HardMartin
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 306
- 109
Mkuu HardMartin Unapo amka asubuhi kabla ya kula kitu kinga mkojo wako mwenyewe kipimo cha glasi moja kila siku kunywa kwa muda siku 7 kisha uje unipe feeback.
Mkuu HardMartin Kawaida tu tumia dawa hiyo haina masharti yoyote tumia kwa muda wa siku 10 kisha nenda kapime utakuta huna vidonda vya tumbo vitakuwa vimekauka kabisa inshallah ukimaliza njoo uje hap utupe maendeleo yako umepona au bado?nashukuru sana Mkuu baada ya hzo siku 10 ntakuja kufunguka jukwaan kutoa matokeo lakin kipndi hcho chote ntakachokuwa natumia hii cjajua kama natakiwa niwe katka life style gan? hasa kwa upande wa chakula na vtu vingine
hakuna swali hapo bro!Ila unataka kukamua maziwa beberu!
Jamaa anaitwa "AFYA" au "Health" anauza "supplements" toka ughaibuni (UYOGA wa INDIA) kwa gharama kubwa lakini cha kusikitisha bado watanzania wengi wanatumia gharama kubwa kwenda INDIA kwenye matibabu.. kwa nini hivi vichupa kama vinatibu msiwauzie MSD au mpeleke pale Muhimbili ikawa nafuu kwa wagonjwa wengi??
Kama upo tayari kama umejaribu hivyo vyote umeshindwa mi nipo tayari kukusaidia kwa laki 250
Huwezi kufanikiwa kupata maelezo yake kwenye Google.
The Boss mama yangu anataabika sana na hivi vidonda katumia dawa ya Rahabu miezi 6 imepita na alifuata masharti mpaka huruma aliumwa malaria akapewa dawa zikatibua na alipimwa akaambiwa vipo bado kapewa dozi tena mi hata nashindwa kuamini hizi tiba mbadala watu wanatumia afya za watu kwa interest zao
Siyo kweli kuna namna ya kuondoa kabisa tatizo ili mradi tu unazingatia maagizo. Fuatilia maelezo ya hapo chini kuhusu kutibu vidonda vya tumbo.
REISHI
Bidhaa hii inatokana na uyoga mwekundu unaotoka Asia ya mashariki, China, Japan. Uyoga(Ganoderma licidum) unaaminika sana Asia ya mashariki kuwa ni mmea ambao unawapa urefu wa maisha.
FAIDA YA REISHI
CA + FE + ZI PLUS
- Kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
- Inapunguza kasi ya kuzeeka
- Inaimarisha utendaji kazi wa moyo
- Inaondoa uchovu mwilini
- Inaimarisha ubongo,kumbukumbu na usikivu
- Inatibu presha ya kushuka
- Inatibu vidonda vya tumbo
- Inatibu pumu, allegy
- Inasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kukupa usingizi mzuri
- Inapambana na maambukizi ya bacteria na fungus
- Inasaidia mwili kujikinga na kansa
- Inatibu matatizo ya candida
FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA
- CA – Madini ya Chokaa
- FE – Madini ya Chuma
- ZI – Madini ya Zinki
FAIDA ZA MADINI CHUMA
- 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
- Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
- Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
- Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
- Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha
FAIDA ZA MADINI YA ZINKI
- Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
- Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
- Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
- Huongeza nguvu mwilini
- Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
- Inaimarisha milango ya fahamu
- Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
- Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
- Inaondoa matatizo ya macho.
GOLDEN HYPHA
Bidhaa hii inatokana na uyoga wa njano na uyoga mweupe wa kawaida.
FAIDA ZA GOLDEN HYPHA
- Inasaidia kujikinga na saratani(kansa)
- Kuzuia kuenea kwa saratani(kansa) ya mwili
- Kujenga upya mfumo wa kinga mwilini na kuuimarisha
- Inaondoa madhara ya baadaye na matibabu ya kansa
- Inaondoa uvimbe mwilini
- Inatibu matatizo ya ini
- Inaongeza ute ute tumboni, puani,machoni na ukeni
- Kutibu matatizo ya ngozi
- Kupambana na bacteria na virusi
Kwa yeyote anayehitaji kuuliza swali au kutaka ushauri anaweza kunipigia kwa namba 0776491294 pia anaweza kuniandikia ujumbe kupitia email ishealthy@hotmail.com
Gharama za REISHI ni Tsh 85000/-, GOLDEN HYPHA ni 72000/- na CA+FE+ZI Plus ni 51000/-
Rahabu asiwadanganye kwanza sio daktari, ni sawa na yule anayjiita prof. majimarefu lakini hana dawa yoyote ya kuponya vidonda vya tumbo. kwa taarifa nilizonazo hata dawa zake zilipimwa na Wizara ya Afya na kuonekana hazifai lkn kwasababu ya vifua/mgongo wa wanasiasa bado anauza dawa hizo na kuwadanganya watu. kwa mnaobisha mwabieni awapatie vyeti halali za mamlaka zinazohusika na kuruhus matumizi ya dawa nchini
wajinga wasiotafuta habari ndio waliwao, kwani yeye hana tofauti na kikombe cha Babu wa Loliondo, mwisho wake uko wapi, wengi waliokunywa kikombe cha babu, wamekufa vifo vya aibu
msidanganywe na waganga wa kienyeji na wachawi hawana dawa, ni mbwembwe zisizo na manufaa yoyote kabisa
Siyo kweli kuna namna ya kuondoa kabisa tatizo ili mradi tu unazingatia maagizo. Fuatilia maelezo ya hapo chini kuhusu kutibu vidonda vya tumbo.