Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Mkuu tunaweza kukufanyia dawa...kabla ya dawa ujikubalishe kufata miko....

Unatakiwa kuacha kutumia vyakula vifutavyo:
-Vyakula vya mafuta zikiwemo read meat zote na viazi mbatata vya kukaanga.
-Vyakula vya jamii ya maharage zikiwemo yakiwemo na mayai
-Vyakula vya kulala a.k.a uporo.
-Vyakula vikali....Ndim zikiwepo na jamii ya pilipili zote pamoja na tangawizi.

Kama uko tayari kufata masharti haya tuwasiliane...dawa zetu ni za Miti..na hatuhitaji malipo...
 

Nenda tabata karibu na kituo cha sanene, kuna kituo cha tiba mbadala kizuri kinaitwa HERBALWORKS, kwa jinsi ninavyosikia matangazo yake hakika kitakusaidia.
 
Tatizo hili linasumbua wengi. Fanya endoscope kuthibitisha vidonda, kama kweli vipo tafuta mganga mzuri wa tiba mbdala,, dawa za hospital ni ghali na za muda mrefu na sina takwimu ya mgonjwa ziliemponya
 
mkuu pole sana lakin jaribu kusearch humu kuna threads nyingi sana za vidonda vya tumbo na wataalam wametoa mapendekezo mgonjwa atumie dawa gani ili apone,kama upo serious search utapata mie najua kama tatu hivi kupitia hapa hapa jf doctors,wanafanya kazi nzuri sama japo watu wengine hawataki ku- appreciate!
 
nenda maduka ya kisunnah(kislam) ulzia dawa inaitwa haluly m imekuasababu ya kupona n lpotumia tumiz ima milk/majmoto
 

Maradhi ya VIDONDA VYA TUMBO (ULCERS): Haya ni maradhi ambayo hufanya vidonda upande

wa ndani ya ukuta wa tumbo. Kuna Duodenal ulcer na Gastric ulcer.



DALILI: (1) Kupata maumivu makali chini ya kifua kwa
upande wa ndani.

(2) Kuchoka bila sababu.

(3) Kuumwa kwa mgongo au kiuno.

(4) Kupungua kwa nguvu za kiume.

(5) Kuwa na kichefuchefu baadhi ya wakati.

(6) Kuwa na kiungulia .

(7) Tumbo kujaa gesi.

(8) Tumbo kuwaka moto.

(9) Kukosa choo na wakati mwingine kupata choo kigumu kama cha mbuzi.

(10) Kukosa hamu ya kula.

(11) Kutapika damu au wakati mwingine kutapika nyongo.

(12) Maumivu makali baada ya kula vitu vikali au chakula cha moto.



TIBA: Kanuni ya kwanza: Chukua asali robo lita uchanganye na unga wa arki susi vijiko vinne vikubwa kisha ukoroge kwa kijiko. Chukua vijiko viwili vikubwa vya mchanganyiko huu ukoroge ndani ya kikombe cha maji ya moto. Yakishapoa unywe kikombe kimoja kutwa mara tatu.


Kanuni ya pili: Chukua viazi vya mviringo (vya chipsi) kama vitatu halafu uvikoshe na kuvimenya. Baada ya kuvimenya upate juisi yake kwa kuvisaga kwenye blenda. Kunywa vijiko vitatu vikubwa vya chakula kutwa mara mbili.

Kanuni ya tatu: Chukua lozi gramu 30 halafu usage iwe unga. Changanya lozi hii yote ndani ya kikombe kidogo cha maziwa ya moto kisha uongeze asali vijiko viwili vikubwa. Kunywa kikombe kimoja robo saa kabla ya kula chakula cha asubuhi. Fanya hivyo kwa muda wa mwezi na utapata shifaa.

Kila Tiba hapo juu kati ya hizo 3 ni zenye kujitegemea tumia moja kwa muda wa siku 7 au

siku 14 au siku 21

usipopoona tumia ingine kwa muda wa siku 7 mpaka utakapo pona uje utuambie umetumia

dawa gani kati ya hizo 3 nilizokupa imekuponesha? uguwa pole.
 
MziziMkavu, huo unga wa arki susi, ndio unga wanini. NA unaposema unga wa lozi ni unga gani pia
This is serious nina dalili namba 1, 2, 5, 6, 9 na 10, Sivihitaji kabisa vidonda vya tumbo
Na ninahitaji kujua kwa mfano asbh nikiamka nile nini cha kwanza ili kupunguza kichefuchefu?
 
Last edited by a moderator:
Unga wa Ark susi na unga wa lozi vinapatikana kwenye maduka ya wanaouza dawa za kisunna nenda kaulize utapata nenda kariakoo kaulize huko. kKuhus kichefu chefu kula tangawizi mbichi au kunywa juisi yake utapona kichefu chefu una mimba changa nini wewe?
 
mzizi mkavu pliz jibu watu tupone, coz arki sijui ndo nn ,lozi,susi
Angalia picha hapo chini. Lozi ni (Amond) Urki Susi ni hiyo miziz unaitwanga kuwa unga. na Lozi pia unaitwanga kuwa unga.
 

Attachments

  • Urki susi.jpg
    8 KB · Views: 444
  • 5-reasons-to-avoid-almond-flour-1024x768.jpg
    117.7 KB · Views: 178
Achana na hizo tiba. Najua utakuwa na bacteria tumboni. Fanya h-pylori test uangalie. Kuna dawa zitakuponya mapema.


The king.
 
nimekuuliza upo wapi ili nikusaidie dawa upo kimya. Watu wa humu sijui hadi nani aseme ndo ujue anasema ukweli. Kaa hivyo hivyo na mavidonda yako. Ny...b..fuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…