Bob laidoo
Member
- Aug 19, 2019
- 49
- 18
Inapatikana duka ganiDawa ni cestrine usipopona nipeleke police.
Hii inapatikana wapi?Dawa ni cestrine usipopona nipeleke police.
Nipe namba zakoKwa aliyethibitika kuwa na vidonda vya tumbo dawa ipo inatibu kwa siku NNE tu siku ya yano unaanza kula dagaa, maharage nk: ni dawa ya asili majani na asali ( vidonge )
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi ulienda kupimaDuh, acha niende hospital nikathibitishe mwenye nahisi kitu kama hicho ila ni moja ya ugonjwa ninao uogopa kila niskiapo mtu analalamika vidonda vya tumbo.
Sent using Jamii Forums mobile app
uko wapi mkuu,kuna mtu ana dawa nzuri itakusaidiaHabari wataalam!
Naomba niende kwa tatizo lenyewe, hivi vidonda vya tumbo havina tiba? Je vidonda vya tumbo hushusha kinga ya mwili?
Ni wazi sasa vidonda vya tumbo vinanitesa naombeni mnipe ushauri wa kitaalam nifanyaje?
Nipo Arusha mkuu
Asante kwa ushauri mkuu!Katakata kabeji na bamia, chemsha (isiive sana)na uweke chumvi kidogo ule mara tatu kwa siku kwa mwezi mzima.
Haiponyi kabisa ila itakupa nafuu kwa muda mrefu na kama utazingatia ulaji mzuri utasahau kama una vidonda vya tumbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Cabbage ni bora zaidi sijui kwa hiyo Bamia labda mkuu una ushuhuda,tuwekee hapa...Katakata kabeji na bamia, chemsha (isiive sana)na uweke chumvi kidogo ule mara tatu kwa siku kwa mwezi mzima.
Haiponyi kabisa ila itakupa nafuu kwa muda mrefu na kama utazingatia ulaji mzuri utasahau kama una vidonda vya tumbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashauri uende for further check up, Kuna mtu namfahamu alikuwa na tatizo kama hilo. Limemsumbua sana, hali ikiwa mbaya akienda hospitali anapewa dawa baada ya siku kadhaa hali inaanza tena. Baada ya further check up na kufanyiwa kipimo cha tumbo wakagundua kulikuwa na tatizo kwenye utumbo.Habari wataalam!
Naomba niende kwa tatizo lenyewe, hivi vidonda vya tumbo havina tiba? Je vidonda vya tumbo hushusha kinga ya mwili?
Ni wazi sasa vidonda vya tumbo vinanitesa naombeni mnipe ushauri wa kitaalam nifanyaje?
Mkuu Mungu akubariki sana!Nashauri uende for further check up, Kuna mtu namfahamu alikuwa na tatizo kama hilo. Limemsumbua sana, hali ikiwa mbaya akienda hospitali anapewa dawa baada ya siku kadhaa hali inaanza tena. Baada ya further check up na kufanyiwa kipimo cha tumbo wakagundua kulikuwa na tatizo kwenye utumbo.
Acha kabisa alafu mimi nahisi maumivu nikikohoa naambiwa nina hasidi nyingi nakipindi iki nilikuwa nakunywa maji yenye limao.
Hayo malimao acha kwa sasa kwani shida inaweza kuongezeka...Acha kabisa alafu mimi nahisi maumivu nikikohoa naambiwa nina hasidi nyingi nakipindi iki nilikuwa nakunywa maji yenye limao.
Sent using Jamii Forums mobile app