Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Tumien dawa za asili, aloevera na vidonge vya majani ya ngano changa ni kiboko ya vidonda vya tumbo! Hakuna aliyetumia akalalamika ni pm upate ya kwako.
 
Nami ndo tatzo langu kubwa,jaman tuwe serious ni kweli mkojo ni dawa ya vidonda vya tumbo?
 
Kwa wale wanaosumbuliwa na vidonda vya tumbo aina zote yaani vidonda vinavyosababishwa na bacteria au wingi tindikali tumboni mkombozi wako kafika

tunatoa dawa za vudonda vya tumbo zilizo na virutubisho vifuatavyoa;
  • alkaline food ambayo inasaidia kuneutralize tindikali mwilini na kusaidia kubadilisha acidic condition to alkaline
  • ina protini kwa wingi inayosaidia kuulinda utumbo usishambuliwe na bacteria na kusaidia digestion ifanyike ipasavyo
  • dawa hii itakusaidia kuongeza kinga ya mwili na kuuwezesha mwili kupambana na maradhi yote yanasababishwa na bacteria, virus na mengineyo

mgonjwa wa vidonda vya tumbo anapona kwa siku 45 mfululizo akitumia dawa hizi, dawa kwa majina ni aloe softgel goldenoyster spirulina unaweza kupata ingredient kwa Neptunus

karibu kwa ushauri na matibabu
kwa maelezo inbox me or tuandikie kwa consultationlifestyle@gmail.com
 
Híi ndo tabu ya wajasiriamali wa kibongo,weka bei hapa watu waone.
 
Híi ndo tabu ya wajasiriamali wa kibongo,weka bei hapa watu waone.

kuweka bei ya dawa haitowezekana kwani kila mtu anaexperience maumivu tofauti hivyo tiba ya kila mtu ni tofauti na mwingine
 
Vidoda vya tumbo vinaletwa na bacteria inaitwa H.Pyrori. Ni stubborn sana, haikufi haraka, ina survive kwenye sehemu ina acidity ya juu. Ndio maana dawa za vidoda vya tumbo vinachukua mwezi au zaidi.
 
MZIZIMKAVU vp kuhusu mrejesho wa wagonjwa wa vidonda vya tumbo waliowahi kupona kwa kutumia mkojo.!!
Feedback ni chache sana hasa ukizingatia tatizo hili ni la wengi sana.
Vp mkuu kuna dawa ya asili nyingine mbadala inayotibu vidonda vya tumbo.??
 
Nauliza tena jamani nini tiba halisi ya vidonda vya tumbo (ULCERS)???
Tunateseka sana na hili tatizo hasa kwangu binafsi nimekuwa nikisumbuliwa tangu May, 2011.
Msaada wenu plz.
 
vidonda vinaumiza sana,ila kuna dawa inaitwa SPLINA inauzwa tsh 55,000/ kuna mtu kanambia inasaidia,hiyo inakuwa kama ni mbogamboga fulani hivi kwa maana mtu ukiwa unaona uvivu kula mbogamboga unatumia hyo.
 
wataalamu wanadai maziwa hayafai kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo japo imani ya watu ni kuwa yanafaa,ningekua na mda ningeweka link.
 
wataalamu wanadai maziwa hayafai kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo japo imani ya watu ni kuwa yanafaa,ningekua na mda ningeweka link.
Nafikiri wanasema hhayafai kwa ajili ya umengenyaji wake (hasa kwa mtu ambaye tumbo lake linamgogoro) unachukua muda sasa ule muda mrefu wa kumengenywa tumbo linakuwa tayari limetengeneza gesi kitu ambacho kitazidi kusumbua kama unavidonda.
 
Hii dawa inasemekana ni ya kiasili na inatibu vidonda vya tumbo kwa mujibu wa matangazo ya kwenye tv.
Ambaye ametumia na kupona naomba a-confirm tafadhali kabla sijamwanzishia mama yangu dozi.
Aksanteni.
 
Wadau nina tatizo hili muda mrefu..
nilianza kwa dalili zifuatazo;
-uchovu wa mwili na kibaridi kwa mbali
-kujiskia usingizi kila mara
-nikichelewa kula nahisi kama kuna mchemko flani tumboni upande wa juu
-nikiwa na hasira au mawazo pia nahisi mchemko huo
Hizo ni baadhi ya dalili zilizonifanya kwenda hospital kupima vipimo vya damu,choo,mkojo na x-ray
jibu nililopewa ni kwamba nina aina hiyo ya vidonda vya tumbo..
Nimejaribu kutumia homeprazzole nikawa napata kichefuchefu mpaka kutapika nikahisi dawa hiyo imenikataa
hivyo naomba mwenye ujuzi juu ya tatizo hili anijuze..maana nimetumia dawa nyingi za asili ikiwemo dawa maarufu ya 'FITERAWA' Inayotengenezwa pale Buguruni haikunisaidia..
ntashukuru kwa ushauri..........!
 
mimi mwenyewe ni muhanga wa tatizo hili kifupi hakuna dawa ya kuondoa kabisa tatizo ila zipo za kupooza makali na dawa ni kufuata masharti basi - usile vyakula wala vinywaji vyenye gesi
- usikae na njaa yaani ule chakula ontime
- usile sana kiasi kwamba ushibe mpaka tumbo liwe zito (kula kiasi)
- mawazo hilo halikwepeki ila jitahidi kukaana refereshment kama washkaji au any entertainment

nimetumia nitragen (kichupa kimoja tsh 5000/=) vichupa 10 then wanasema utumie vichupa 50 (pesa nyingi sana) zilisaidia kama wiki mbili hivi ila tatizo likawa palepale nikaamuia kurudi zangu kwenye omeprazole bei rahisi sana dozi tsh 1000/= alafu zinanisaidia sana naweza kaa mwezi mzima na zaidi sijaviskia vikiuma ila zingatia kutokaa na njaa na kula ontime.
 
Hii dawa inasemekana ni ya kiasili na inatibu vidonda vya tumbo kwa mujibu wa matangazo ya kwenye tv.
Ambaye ametumia na kupona naomba a-confirm tafadhali kabla sijamwanzishia mama yangu dozi.
Aksanteni.
Hamnaga dawa ya kuondoa vidonda vya tumbo zaidi ya kufuata masharti tuu.
​nimezitumia hizo dawa vichupa 10 ila baada ya wiki kadhaa vikaanza tena nikaamua nirudi kwenye omeprazole tsh 1000/= dozi alafu zinasaidia sana tuu wakati netragen ni tsh 5000/kichupa
 
Mkuu.@Fundifundisho Mimi ninakupa Dawa ya Vidonda vya Tumbo fanya hivi kila unapo amka asubuhi kabla ya kula kitu

nenda chooni kakinge mkojo wako kipimo cha glasi moja kisha unywe kila siku kwa muda wa siku 10 kisha nenda kapime

vidonda vya tumbo utakuta vimekwisha pona kabisa. Tumia hiyo dawa kisha uje hapa unipe feedback.

Muhimu unapotumia hiyo Dawa hakikisha huna maradhi ya zinaa mwilini mwako huna maradhi yanyotokana na (UTI)

kwanza kapime mkojo wako kisha ndio uanze hiyo Dawa ninakuhakikishia utapona kabisa. Hakuna Dawa ya kutibu Maradhi ya Vidonda

Vya Tumbo Ma-Hospitalini.
 

Asante mkuu.
 
MKuu hiyo kali. Hebu funguka mkojo unawezaje kumponya mgonjwa?


 

Je Fiterawa ya Rahab iko vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…