Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Rahabu ni feki kuna mtu anaitwa dr kayombo yupo tabata segerea ye dawa yake ni elfu 20 baada ya siku 7 unakula kila kitu.mimi ni mmoja wa mashuhuda namba yake ni 0655629187 ni kwa vidonda vya tumbo.
 
Mkuu Pole,
Sijaelewa mkuu yaani ulipima ukakutwa na matatizo haya na kisha hawakufanya lolote hadi kuja kuomba ushauri na dawa JF?

baada ya kupimwa nimepewa ushauri na mashart ya kuyafuata.lakini nimegunduwa kuwa hapa jf kuna watu wengi ambao wanaweza kunisaidia zaidi kama mnavyofanya hivi sasa.
 
Ninawashukuru wale wote wanao nipa ushauri mbalimbali.katika ushauri uambao nimeupata kuna kitu ambacho nimekipata na nitakifanyia kazi.pia niko tayari kuendelea kupokea ushauri kutoka kwa watu mbalimbali ambao nitaufanyia kazi pia.
 
POLE KAKA WALA USIUMIE MARADHI TUMEUNDIWA SISI BINADAMU SASA,
KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO NENDA KWA DR RAHABU KARIBU NA BUGURUNI PETROL STATION UKIFIKA APO JUST ULIZIA UTAELEKEZWA, ISHU YA KISUKARI PANDA MAGARI YANAYOENDA TABATA SHUKA KITUO CHA ALOMA ULIZIA HOSPITAL YA WACHINA NASKIA WAMEJITAIDI SANA DAWA YAO NZURI NI VIKOPO VITATu

Amehamia Ubungo Plaza
 
ALOE VERA GEL
Kinywaji hiki cha asili kinasaidia kuondoa sumu, kusafisha na kusaidia mmeng’enyo wa chakula, kuondoa vimbe, kuponya vidonda na kusaidia uponyaji wa maradhi kama arthritis, kisukari, vidonda vya tumbo,kukuongezea nguvu, kupunguza aleji mwilini na mengine mengi. Ina virutubisho kama vitamin 12 ikiwemo B12, madini 20, amino acid 18 na enzymes.
Email: healthwealthfirst@gmail.com
 
Attachments

  • aloe-vera-gel.jpg
    aloe-vera-gel.jpg
    10.2 KB · Views: 111
baada ya kupimwa nimepewa ushauri na mashart ya kuyafuata.lakini nimegunduwa kuwa hapa jf kuna watu wengi ambao wanaweza kunisaidia zaidi kama mnavyofanya hivi sasa.

Mkuu,
Kwa ushauri; Ingekuwa vizuri kuufanyia kazi, kuueleza hapa kulingana na daktari alivyokushauri, ili pale penye upungufu tunaweza kusaidiana, KULIKO watukukushauri TENA yaleyale uliyeelezwa kwa daktari wako.

Kuhusu Dawa:
Nadhani kama kulikuwa na haja kukupa matibabu(dawa, upasuaji,n.k) daktari angekushauri hivyo na pengine ulipata matibabu, hivyo ingekuwa vizuri kurudi kwa daktari kama matibabu hayafanyi kazi...SIKUSHAURI kubadilisha dawa za kisukari bila kumuona daktari.

-Vivyo hivyo kwa vidonda vya Tumbo.

Pole, lakini usikate tamaa...(ingawaje sina uhakika wa asilimia 100, ya upimaji ulioufanya..mf. vipimo vilivyochukuliwa kwako kukutwa na matatizo haya)...Bado nikutie moyo kuwa ushauri na dawa vitakusaidia..Usihangaike hangaike kutafuta madaktari(Shopping doctor)..kuna vyama mfano. vya Kisukari jiunge navyo vitakusaidia pia.
 
ushauri niliopewa na daktari ni kwamba nisitumie vyakula vyenye gesi kwa upande wa vidonda.kwa upande wa kisukari nimeshauriwa kutotumia vya kula vyenye sukari.pia nimepewa dawa za kupunguza sukari mwilini na kupunguza gesi tumboni.nimeelezwa kuwa hakuna dawa ya kuponya moja kwa moja.isipokuwa zilizopo ni za kupunguza tu.
 
