Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Kwa aliyethibitika kuwa na vidonda vya tumbo dawa ipo inatibu kwa siku NNE tu siku ya yano unaanza kula dagaa, maharage nk: ni dawa ya asili majani na asali ( vidonge )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apparatuses,
Hiyo inaweza kuwa vidonda vya tumbo,zipo dawa nyingi za vidonda vya tumbo zinazo tuliza haziponyi,ukihitaji kupona tumia probio 3
 
Habari wataalam!

Naomba niende kwa tatizo lenyewe, hivi vidonda vya tumbo havina tiba? Je vidonda vya tumbo hushusha kinga ya mwili?

Ni wazi sasa vidonda vya tumbo vinanitesa naombeni mnipe ushauri wa kitaalam nifanyaje?
 
Katakata kabeji na bamia, chemsha (isiive sana)na uweke chumvi kidogo ule mara tatu kwa siku kwa mwezi mzima.

Haiponyi kabisa ila itakupa nafuu kwa muda mrefu na kama utazingatia ulaji mzuri utasahau kama una vidonda vya tumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katakata kabeji na bamia, chemsha (isiive sana)na uweke chumvi kidogo ule mara tatu kwa siku kwa mwezi mzima.

Haiponyi kabisa ila itakupa nafuu kwa muda mrefu na kama utazingatia ulaji mzuri utasahau kama una vidonda vya tumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
Cabbage ni bora zaidi sijui kwa hiyo Bamia labda mkuu una ushuhuda,tuwekee hapa...
 
Habari wataalam!

Naomba niende kwa tatizo lenyewe, hivi vidonda vya tumbo havina tiba? Je vidonda vya tumbo hushusha kinga ya mwili?

Ni wazi sasa vidonda vya tumbo vinanitesa naombeni mnipe ushauri wa kitaalam nifanyaje?
Nashauri uende for further check up, Kuna mtu namfahamu alikuwa na tatizo kama hilo. Limemsumbua sana, hali ikiwa mbaya akienda hospitali anapewa dawa baada ya siku kadhaa hali inaanza tena. Baada ya further check up na kufanyiwa kipimo cha tumbo wakagundua kulikuwa na tatizo kwenye utumbo.
 
Mkuu Mungu akubariki sana!
 
Back
Top Bottom