Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa ya JIKO kuna jamaa nimempa iyo namba vidonda huwa vyamsumbua sana.
Mzizi pia nimempa mail yako maana hali tete kwa kweli mpaka namuonea huruma
Pole. mimi miaka ya 90 nilisumbuliiwa sana vidongo nika sili vyakula vyote vyenye acid na vyenye vichocheo vikali kama vile jamii ya kunde, chai ya rangi, pilipili, pilau na vyote vifananavyo.
Ila nashukuru Mungu baada ya kupona natwanga kila kitu kasoro mawe na kilicho haramu kwangu.
Mkuu Nimesema miaka ya tisini nikiwa nini maana kuanzia mwaka 1990 - 1999 so ni hapo kati kati kama mwaka 1996 - 1997 ndio niliisumbuliwa na hayo matatizo ya vidonda. Simaanishi nina miaka tisini. Mkuu kwa dunia ya sasa kufikisha miaka 90 ni muhali.kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk........mkuu kweli una miaka tisini wewe?
itabidi tuwaombee jukwaa maalumu la wazee ili muwe mnajadili mambo yenu ya kizee,huku kwingine hakuwafai maana kuna vijana waliotoka facebook wana mitusi humu ndani
Mkuu Nimesema miaka ya tisini nikiwa nini maana kuanzia mwaka 1990 - 1999 so ni hapo kati kati kama mwaka 1996 - 1997 ndio niliisumbuliwa na hayo matatizo ya vidonda. Simaanishi nina miaka tisini. Mkuu kwa dunia ya sasa kufikisha miaka 90 ni muhali.
Mkuu Truth Matters Kama hutaki Dawa zaTiba mbadala Nenda Hospitali ya Muhimbili watakupa Dawa ya Vidonda vya Tumbo ipo kule utapata dawa yako.Wakuu,
Hivi vidonda tumbo vinatibika na dawa za hospitali?
Anayejua dawa sahihi msaada tafadhali.
N.B sitaki dawa mbadala!
Mkuu Miaghay huyu Mkuu.@Truth Matter hataki dawa za Tiba mbadala anataka umpe dawa za kizungu nimemshauri aende Hospitali ya Rufaa ya Muhimbil kuna Dawa za Vidonda vya Tumbo atapata.Cayenne pepper is wonderfull for healing ulcers as well as dulling the pain.
..=eat raw cabbage or cabbage juice.it heal ulcers in ten days.
=coconut oil kill bacteria that cause ulcers.
Truth MattersWakuu,
Hivi vidonda tumbo vinatibika na dawa za hospitali?
Anayejua dawa sahihi msaada tafadhali.
N.B sitaki dawa mbadala!