Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Mkuu Pole,
Sijaelewa mkuu yaani ulipima ukakutwa na matatizo haya na kisha hawakufanya lolote hadi kuja kuomba ushauri na dawa JF?
POLE KAKA WALA USIUMIE MARADHI TUMEUNDIWA SISI BINADAMU SASA,
KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO NENDA KWA DR RAHABU KARIBU NA BUGURUNI PETROL STATION UKIFIKA APO JUST ULIZIA UTAELEKEZWA, ISHU YA KISUKARI PANDA MAGARI YANAYOENDA TABATA SHUKA KITUO CHA ALOMA ULIZIA HOSPITAL YA WACHINA NASKIA WAMEJITAIDI SANA DAWA YAO NZURI NI VIKOPO VITATu
baada ya kupimwa nimepewa ushauri na mashart ya kuyafuata.lakini nimegunduwa kuwa hapa jf kuna watu wengi ambao wanaweza kunisaidia zaidi kama mnavyofanya hivi sasa.
Mkuu,
Kwa ushauri; Ingekuwa vizuri kuufanyia kazi, kuueleza hapa kulingana na daktari alivyokushauri, ili pale penye upungufu tunaweza kusaidiana, KULIKO watukukushauri TENA yaleyale uliyeelezwa kwa daktari wako.
Kuhusu Dawa:
Nadhani kama kulikuwa na haja kukupa matibabu(dawa, upasuaji,n.k) daktari angekushauri hivyo na pengine ulipata matibabu, hivyo ingekuwa vizuri kurudi kwa daktari kama matibabu hayafanyi kazi...SIKUSHAURI kubadilisha dawa za kisukari bila kumuona daktari.
-Vivyo hivyo kwa vidonda vya Tumbo.
Pole, lakini usikate tamaa...(ingawaje sina uhakika wa asilimia 100, ya upimaji ulioufanya..mf. vipimo vilivyochukuliwa kwako kukutwa na matatizo haya)...Bado nikutie moyo kuwa ushauri na dawa vitakusaidia..Usihangaike hangaike kutafuta madaktari(Shopping doctor)..kuna vyama mfano. vya Kisukari jiunge navyo vitakusaidia pia.

Wanajf ninaomba msaada wa dawa ya vidonda vya tumbo na za kisukari au ushauri unaoweza kunifanya nikapata unafuu kama siyo kupona kabisa.baada ya kupimwa hosptal na kukutwa na maradhi hayo ambayo yote ni mazito.
Ngoja nihifadhi huu uzi, ni muhimu .
Ndiyo chitambikwaThanks ,vipi umethibitishwa na tbs ?
Ndiyo chitambikwa
Huwezi kufanikiwa kupata maelezo yake kwenye Google.Mie nai google nione matumizi yake na nikirizika nakupm
Ukisoma hayo maelezo utaweza kuona ni nzuri sana na ina umuhimu sana siyo kwa ajili ya vidonda vya tumbo tu. Nakupa pole sana kama umeshafanya hivyo sbb kusema kweli ni kero kwa walio wengi kuhusiana na matatizo ya afya halafu wanakutana na watu wasiojali afya ya mtu badala yake wanajali fedha. Sisi tunajali sana huduma nzuri ikiwa ni pamoja na ufuatiliaji. Hiyo ni gharama ya dozi kama unavyoona hicho kichupa. Mafanikio ya yake ni mazuri sana na wengi wanashukuru sana.Je hiyo ni bei ya kichupa hicho kimoja tu? Au ndiyo full dose? Kuna verification yoyote ya mgonjwa kupona? Au ni loliondo style! Je muna utaratibu wowote wa kufuatilia maendeleo ya mgonjwa? Au akishanunua product yenu ndio hakuna kujuana tena,afe, apone ni shauri yake!! Kiasi cha pesa nilichotumia mpaka sasa kujitibu vidonda vya tumbo ni sawa na gharama ya kujenga dispensary ya kijiji,na bado tatizo liko palepale, je hii ya kwako ina tofauti gani kimsingi na nyingine nilizotumia? Hadi sasa nimeshabugia KIKOMBE cha loliondo,fiterawa,vitunguu swaumu,juice ya kabeji nyekundu,asali na maziwa ya ngamia nk,nijibu hayo nitakuja mbio kupata tiba yako, asante.