Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Mkuu mcheki huyu mama atakusaidia 0712-386685/0686-552265.huwa anatembea maeneo mbalimbali ya tanzania nilimuona hapa lushoto, nikashawishika kutumia dawa yke mara moja tu unachanganya kwenye uji unakunywa, kama masihara vile sa hivi nakula maharage,pilipili,ndimu,kachumbari n.k.bei yake ni sh elfu 2. ila tahadhar ukitumia iyo dawa utaharisha kama mara 3 hivi hvyo unatakiwa uwe mazingira ya nyumbani.
 
Dawa ya JIKO kuna jamaa nimempa iyo namba vidonda huwa vyamsumbua sana.
Mzizi pia nimempa mail yako maana hali tete kwa kweli mpaka namuonea huruma
 
Dawa ya JIKO kuna jamaa nimempa iyo namba vidonda huwa vyamsumbua sana.
Mzizi pia nimempa mail yako maana hali tete kwa kweli mpaka namuonea huruma

.......pamoja Mkuu hope utaleta feeback baada ya ya huyo jamaa kupata hiyo tiba.
 
Inategemea na aina ya vidonda vya tumbo ulivyonavyo lakini asilimia kubwa wadudu wake wanapona kwa antibiotic kama vile amoxilline
 
Antibiotics for Stomach Ulcers


Stomach ulcers are open wounds that tend to develop in the stomach lining. A burning pain in the abdomen experienced for a few minutes to several hours is the most common symptom of a stomach ulcer. For a long time, stress and spicy foods were considered to be the main cause of stomach ulcers; however, now it is known that these ulcers can be caused by the Helicobacter pylori (H. pylori) bacterium. The treatment of stomach ulcers, therefore, involves antibiotic medications.

Amoxicillin

Amoxicillin is an antibiotic used for killing the bacteria responsible for stomach ulcers, reports MayoClinic.com. This antibiotic belongs to the penicillin group of drugs. It is often combined with another antibiotic called clarithromycin. The patient is also prescribed lansoprazole for the reduction of the acid in the stomach. Drugs.com states that people with asthma, liver disease, kidney disease, blood clotting disorder, and a proneness to diarrhea and allergy should inform their physicians before taking this drug. Side effects of the drug may include soreness in the throat, red skin rash, headache, diarrhea, easy bruising or bleeding, reduced urination, fever and chills, seizures, or confusion.


Clarithromycin

According to MayoClinic.com, clarithromycin is another antibiotic that is often prescribed for stomach ulcers caused by the Helicobacter pylori bacterium. This antibiotic belongs to the macrolide group of antibiotics. Patients with liver disease, kidney disease, myasthenia gravis, which is a neuromuscular disease, porphyria, a genetic metabolic abnormality, or a history of the long-QT syndrome, a disorder of the heart's electrical activity, should inform their physicians before taking this medication, reports Drugs.com.

Metronidazole

Metronidazole is another antibiotic that is used for the treatment of stomach ulcers caused by bacteria. Drugs.com states that this antibiotic works by entering the bacterial cell. It then acts on some components of the cell, killing the bacteria. It is used in combination with other antibiotics and stomach acid reducers to treat the stomach ulcer. People with liver disease, stomach or intestinal disease, anemia, epilepsy and nerve disorders should exercise caution while taking this drug. Side effects may include rapid heartbeat, warmth under the skin, tingling, nausea and vomiting.



Read more: Antibiotics For Stomach Ulcers | LIVESTRONG.COM
 
Ngoja tusubiri majibu
Wapi dr Riwa
 
Last edited by a moderator:
Pole. mimi miaka ya 90 nilisumbuliiwa sana vidongo nika sili vyakula vyote vyenye acid na vyenye vichocheo vikali kama vile jamii ya kunde, chai ya rangi, pilipili, pilau na vyote vifananavyo.

Ila nashukuru Mungu baada ya kupona natwanga kila kitu kasoro mawe na kilicho haramu kwangu.

kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk........mkuu kweli una miaka tisini wewe?
itabidi tuwaombee jukwaa maalumu la wazee ili muwe mnajadili mambo yenu ya kizee,huku kwingine hakuwafai maana kuna vijana waliotoka facebook wana mitusi humu ndani
 
kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk........mkuu kweli una miaka tisini wewe?
itabidi tuwaombee jukwaa maalumu la wazee ili muwe mnajadili mambo yenu ya kizee,huku kwingine hakuwafai maana kuna vijana waliotoka facebook wana mitusi humu ndani
Mkuu Nimesema miaka ya tisini nikiwa nini maana kuanzia mwaka 1990 - 1999 so ni hapo kati kati kama mwaka 1996 - 1997 ndio niliisumbuliwa na hayo matatizo ya vidonda. Simaanishi nina miaka tisini. Mkuu kwa dunia ya sasa kufikisha miaka 90 ni muhali.
 
