Unga wa Ark susi na unga wa lozi vinapatikana kwenye maduka ya wanaouza dawa za kisunna nenda kaulize utapata nenda kariakoo kaulize huko. kKuhus kichefu chefu kula kula kula tangawizi mbichi au kunywa juisi yake utapona kichefu chefu una mimba changa nini wewe?
pole sana
usiende tiba mbadala.
utaliwa pesa zako wengi ni matapeli.
japokua kuna baadhi wanadawa zinaweza kusaidia
kwakua toka enzi za mababu tulikua tukitumia mitishamba.tatizo kumjua nani mganga tapeli na nani wa kweli ndio ishu.
vidonda vya tumbo vinasababishwa na vitu mbalimbali.
kuna dawa zake ambazo zimethibitika kuponyesha.
nakushauri uende hospitali upate ushauri na tiba ya daktari.
kikubwa ufwate ushauri utakaopewa ukilenga kuondoa visababishi.
Msaada wana jamii kuna
kipindi kilirushwa na Star TV kuwa Nitrogen inatibu vidonda vya tumbo
nimepoteza contact zao anaye jua anisaidie simu yao.
Ndugu nina kama miezi miwili nimetumia ushauri wako huu lakini mambo ni magumu kiuno kinauma,tumbo,na kujaa gesi,haijanisaidia..
Habari zenu! Hivi karibuni nimeanza kusumbuliwa na maumivu ya tumbo. Mara nyingi maumivu nayasikia tumboni na chini ya mgongo na wakati mwingine najisikia kichefuchefu.Sijajua kama vidonda vya tumbo ama hapana, kama jibu ni ndiyo vidonda vya tumbo tiba yake ni ipi!
Nawasilisha.

Dawa ya vidonda vya tumbo ni kuchemsha majani ya mbigili zenye maua kwa ujazo wa dumu la lita 5, ikishapoa unakunywa maji yake kwa muda wa siku tatu. Kama hujapona utakuwa unaumwa ugonjwa mwingine sio ulcers