Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Nenda kwanza hosptal kubwa yenye maabara ya kisasa then wafanye seriological test for detection of H.pylor antbodies ndipo uanze medication! Kapime kwanza usikimbilie dawa.
 
Kupitia jukwaa hili napenda kupiga hodi na moja kwa moja kuhitaji kujua ni lishe ya aina gani kuanzia asubuhi hadi usiku ambayo inamfaa mtu mwenye tatizo la vidonda vya tumbo. Nawasilisha.
 
Hii ni dawa ya uhakika inayotibu vidonda vya tumbo kwa asilimia mia moja.
Ni dawa ya asili iliyochanganywa miti miwili na imefanyiwa utafiti wa kina na kupimwa, haina madhara yoyote.
Imeshatibu watu wengi na wakapona kabisa hakuna aliyetumia akaacha kupona.
Mtu yeyote mwenye shida ya vidonda vya tumbo awasiliane nasi kwa simu no:+255754 806828
 
A hint please!!watu tunateseka huku wewe unaweka ki tangazo kisichoeleweka?bora hata ungesema wewe ni nani na uko wapi,nimeshapiga simu hadi airtime imeniishia kwa watu wa dizaini yako.
 
naomba namba ya yeyote yule amabaye umeishamtibu ndugu yangu kwani mimi nina shida kweli na vidonda vya tumbo!!
 
waganga feki wanatumia matatizo yetu kutoka! Muwe na ubinadamu jamani
 
Inanywewa kwa kikombe kama cha babu, bilauri ama bakuli kama ya supu ya silindahedi kwa mangi?
 
Msidanagnyike wana JF,vidonda vya tumbo mpaka sasa havina dawa,dawa zilizopo ni hupunguza uzalishaji wa acid tumboni ambayo ndo husababisha maumivu kwa kipindi cha mwaka mpaka miaka miwili,na katika kipindi hicho vidonda ndo huwa vinapata nafasi ya kupona naturally taratibu,ni baada ya muda huo acid itakapoanza kuzalishwa kwa njia ya kawaida inakuta vidonda vimeshapona.na katika kipindi hicho inabidi uache kunywa pombwe,vyakula vya acid na spies,mi nimekaa na vidonda kwa miaka mitano na nimefuata masharti hayo na napona sasa.HAKUNA DAWA YA ULCERS kwa maana ya ukitumia unapona kama unavyopona kidonda kilichopo mguuni.
 
Acha ujinga wako ----- wewe, vidonda vya tumbo VINATIBIKA. Nenda hospitali
 
Msidanagnyike wana JF,vidonda vya tumbo mpaka sasa havina dawa,dawa zilizopo ni hupunguza uzalishaji wa acid tumboni ambayo ndo husababisha maumivu kwa kipindi cha mwaka mpaka miaka miwili,na katika kipindi hicho vidonda ndo huwa vinapata nafasi ya kupona naturally taratibu,ni baada ya muda huo acid itakapoanza kuzalishwa kwa njia ya kawaida inakuta vidonda vimeshapona.na katika kipindi hicho inabidi uache kunywa pombwe,vyakula vya acid na spies,mi nimekaa na vidonda kwa miaka mitano na nimefuata masharti hayo na napona sasa.HAKUNA DAWA YA ULCERS kwa maana ya ukitumia unapona kama unavyopona kidonda kilichopo mguuni.
Hiyo ni concept ya zamani, miaka ya karibuni watafiti wamegundua vidonda vya tumbo vinasababishwa na bacteria anayeitwa pylori. huyu bakteria ndiye anashambulia kuta za tumbo na kusababisha vidonda. Zipo antibiotics za kushughulika na huyu bakteria na mgonjwa anapona kabisa au kupata relief sana baada ya wiki nane.Wenye ulcers kuweni macho na waganga feki.
 
Dawa ya vidonda vya tumbo ni mgonjwa kunywa mkojo wake. Ndani ya mwezi 1 atakuwa amepona kabisa.
 
Mkuu hivi ninavyoongea niko Uturuki,last time ilikuwa mwaka jana nimepata dawa za vidonda vya tumbo katika hospital ya level 4,huko nyumbani ni sawa na muhimbili,dawa ambazo nimeambiwa zinaenda kupunguza secretion ya acid tumboni,hata hivyo sikatai bado,kama Bongo kuna dawa,basi mmebarikiwa sana.
 
Dawa ya vidonda vya tumbo ni mgonjwa kunywa mkojo wake. Ndani ya mwezi 1 atakuwa amepona kabisa.
Mkuu omben Mwezi mmoja kunywa mkojo wake mwenyewe mbona ni siku nyingi? Dawa ya vidonda vya tumbo mtu anywe mkojo wake mwenyewe kwa muda wa siku 10 tu zinatosha kila siku asubuhi akinge mkojo wake mwenyewe kipimo cha glasi 1 kabla ya kula kitu anywe kisha akae baada ya saa 1 anaweza kula chakula afanye hivyo kwa muda wa siku 10 kisha aende kwa Daktari kupima hana tena Vidonda vya Tumbo.
 
