Mkuu Miaghay huyu Mkuu.@Truth Matter hataki dawa za Tiba mbadala anataka umpe dawa za kizungu nimemshauri aende Hospitali ya Rufaa ya Muhimbil kuna Dawa za Vidonda vya Tumbo atapata.
Wakuu asanteni kwa michango yenu mizuri. Lakini wengi kama sio wote mme-ignore tahadhari yangu. Sina shida na tiba mbadala, ila mimi binafsi nimefikia conclusion kwamba tibba mbadala zinatakiwa zitumike kama mazoea ya kawaida (kinga) zaidi kuliko kutibu. Nina uzoefu sana na hizi dawa. Ukitumia kama kinga ndio huwa effective zaidi. Kama ulcers zinasababishwa na bacteria fulani, bila shaka hospitali watakuwa na antibiotic kwa ajili yake.
Hilo tu!
Mkuu Mgaya.com Huyu.@Truth Matters Mpuuzi fulani angelikuwa anajuwa asingelikuja hapa kuulizia hiyo dawa ya Vidonda vya tumbo tumuache kama alivyo kwanza amekula BAN kwa jeuri yake anawasumbuwa watu akili zao.Bro ni mbaya sana kuomba ushauri halafu huku unajifanya unajua! Kwa nn umeuliza kama ulikuwa unajua? Nenda kapimwe utakuwa na ugonjwa mwingine unaokusumbua!nawasilisha!
Hakuna dawa ya kutibu Vidonda vya Tumbo Ma-Hospitalini. Dawa za Hospitali zinatuliza tu Vidond vya Tumbo lakini hazitibu hizo
dawa za Hospitalini. Ukitakata Dawa ya kutiibu vidond vya tumbo za Mitishamba tiba mbadala zipo Fanya moja kati ya hizi dawa
tumia kwa muda wa siku 10 ukiwa bado hujapona tumia dawa nyingine kwa huo muda tena.
(1) Dawa ya vidonda vya tumbo Kunywa mkojo wako mwenyewe kwa muda wa siku 10 tu zinatosha kila siku asubuhi ukinge mkojo wako
mwenyewe kipimo cha glasi 1 kabla ya kula kitu unywe kisha ukae baada ya saa 1 unaweza kula chakula ufanye hivyo kwa muda wa siku 10 kisha uende kwa Daktari kupima huta kuta tena Vidonda vya Tumbo.
(2) Dawa ya Vidonda vya Tumbo
TIBA 1:
Tafuta glasi 1 (250ml) ya asali.Weka matone 10 ya Mafuta ya habbat saudai.Changanya na kijiko kimoja (10ml) cha unga wa ganda la komamanga.
Mgonjwa atakunywa dawa hii kutwa mara 1 (1×1) kwa muda wa siku 60 mfululizo.
Ni bora kutumia dawa hii asubuhi mapema kabla mgonjwa hajakula chochote.
TIBA 2:
Chukua kopo moja (1Ltr) la maji safi changanya kijiko kimoja kidogo (5ml) cha bizari ya pilau (uzile) na kijiko kidogo (5ml) cha unga wa haba soda.
Chemsha halafu iwache ipoe.Kunywa kikombe kimoja cha chai (200ml) kila siku (1×1) kabla ya kulala.
Tahadhari;usitumie vitu kama kahawa,pilipili na vitu vyengine vyote vikali
Wakuu,
Hivi vidonda tumbo vinatibika na dawa za hospitali?
Anayejua dawa sahihi msaada tafadhali.
N.B sitaki dawa mbadala!
Mkuu Chemiker Hiyo Namba Moja ndio Dawa inayoweza kutibu vidonda vya Tumbo kwa haraka zaidi kuliko dawa hizo zingine kama unaye mgonjwa jaribu kutumia hiyo dawa.Kisha uje unipe Feedback.Mkuu ''taproot'', Hiyo number (1) mmh....!! Tiba mbadala ni nzuri kwa matibabu ya vidonda vya tumbo hata hao wazungu ndio wanazitumia . Pia, matumizi ya dagaa wale wadogodogo ni hatari, sababu vile vimiba vyake vinaenda kutoboa toboa utumbo.
Hakuna dawa ya kutibu Vidonda vya Tumbo Ma-Hospitalini. Dawa za Hospitali zinatuliza tu Vidond vya Tumbo lakini hazitibu hizo
dawa za Hospitalini. Ukitakata Dawa ya kutiibu vidond vya tumbo za Mitishamba tiba mbadala zipo Fanya moja kati ya hizi dawa
tumia kwa muda wa siku 10 ukiwa bado hujapona tumia dawa nyingine kwa huo muda tena.
(1) Dawa ya vidonda vya tumbo Kunywa mkojo wako mwenyewe kwa muda wa siku 10 tu zinatosha kila siku asubuhi ukinge mkojo wako
mwenyewe kipimo cha glasi 1 kabla ya kula kitu unywe kisha ukae baada ya saa 1 unaweza kula chakula ufanye hivyo kwa muda wa siku 10 kisha uende kwa Daktari kupima huta kuta tena Vidonda vya Tumbo.
