Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msidanagnyike wana JF,vidonda vya tumbo mpaka sasa havina dawa,dawa zilizopo ni hupunguza uzalishaji wa acid tumboni ambayo ndo husababisha maumivu kwa kipindi cha mwaka mpaka miaka miwili,na katika kipindi hicho vidonda ndo huwa vinapata nafasi ya kupona naturally taratibu,ni baada ya muda huo acid itakapoanza kuzalishwa kwa njia ya kawaida inakuta vidonda vimeshapona.na katika kipindi hicho inabidi uache kunywa pombwe,vyakula vya acid na spies,mi nimekaa na vidonda kwa miaka mitano na nimefuata masharti hayo na napona sasa.HAKUNA DAWA YA ULCERS kwa maana ya ukitumia unapona kama unavyopona kidonda kilichopo mguuni.
Hiyo ni concept ya zamani, miaka ya karibuni watafiti wamegundua vidonda vya tumbo vinasababishwa na bacteria anayeitwa pylori. huyu bakteria ndiye anashambulia kuta za tumbo na kusababisha vidonda. Zipo antibiotics za kushughulika na huyu bakteria na mgonjwa anapona kabisa au kupata relief sana baada ya wiki nane.Wenye ulcers kuweni macho na waganga feki.Msidanagnyike wana JF,vidonda vya tumbo mpaka sasa havina dawa,dawa zilizopo ni hupunguza uzalishaji wa acid tumboni ambayo ndo husababisha maumivu kwa kipindi cha mwaka mpaka miaka miwili,na katika kipindi hicho vidonda ndo huwa vinapata nafasi ya kupona naturally taratibu,ni baada ya muda huo acid itakapoanza kuzalishwa kwa njia ya kawaida inakuta vidonda vimeshapona.na katika kipindi hicho inabidi uache kunywa pombwe,vyakula vya acid na spies,mi nimekaa na vidonda kwa miaka mitano na nimefuata masharti hayo na napona sasa.HAKUNA DAWA YA ULCERS kwa maana ya ukitumia unapona kama unavyopona kidonda kilichopo mguuni.
Mkuu hivi ninavyoongea niko Uturuki,last time ilikuwa mwaka jana nimepata dawa za vidonda vya tumbo katika hospital ya level 4,huko nyumbani ni sawa na muhimbili,dawa ambazo nimeambiwa zinaenda kupunguza secretion ya acid tumboni,hata hivyo sikatai bado,kama Bongo kuna dawa,basi mmebarikiwa sana.Hiyo ni concept ya zamani, miaka ya karibuni watafiti wamegundua vidonda vya tumbo vinasababishwa na bacteria anayeitwa pylori. huyu bakteria ndiye anashambulia kuta za tumbo na kusababisha vidonda. Zipo antibiotics za kushughulika na huyu bakteria na mgonjwa anapona kabisa au kupata relief sana baada ya wiki nane.Wenye ulcers kuweni macho na waganga feki.
Mkuu omben Mwezi mmoja kunywa mkojo wake mwenyewe mbona ni siku nyingi? Dawa ya vidonda vya tumbo mtu anywe mkojo wake mwenyewe kwa muda wa siku 10 tu zinatosha kila siku asubuhi akinge mkojo wake mwenyewe kipimo cha glasi 1 kabla ya kula kitu anywe kisha akae baada ya saa 1 anaweza kula chakula afanye hivyo kwa muda wa siku 10 kisha aende kwa Daktari kupima hana tena Vidonda vya Tumbo.Dawa ya vidonda vya tumbo ni mgonjwa kunywa mkojo wake. Ndani ya mwezi 1 atakuwa amepona kabisa.
Dawa ya vidonda vya tumbo ni mgonjwa kunywa mkojo wake. Ndani ya mwezi 1 atakuwa amepona kabisa.
Mkuu omben Mwezi mmoja kunywa mkojo wake mwenyewe mbona ni siku nyingi? Dawa ya vidonda vya tumbo mtu anywe mkojo wake mwenyewe kwa muda wa siku 10 tu zinatosha kila siku asubuhi akinge mkojo wake mwenyewe kipimo cha glasi 1 kabla ya kula kitu anywe kisha akae baada ya saa 1 anaweza kula chakula afanye hivyo kwa muda wa siku 10 kisha aende kwa Daktari kupima hana tena Vidonda vya Tumbo.
Mkuu Msenyele Ndio unapona kabisa nina ushahidi nimewahi kumuambia Mwanachama mmoja humu ndani na alitumia Mkojo wake Mwenyewe alikunywa na akapona na akaja kuleta FeedbackMbona ni dawa rahisi? unapona jumla kabisa?
A hint please!!watu tunateseka huku wewe unaweka ki tangazo kisichoeleweka?bora hata ungesema wewe ni nani na uko wapi,nimeshapiga simu hadi airtime imeniishia kwa watu wa dizaini yako.