Magari damu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 433
- 759
Ndo kama hivi inavoonekana dawaAsante boss, nimepokea dawa imenifikia leo, nitaanza itumia Jumamosi (kwa sababu zangu mwenyewe kiofisi, japo ningependa kuanza leo, thereafter nitarudisha mrejesho hapa ndani ya siku 5 hali yangu iko vipi.
Shukran sana Bob laidoo alinitumia dawa kwa basi hadi Dar. Mimi gharama niliyoingia ni ya usafiri peke yake. Dawa kanisaidia bure.
Asante mkuu.
Maendeleo vipiNdo kama hivi inavoonekana dawaView attachment 2153274
Bado sijaanza kuitumia. Nitaanza kuitumia weekend (Jumamosi)..then nitaleta mrejeshoMaendeleo vipi
Ok, shukran kwa mrejesho so farAsante boss, nimepokea dawa imenifikia leo, nitaanza itumia Jumamosi (kwa sababu zangu mwenyewe kiofisi, japo ningependa kuanza leo, thereafter nitarudisha mrejesho hapa ndani ya siku 5 hali yangu iko vipi.
Shukran sana Bob laidoo alinitumia dawa kwa basi hadi Dar. Mimi gharama niliyoingia ni ya usafiri peke yake. Dawa kanisaidia bure.
Asante mkuu.
huyu jamaa naiman ashamaliza kutumia dawa, coz ndo alikua mtu wa kwanza kat ya wale wawili waliopata nasaf ya upendeleo !!Mm naomba niwe wa pili mkuu.
atakuja tu, I hope atakuwa offline kwa muda !Kimnyaaaa
Maendeleo niko vyema...nimeanza itumia Jumamosi, ila hadi sahivi nazidi kuona mabadiliko kwa kweli. Sahivi kwanza tumbo halipati gas, zamani baada tu ya kula nlikua natakiwa nibeue kwanza or else tumbo litakua na gas balaa. Ila sahv hata bila kubeua, naweza nikala na kwenda kulala and nikawa fine kabisa. Vile vile pia sipati maumivu ya tumbo completely kabisa yani. Hadi kuja kuimalizia hio kesho i hope nitakua completely fine aisee.Maendeleo vipi ebu nambie kaka
@ upeoMaendeleo niko vyema...nimeanza itumia Jumamosi, ila hadi sahivi nazidi kuona mabadiliko kwa kweli. Sahivi kwanza tumbo halipati gas, zamani baada tu ya kula nlikua natakiwa nibeue kwanza or else tumbo litakua na gas balaa. Ila sahv hata bila kubeua, naweza nikala na kwenda kulala and nikawa fine kabisa. Vile vile pia sipati maumivu ya tumbo completely kabisa yani. Hadi kuja kuimalizia hio kesho i hope nitakua completely fine aisee.
Inaleta mabadiliko sana hii dawa, asante mkuu!
Yap mkuu nipo sema harakati kibao hivyo nikashindwa kuleta mrejesho kwa Muda muafaka.huyu jamaa naiman ashamaliza kutumia dawa, coz ndo alikua mtu wa kwanza kat ya wale wawili waliopata nasaf ya upendeleo !!
Mzee wa Tit4tat watu wanasubiria feedback uku Mkuu
Big up sn Mzee wa Tit 4 tat naona umerud kweny ubora wako sasaYap mkuu nipo sema harakati kibao hivyo nikashindwa kuleta mrejesho kwa Muda muafaka.
Ila tu kwa ufupi tangia siku ya kwanza kutumia nikaona tofauti na hadi sasa shida ya vidonda vya tumbo siisikii maana pia nilikuwa na hofu nikidhani labda dawa imetuliza tu kwa muda na vinaeza kufumuka muda wowote tena Lakini hadi sasa napiga kila chakula kuanzia maharagwe, kauzu ndizi mbivu, wali, maziwa ya mgando na vingine vyote ambavyo hapo awali nilikuwa situmii coz vilikuwa vikinidhuru.
Niseme tu shukrani sana Bob laidoo kwa kunisaidia dawa tena free wala sijainunua Mungu akubariki sana tena sanaaa mkuu kwa hiki alichokifanya kwa ajili yangu na kwa wengine
Maana nimesumbuka sana kwa miaka mingi takribani miaka 6 na nimetuma dawa kibao ila sijawahi kupona zaidi zaidi tu kutuliza maumivu.
Kwa wale ambao bado hawamini kuhusu hii dawa ya huyu bwana mkubwa nawaambia wasiwe nashaka japo hata mm nilikuwa siamini kabla sijatumia, na hii yote ni kutokana na watu tofauti tofauti kuniaminisha dawa fulani inaponya ila haziijawahi kunisaidia.
Na kama pia kuna mtu anadhani Jamaa ni tapeli au mwongo nasema hapana jamaa ni mtu safi sana na anajiamini ndio maana anakupatia dawa bure na anakuambia tumia kwa muda huo wa siku 4 kisha nenda kapime hospitali ili uone kama shida ipo au haipo hii ni moja ya sababu ya mm kumuamini yy.
Bob laidoo ww ndiye umethibitisha ule msemo wa hakuna kinachoshindikana chini ya jua
Kiukweli nilisha kata tamaa ya hivi vidonda coz wengi waliniaminisha ukivipata umepata na huwezi pona zaidi ya kuvitulia tu.
Kumbe kuna mambo tunayakweza tu na kuyapaisha kwa kuona hayatibiki kisa yametutesa kwa muda mrefu.
Hebu fikiria miaka 6 ndani ya mateso ukiangaika huku na kule bila solution halafu anatokea mtu anakutibu ndani ya siku nne.[emoji120].
[emoji120] mkuuBig up sn Mzee wa Tit 4 tat naona umerud kweny ubora wako sasa
Shukran kwa mrejesho pia umesokeka kwa nguvu ya tano Mkuu !!
Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
Mkuu...mm niko Mwanza unanisaidiaje hiyo tiba?huyu jamaa naiman ashamaliza kutumia dawa, coz ndo alikua mtu wa kwanza kat ya wale wawili waliopata nasaf ya upendeleo !!
Mzee wa Tit4tat watu wanasubiria feedback uku Mkuu
Nichek apo 0763031478Mkuu...mm niko Mwanza unanisaidiaje hiyo tiba?
Hapa hakuna kikundi cha matepeli wa kikundi cha maombi au mtu mmoja na ID tofauti.Mwenye hiyo dawa anapatikana mkoa gani? Je unauza bei gani? Isijekuwa ni kikundi cha watu wamejipanga watupapeli maana watu wenye vidonda ni wengi. Au ni mtu mmoja ana id tofauti tofauti.
Hebu huyu nahisi atakuwa kainunua vipi mkuu mzigo umefika salaama?Mkuu...mm niko Mwanza unanisaidiaje hiyo tiba?
Hahahaaaa, ebhn Masafi uko sahihi kuchukua tahadhari kabla ya hatari maana skuiz wapigaji wamejaa kila konaMwenye hiyo dawa anapatikana mkoa gani? Je unauza bei gani? Isijekuwa ni kikundi cha watu wamejipanga watupapeli maana watu wenye vidonda ni wengi. Au ni mtu mmoja ana id tofauti tofauti.
Huyo jamaa nishampa namba toka Jana ila bado hajanipigiaHebu huyu nahisi atakuwa kainunua vipi mkuu mzigo umefika salaama?
Na bora mtalam atuambie yupo mkoa gani ?ili kama yupo jirani tumfate