Wanajf ninaomba msaada wa dawa ya vidonda vya tumbo na za kisukari au ushauri unaoweza kunifanya nikapata unafuu kama siyo kupona kabisa.baada ya kupimwa hosptal na kukutwa na maradhi hayo ambayo yote ni mazito.

Pole Mkuu:
Kwa vidonda vya tumbo:

Kunywa maji ml 500 kila nusu saa kabla ya kula chakula cha asubuhi, mchana na jioni, kisha unahesabu masaa 2 baada ya kila mlo na unywe maji tena ml 500.

NINI HUSABABISHA VIDONDA VYA TUMBO?:

Unapokaribia kutaka kula chakula chochote, au ukiwaza kutaka kula au ukiuona tu msosi kwa macho, TUMBONI MWAKO HUZARISHWA KITU KINAITWA "haidrokloriki asidi" ambayo huuandaa na kuusaidia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ufanye kazi zake vizuri.

HAIDROKLORIKI ASIDI hii ni lazima ipunguzwe makali (must be neutralized) kabla hujaanza kula chakula.

INAPUNGUZWAJE MAKALI?:

Kwa kunywa maji nusu saa kabla ya kula chakula. KAMA HAITAPUNGUZWA MAKALI, ASIDI HIYO HUENDA KUTOBOA KUTA ZA TUMBOna hatimaye taratibu baadaye hukusababishia VIDONDA VYA TUMBO.

Kwa upande wa kisukari:

Bonyeza link ifuatayo ukajifunze kisukari hutokeaje mwilini na namna ya ujitibu bila kutumia gharama yeyote:
http://maajabuyamaji.net/2012/10/22/202/#.UKE8_LHR7Ic

Ukifanikiwa usisahau kuja kuwajulisha wezako hapa.
 
Dawa ya ugonjwa wa kisukari

>>>>Upate aina za dawa zifuatazo, kila moja kiasi cha gram 100, saga
>>>>pamoja na dawa zifuatazo:
>>>>1. Shubiri
>>>>
>>>>2. Ubani
>>>>
>>>>3. Mvuje
>>>>
>>>>4. Ukwaju
>>>>
>>>>5. Habasoda
>>>>
>>>>(kiasi cha dawa hizi hazijatwangwa, hivyo jaribu kukadiria
>>>>mwenyewe) baada ya kusaga vizuri, gawanya katika mafungo matatu
>>>>yaliyosawa. Changanya fungu moja na maji kiasi cha chupa mbili na
>>>>uchemshe kwa dakika kumi. Ipua na iwache ipoe, chuja na hifadhi
>>>>katika chupa nadhifu.
>>>>
>>>> MATUMIZI YA DAYA YENYEWE
>>>>
>>>>Tumia kila siku kikombe kimoja cha kahawa kabla ya kula chochote
>>>>asubuhi kwa muda wa siku 13. Ikiisha dawa hii basi chukua fungu
>>>>la pili na uchemshe kama ulivofanya kwa fungu la mwanzo. Tumia
>>>>daya hii tena kwa muda ule ule wa siku 13.
>>>>
>>>>Itakapokwisha dawa hii basi chukua fungu la tatu na uitayarishe
>>>>kamaUlivyofanya mafungu mawili ya mwanzo. Tumia dawa hii kama
>>>>dawa hizo mbili za mwanzo ila tu kwa muda wa siku 14 , hii
>>>>itafanya jumla ya siku za kunywa daya kuwa siku 40.
>>>>
>>>>Baada ya siku hizo 40 utajisikia kuwa ugonjwa wa kisukari
>>>>umekwisha na unaweza kuanza kula vitu vyote ulivyokuwa
>>>>umekatazwa. Inshallah kwa kudra zake mwenyezi mungu utakuwa
>>>>umepona maradhi hayo.