(2) Dawa ya Vidonda vya Tumbo
TIBA 1:
Tafuta glasi 1 (250ml) ya asali.Weka matone 10 ya Mafuta ya habbat saudai.Changanya na kijiko kimoja (10ml) cha unga wa ganda la komamanga.
Mgonjwa atakunywa dawa hii kutwa mara 1 (1×1) kwa muda wa siku 60 mfululizo.
Ni bora kutumia dawa hii asubuhi mapema kabla mgonjwa hajakula chochote.
TIBA 2:
Chukua kopo moja (1Ltr) la maji safi changanya kijiko kimoja kidogo (5ml) cha bizari ya pilau (uzile) na kijiko kidogo (5ml) cha unga wa haba soda.
Chemsha halafu iwache ipoe.Kunywa kikombe kimoja cha chai (200ml) kila siku (1×1) kabla ya kulala.
Tahadhari;usitumie vitu kama kahawa,pilipili na vitu vyengine vyote vikali
Mkuu Chemiker Hiyo Namba Moja ndio Dawa inayoweza kutibu vidonda vya Tumbo kwa haraka zaidi kuliko dawa hizo zingine kama unaye mgonjwa jaribu kutumia hiyo dawa.Kisha uje unipe Feedback.
wewe unayeandika utumbo huu, umeufanyia research.? Yeye hataki mandodi,name marahabu yako ,Anahitaji ushauri wa kitaalam, kaa kimya ,pisha wataalam
Mkuu MziziMkavu heshima kwako, nimesikitishwa na namna ulivyonitukana. Lazima ukubali mawazo tofauti nisawa na dini, kila mmoja anaamini ya kwake. Mimi kuzikataa tiba mbadala kwenye hili nina sababu zangu za msingi. Hata wewe ukiumwa sasa tutakupeleka hospitali hiyo 'mikojo' yako utaikimbia! Ukweli ni kuwa tiba mbadala 90% ni magumashi, labda utumie kama chakula tu cha kila siku!Mkuu Mgaya.com Huyu.@Truth Matters Mpuuzi fulani angelikuwa anajuwa asingelikuja hapa kuulizia hiyo dawa ya Vidonda vya tumbo tumuache kama alivyo kwanza amekula BAN kwa jeuri yake anawasumbuwa watu akili zao.
kwa vyovyote vile wewe ni mgeni humu !wewe unayeandika utumbo huu, umeufanyia research.? Yeye hataki mandodi,name marahabu yako ,anahitaji ushauri wa kitaalam, kaa kimya ,pisha wataalam
Mkuu Masoud Mwakoba Kwa sababu umepona wewe ndio unafikiri kila mtu akinywa hizo Dawa za kutoka kigoma atapona? Zilete hapa Mjini Dares-Salaam uwatibie watu? Unasema Namba namba 1 hapana kivyako wewe kuna watu humu ndani wametumia hiyo namba 1 na wamepona ngojea nikuitie mmoja wapo anaitwa Mr.@ngoshwe njoo uje umuambie Faida ya kunywa Mkojo wako mwenyewe kutibu vidond vya Tumbo huyu kijana anabisha.Namba 1 hapana kabisaa,mimi niliumwa vidonda vya tumbo kwa miaka 8 na niliponea kigoma na miti iliyotumika naifahamu lakin ipo kule kule tu haipo sehemu zingne za TZ,kwa sasa nakula chochote na toka nipone ni miaka 6 sasa na nilishawahi waletea watu 4 huku Dar na wao wamepona hadi sasa,hizo dawa ulizoorozeshewa hapo juu haziponyeshi hata unywe miaka 10,kama unaweza kwenda kigoma nichek in box kwenye fb kupitia jina langu hilo nikuelekeze!Pole sana
Pole. mimi miaka ya 90 nilisumbuliiwa sana vidongo nika sili vyakula vyote vyenye acid na vyenye vichocheo vikali kama vile jamii ya kunde, chai ya rangi, pilipili, pilau na vyote vifananavyo.
Ila nashukuru Mungu baada ya kupona natwanga kila kitu kasoro mawe na kilicho haramu kwangu.
rubi ulitumia dawa gani pliz nina mdogo wangu anateseka sana pliz plizpole. Mimi miaka ya 90 nilisumbuliiwa sana vidongo nika sili vyakula vyote vyenye acid na vyenye vichocheo vikali kama vile jamii ya kunde, chai ya rangi, pilipili, pilau na vyote vifananavyo.
Ila nashukuru mungu baada ya kupona natwanga kila kitu kasoro mawe na kilicho haramu kwangu.
Mmh nivea mimi hatua yangu ilikuwa ndefu kidogo sijui kama maelezo yangu yatakusaidia ila kifupi kipindi hicho nilishikika kisawasawa hadi nikawa natembea kama ninakibyongo kwa ajili ya maumivu.rubi ulitumia dawa gani pliz nina mdogo wangu anateseka sana pliz pliz