Last edited by a moderator:

Mbona ni dawa rahisi? unapona jumla kabisa?
 
Last edited by a moderator:
Mbona ni dawa rahisi? unapona jumla kabisa?
Mkuu Msenyele Ndio unapona kabisa nina ushahidi nimewahi kumuambia Mwanachama mmoja humu ndani na alitumia Mkojo wake Mwenyewe alikunywa na akapona na akaja kuleta Feedback

hapa anaitwa kwa jina hili mkuu.@ngoshwe njoo hapa uwathibitishe hawa wenye maradhi ya Vidonda vya tumbo

kuwa wewe umepona kwa kunywa mkojo wako mwenyewe hebu tembelea hapa kwa ushahidi kamili bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/203168-umetenda-maajabu-siwezi-kueleza.html
 
Last edited by a moderator:
Wakuu hebu chekini nimekuta hii article

Link ni Peptic ulcer: Treatments and drugs - MayoClinic.com

Treatments and drugs

By Mayo Clinic staff

Treatment for peptic ulcers typically involves antibiotics to kill the H. pylori bacterium and other medications to reduce the level of acid in your digestive system to relieve pain and encourage healing. You may take antibiotics for two weeks and acid-reducing medications for about two months.

If your peptic ulcer isn't caused by H. pylori, you won't need antibiotics. Instead, your doctor may recommend treatments for your specific situation. For instance, if pain relievers caused your ulcer, your doctor may recommend a different pain reliever or a different dose. Your doctor may also recommend acid-reducing medications to allow your ulcer to heal. You may take these medications for two months or more.

Treatments for peptic ulcer can include:

Antibiotic medications to kill H. pylori. If H. pylori is found in your digestive tract, your doctor may recommend a combination of antibiotics to kill the bacterium. Antibiotic regimens are different throughout the world. In the United States, antibiotics prescribed for treatment of H. pylori include amoxicillin, clarithromycin (Biaxin), metronidazole (Flagyl) and tetracycline. You'll likely need to take antibiotics for two weeks.

Medications that block acid production and promote healing. Proton pump inhibitors reduce acid by blocking the action of the parts of cells that produce acid. These drugs include the prescription and over-the-counter medications omeprazole (Prilosec), lansoprazole (Prevacid), rabeprazole (Aciphex), esomeprazole (Nexium) and pantoprazole (Protonix). Long-term use of proton pump inhibitors, particularly at high doses, may increase your risk of hip, wrist and spine fracture. Ask your doctor whether a calcium supplement may reduce this risk.

Medications to reduce acid production. Acid blockers —also called histamine (H-2) blockers —reduce the amount of acid released into your digestive tract, which relieves ulcer pain and encourages healing. Available by prescription or over-the-counter (OTC), acid blockers include the medications ranitidine (Zantac), famotidine (Pepcid), cimetidine (Tagamet) and nizatidine (Axid).

Antacids that neutralize stomach acid. Your doctor may include an antacid in your drug regimen. Antacids neutralize existing stomach acid and can provide rapid pain relief. Side effects can include constipation or diarrhea, depending on the main ingredients.

Medications that protect the lining of your stomach and small intestine. In some cases, your doctor may prescribe medications called cytoprotective agents that help protect the tissues that line your stomach and small intestine. They include the prescription medications sucralfate (Carafate) and misoprostol (Cytotec). Another nonprescription cytoprotective agent is bismuth subsalicylate (Pepto-Bismol).

Follow-up after initial treatment Treatment for peptic ulcers is often successful, leading to ulcer healing. But if your symptoms are severe or if they continue despite treatment, your doctor may recommend endoscopy to rule out other possible causes for your symptoms. If an ulcer is detected during endoscopy, your doctor may recommend another endoscopy after your treatment to make sure your ulcer has healed. Ask your doctor whether you should undergo follow-up tests after your treatment.

Ulcers that fail to heal Peptic ulcers that don't heal with treatment are called refractory ulcers. There are many reasons why an ulcer may fail to heal. These reasons may include:

Not taking medications according to directions.

The fact that some types of H. pylori are resistant to antibiotics.

Regular use of tobacco.

Regular use of pain relievers that increase the risk of ulcers.

Less often, refractory ulcers may be a result of:

Extreme overproduction of stomach acid, such as occurs in Zollinger-Ellison syndrome

An infection other than H. pylori

Stomach cancer

Other diseases that may cause ulcer-like sores in the stomach and small intestine, such as Crohn's disease

Treatment for refractory ulcers generally involves eliminating factors that may interfere with healing, along with using different antibiotics.
 
A hint please!!watu tunateseka huku wewe unaweka ki tangazo kisichoeleweka?bora hata ungesema wewe ni nani na uko wapi,nimeshapiga simu hadi airtime imeniishia kwa watu wa dizaini yako.

kweli kabisa. Hawa ni wapuuzi
 
Likiwa tamu sana halizuru ila yale machachu noma yana acid nyingi
 
Back
Top Bottom