Dawa ya Vidonda vya tumbo.
Kila Tiba kati ya zifuatazo ni yenye kujitegemea.Chagua iliyo rahisi kwako.Isipokufaa ndipo uchague nyengine

TIBA 1:
Tafuta glasi 1 (250ml) ya asali.Weka matone 10 ya Mafuta ya habbat Sawda.Changanya na kijiko kimoja (10ml) cha unga wa ganda la komamanga lililo kaushwa kwa kuwekwa juani.
Mgonjwa atakunywa dawa hii kutwa mara 1 (1×1) kwa muda wa siku 60 mfululizo.
Ni bora kutumia dawa hii asubuhi mapema kabla mgonjwa hajakula chochote.
TIBA 2:
Chukua kopo moja (1Ltr) la maji safi changanya kijiko kimoja kidogo (5ml) cha bizari ya pilau (uzile) na kijiko kidogo (5ml) cha unga wa haba soda.
Chemsha halafu iwache ipoe.Kunywa kikombe kimoja cha chai (200ml) kila siku (1×1) kabla ya kulala.
Tahadhari;usitumie vitu kama kahawa,pilipili na vitu vyengine vyote vikali

Tumia kisha uje hapa unipe feedback.@Tukundane
 
REISHI

Bidhaa hii inatokana na uyoga mwekundu unaotoka Asia ya mashariki, China, Japan. Uyoga(Ganoderma licidum) unaaminika sana Asia ya mashariki kuwa ni mmea ambao unawapa urefu wa maisha.

FAIDA YA REISHI

  • Kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Inapunguza kasi ya kuzeeka
  • Inaimarisha utendaji kazi wa moyo
  • Inaondoa uchovu mwilini
  • Inaimarisha ubongo,kumbukumbu na usikivu
  • Inatibu presha ya kushuka
  • Inatibu vidonda vya tumbo
  • Inatibu pumu, allegy
  • Inasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kukupa usingizi mzuri
  • Inapambana na maambukizi ya bacteria na fungus
  • Inasaidia mwili kujikinga na kansa
  • Inatibu matatizo ya candida

Kwa ambaye anahitaji kupata hiyo product anaweza kuwasiliana nami kupitia namba 0776491294 pia kwa barua pepe ishealthy@hotmail.com.
Gharama yake ni Tsh 85000/- tu
Ukiwa unahitaji ushauri au ukiwa na swali unaweza pia kuwasiliana.
 
Attachments

  • REISHI.jpg
    REISHI.jpg
    127.6 KB · Views: 120
Je hiyo ni bei ya kichupa hicho kimoja tu? Au ndiyo full dose? Kuna verification yoyote ya mgonjwa kupona? Au ni loliondo style! Je muna utaratibu wowote wa kufuatilia maendeleo ya mgonjwa? Au akishanunua product yenu ndio hakuna kujuana tena,afe, apone ni shauri yake!! Kiasi cha pesa nilichotumia mpaka sasa kujitibu vidonda vya tumbo ni sawa na gharama ya kujenga dispensary ya kijiji,na bado tatizo liko palepale, je hii ya kwako ina tofauti gani kimsingi na nyingine nilizotumia? Hadi sasa nimeshabugia KIKOMBE cha loliondo,fiterawa,vitunguu swaumu,juice ya kabeji nyekundu,asali na maziwa ya ngamia nk,nijibu hayo nitakuja mbio kupata tiba yako, asante.
 
Ukisoma hayo maelezo utaweza kuona ni nzuri sana na ina umuhimu sana siyo kwa ajili ya vidonda vya tumbo tu. Nakupa pole sana kama umeshafanya hivyo sbb kusema kweli ni kero kwa walio wengi kuhusiana na matatizo ya afya halafu wanakutana na watu wasiojali afya ya mtu badala yake wanajali fedha. Sisi tunajali sana huduma nzuri ikiwa ni pamoja na ufuatiliaji. Hiyo ni gharama ya dozi kama unavyoona hicho kichupa. Mafanikio ya yake ni mazuri sana na wengi wanashukuru sana.
 
Back
Top Bottom