Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
wataalam wanakuja be patient
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wana jf. Nasumbuliwa na vidonda vya tumbo toka mwaka jana. Nilipoenda hospital wakasema vipo katika utumbo. Kuna dawa nilizigharamia kwa sababu niliambiwa nitapona. Nilipokunywa hizo dawa vikatulia kwa miezi 3 sasa vimeanza tena. Msaada wako wako mhimu nitumie dawa gani vipone.
punguza stress,

Unga wa Ark susi na unga wa lozi vinapatikana kwenye maduka ya wanaouza dawa za kisunna nenda kaulize utapata nenda kariakoo kaulize huko. kKuhus kichefu chefu kula tangawizi mbichi au kunywa juisi yake utapona kichefu chefu una mimba changa nini wewe?MziziMkavu, huo unga wa arki susi, ndio unga wanini. NA unaposema unga wa lozi ni unga gani pia
This is serious nina dalili namba 1, 2, 5, 6, 9 na 10, Sivihitaji kabisa vidonda vya tumbo
Na ninahitaji kujua kwa mfano asbh nikiamka nile nini cha kwanza ili kupunguza kichefuchefu?
Angalia picha hapo chini. Lozi ni (Amond) Urki Susi ni hiyo miziz unaitwanga kuwa unga. na Lozi pia unaitwanga kuwa unga.mzizi mkavu pliz jibu watu tupone, coz arki sijui ndo nn ,lozi,susi