Mkuu Nimesema miaka ya tisini nikiwa nini maana kuanzia mwaka 1990 - 1999 so ni hapo kati kati kama mwaka 1996 - 1997 ndio niliisumbuliwa na hayo matatizo ya vidonda. Simaanishi nina miaka tisini. Mkuu kwa dunia ya sasa kufikisha miaka 90 ni muhali.

Embu weka hiyo tiba hapa tuwasaidie na wengine mkuu...
 
Hakuna dawa ya kutibu Vidonda vya Tumbo Ma-Hospitalini. Dawa za Hospitali zinatuliza tu Vidond vya Tumbo lakini hazitibu hizo

dawa za Hospitalini. Ukitakata Dawa ya kutiibu vidond vya tumbo za Mitishamba tiba mbadala zipo Fanya moja kati ya hizi dawa

tumia kwa muda wa siku 10 ukiwa bado hujapona tumia dawa nyingine kwa huo muda tena.

(1) Dawa ya vidonda vya tumbo Kunywa mkojo wako mwenyewe kwa muda wa siku 10 tu zinatosha kila siku asubuhi ukinge mkojo wako

mwenyewe kipimo cha glasi 1 kabla ya kula kitu unywe kisha ukae baada ya saa 1 unaweza kula chakula ufanye hivyo kwa muda wa siku 10 kisha uende kwa Daktari kupima huta kuta tena Vidonda vya Tumbo.

(2) Dawa ya Vidonda vya Tumbo


TIBA 1:
Tafuta glasi 1 (250ml) ya asali.Weka matone 10 ya Mafuta ya habbat saudai.Changanya na kijiko kimoja (10ml) cha unga wa ganda la komamanga.
Mgonjwa atakunywa dawa hii kutwa mara 1 (1×1) kwa muda wa siku 60 mfululizo.



Ni bora kutumia dawa hii asubuhi mapema kabla mgonjwa hajakula chochote
.

TIBA 2
:
Chukua kopo moja (1Ltr) la maji safi changanya kijiko kimoja kidogo (5ml) cha bizari ya pilau (uzile) na kijiko kidogo (5ml) cha unga wa haba soda.
Chemsha halafu iwache ipoe.Kunywa kikombe kimoja cha chai (200ml) kila siku (1×1) kabla ya kulala.

Tahadhari;usitumie vitu kama kahawa,pilipili na vitu vyengine vyote vikali
 
Cayenne pepper is wonderfull for healing ulcers as well as dulling the pain.
..=eat raw cabbage or cabbage juice.it heal ulcers in ten days.

=coconut oil kill bacteria that cause ulcers.
 
Cayenne pepper is wonderfull for healing ulcers as well as dulling the pain.
..=eat raw cabbage or cabbage juice.it heal ulcers in ten days.

=coconut oil kill bacteria that cause ulcers.
Mkuu Miaghay huyu Mkuu.@Truth Matter hataki dawa za Tiba mbadala anataka umpe dawa za kizungu nimemshauri aende Hospitali ya Rufaa ya Muhimbil kuna Dawa za Vidonda vya Tumbo atapata.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu,
Hivi vidonda tumbo vinatibika na dawa za hospitali?
Anayejua dawa sahihi msaada tafadhali.

N.B sitaki dawa mbadala!
Truth Matters

Tumia kijiko kimoja cha chai cha mbegu za Carom. Unaweza kununua hizi Supermarkets kubwa kama Uchumi. Changanya na kijiko 1 cha chai cha chumvi. Changanya. Hii itakupa nafuu tu.

Unaweza pia kutumia glass 1 ya maji ya moto ukichanganya na kijiko 1 cha chai cha unga wa Licorice (get from Supermarket) au maduka ya wahindi Kisutu. Changanya na iache itulia kwa dakika 15. Chuja na kunywa mara 3 kwa siku.

Muhimu:

• Kunywa vikombe 2 vya maji ya madafu kila siku.
• Pia punguza au acha kabisa matumizi ya:
o Red meat
o Pilipili
o Vyakula vichungu au vikali
o Viungo au Pickles
o cafenated Tea na Kahawa
o Vitu vitamu kama sweets
o Soda
• Kila chakula masaa 2 kabla hujalala
• Tafuna kijiko kidogo cha Mbegu za fennel (Supermarket au kariakoo au Kisutu utapata) kila baada ya mlo
• Epuka kunywa maji pamoja na chakula au wakati wa kula kwani hiyo inadilute digestive juices/enzymes na kuchelewesha digestions.

Vidonda vya Tumbo vinasababishwa na:
• Kula sana na tumbo kujaa
• Kutumia chakula ambacho hakijapikwa
• Matumizi ya chai, pombe na kahawa
•Utumiaji wa viungo sana na sauces
• Stress au Msongo wa Mawazo au Maisha.

Kwa details tembelea: Mafanikio Na Afya Njema: Je Una Vidonda Vya Tumbo Au Ulcers? - Natural Home Remedies for Gastritis
 
Back
Top Bottom