hutoi gharama yeyote hadi utakapokuwa ok. Nilikuwa mhanga wa hii kitu nina zaidi ya miaka 15 hospital naisikia kwa watu ukiondoa homa za malaria ambazo ni common kwa kila mtuHauna tiba ugonjwa huu
Tiba yake n nini mkuu?? Nahtaji kuifajhamUnatibika kienyeji unakuwa ok kabisa within few months. Kuna watu walikuwa wahanga wa hii issue yani ilikuwa kila week lazima akaongezwe damu hospital but now they are ok. Ni zaidi ya watu watano ninaowafahamu wametumia na wapo ok. Haina kuchanjwa chale wala kupiga ramli unakunywa kama dose ya hospital na hutoi gharama yeyote hadi utakapokuwa ok. Nilikuwa mhanga wa hii kitu nina zaidi ya miaka 15 hospital naisikia kwa watu ukiondoa homa za malaria ambazo ni common kwa kila mtu
Kuna bwana mmoja alinipatia dawa za miti shamba zilizosagwa. Alinipatia maelekezo namna ya kutumia kama nakunywa kwa maji ya moto au baridi vijiko vingapi kwa siku. Sizifahamu zinaitwaje maana mimi sio mtaalamu ila namfahamu huyo mtu anakaa wapi. Note hapigi ramli bali anakupatia dawa na matumizi kama vidonge unavyopewa. Ukiwa OK unampatia kiasi kama shukrani. Nilitoa laki mbili kama shukraniTiba yake n nini mkuu?? Nahtaji kuifajham
Kila mtu atakufa mkuu,,.Sijawahi sikia kama una dawa kuna mama mmoja alikuwa na ugonjwa huu huruma hadi machozi yalinitoka yani huwa wanapata tabu sana afu moyoni anakuwa anajua mi ni wa kufa tu..
Kila mtu atakufa?? Kwasabab ganKila mtu atakufa mkuu,,.
Saidia wengine kwa kutoa namba ya mtaalamu maana ugonjwa usikie kwa MWENZIO tuu. Namba pleaseeKuna bwana mmoja alinipatia dawa za miti shamba zilizosagwa. Alinipatia maelekezo namna ya kutumia kama nakunywa kwa maji ya moto au baridi vijiko vingapi kwa siku. Sizifahamu zinaitwaje maana mimi sio mtaalamu ila namfahamu huyo mtu anakaa wapi. Note hapigi ramli bali anakupatia dawa na matumizi kama vidonge unavyopewa. Ukiwa OK unampatia kiasi kama shukrani. Nilitoa laki mbili kama shukrani
Ukiwa hai lazima utakuja kufa tu kwa mfano toka umemfahamu huyo mama ambaye ni mgonjwa umehudhuria misiba mingapi? Mama bado anadunda tu, maradhi sio kifo japo tunaumia.Kila mtu atakufa?? Kwasabab gan
Hilo linaeleweka ila ugonjwa huo kama una ndugu unamuuguza na ukawa unamfariji kuwa asife moyo atapona tu ataona kama una mkejeli bora ya UkimwiKila mtu atakufa mkuu,,.
Sio vyema kutoa namba ya mtu hadharani bila ridhaa yake. Anayehitaji anaweza akanipm nikamwelekeza huyo mtu anapatikana wapi na namba nitampatia piaSaidia wengine kwa kutoa namba ya mtaalamu maana ugonjwa usikie kwa MWENZIO tuu. Namba pleasee
Thanks ila akiwa carrier ndo yupo ktk hali gan, huwa sijui maana ya CARRIER
Tafuta series inaitwa Containment ndo utajua maana kwa undani ya Ilo neno.Thanks ila akiwa carrier ndo yupo ktk hali gan, huwa sijui maana ya CARRIER
Sure mkuuUkiwa hai lazima utakuja kufa tu kwa mfano toka umemfahamu huyo mama ambaye ni mgonjwa umehudhuria misiba mingapi? Mama bado anadunda tu, maradhi sio kifo japo tunaumia.
Naomba unielekeze wapi kwa pa kumpata huyo mtaalam au contacts zake, please nisaidieUnatibika kienyeji unakuwa ok kabisa within few months. Kuna watu walikuwa wahanga wa hii issue yani ilikuwa kila week lazima akaongezwe damu hospital but now they are ok. Ni zaidi ya watu watano ninaowafahamu wametumia na wapo ok. Haina kuchanjwa chale wala kupiga ramli unakunywa kama dose ya hospital na hutoi gharama yeyote hadi utakapokuwa ok. Nilikuwa mhanga wa hii kitu nina zaidi ya miaka 15 hospital naisikia kwa watu ukiondoa homa za malaria ambazo ni common kwa kila mtu