Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,150
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MWADUI 2 SIMBA 2 (Bocco, Okwi)
wanawazidi Yanga points 5 tu
Sasa wakishangaa tu wapepitwa.
povu linaruhusiwa
Hahahah,,,huyu jamaa kawa shujaa leo
Mikia FC wanatusumbua aisee.Walichoharibu mikia ni kumpa penat okwi ni bora angeachwa abaki na rekodi yake ya kufunga dar tu af mikia mkome kutusumbua au kwasi leo amesajiliwa Mwadui mbona goli zimefungwa. Nauliza tu
Haya mpeleke sasa akachezeee vibokoHahahah,,,huyu jamaa kawa shujaa leo
matokeo 2-2,,,hvo viboko anapewa vp sasaHaya mpeleke sasa akachezeee viboko
Kivipi? Ligi inaendelea.Msimamo ukoje?
Unaposti ukum*
SIMBA INACHUKUA UBINGWA BILA KUFUNGWA ALAFU UNATUTAPIKIA HAPA
nafikiri na ndio muda sahihi wa kumpa ile barua yao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Rais wa Fifa si anakuja Bongo, itakuwa rahisi kutoa malalamiko.
Hawahitaji kutuma kwa DHL, Wanampa hapa hapaRais wa Fifa si anakuja Bongo, itakuwa rahisi kutoa malalamiko.
Kuna watu wanajiamini