Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Utapeli tu. Tangu lini dozi ikagharimu zaidi ya Tsh.300,000, hiyo so no gharama ya operation yakubadilisha utumbo
 
Utapeli tu. Tangu lini dozi ikagharimu zaidi ya Tsh.300,000, hiyo so no gharama ya operation yakubadilisha utumbo
Wakati wanafanya matangazo wanakuam ia dawa ni shilingi elfu tano ilikuwa mwaka 2014 ukifika kwao wanakuambia unatakiwa kunywa chupa 300 na kila kichupa cha 50ml kama sikosei ni 5K... Kupona bado ni shughuli
 
Nilitumia sana hizi dawa, nilitumia karibia za laki 4 na sikupona. Ni uhuni tu
 
Punguza mawazo, kula chakula kisicho chacha na kisicho na machungu mengi. Utapona tu achana na madawa
 
Ni Hilo tu maana napata maumivu kama nachomwa na sindano kifuani halafu naskia maumivu mpka tumbon
 
Usije ukambebesha mwenzio Jini la kumlinda asipatwe na vidonda vya tumbo
 
TAFUTA POPOTE MAZIWA YA MBUZI UNYWE KAMA DAWA ASUBUHI MCHANA JIONI ,NDUGU ZANGU WENGI WAMEPONA ,WALIZUNGUKA HOSPITAL ZOTE WAKAMALIZA DAWA ZOTE WAKAMALIZA MWISHO WAKAJA KUPONEA KWENYE MAZIWA YA MBUZI

Nimetumia herufi kubwa kwa msisitizo kila mtu afahamu
 
Hii kitu inabudiwa Nchi nyingi Asia... Wahindi wengi hasa baniani na huko Indonesia huuona kama mti wa Miujiza wanaiita Basil Mbegu zake ukiziloweka kwenye zinatengeneza level fulani kama udenda unaweza weka sukari au asali unakunywa zinakibu magonjwa mengi sana kwa uhakika... kuhusu majani yake sijui ila vimti hivi hupandwa kama maua kwenye chungu kwa wanaokaa kwenye maghorofa na wenye nyumba za chini huzipanda karibu na mirango wanaamini zinazuia hadi mashetani .n.k


MS Young woman worshipping holy basil outside house / Sonipat, Haryana, India
 
Epuka kula nyama nyekundu, maziwa, punguza starch
Ongeza kula asali chai ya mdalasini, kabichi na maparachichi.
 
Pole sana!! dawa zipo nyingi sana.

Moja inaweza isifanye kazi kwako ikafanya kazi kwa meingine, vile vile ile isiyofanya kazi kwake ikafanya kazi kwako.

Ila nakushauri utumie zaidi tiba asili
 
Kwa siku ngapi?
 
Vidonda vya tumbo (Peptic ulcers) vinasababishwa na bacteria wanaoitwa Helicobacter pylori ( H. pylori) . Hao ndio wanaosabaisha vidonda vya tumbo. Unawapata kwa njia ya kunywa maji na kula vyakula vyenye bakteria hao. Dawa ni Atibiotics (km Amoxillin) pamoja na Metronidazole ukichanganya na Omeprazole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…