pole sana
usiende tiba mbadala.
utaliwa pesa zako wengi ni matapeli.
japokua kuna baadhi wanadawa zinaweza kusaidia
kwakua toka enzi za mababu tulikua tukitumia mitishamba.tatizo kumjua nani mganga tapeli na nani wa kweli ndio ishu.
vidonda vya tumbo vinasababishwa na vitu mbalimbali.
kuna dawa zake ambazo zimethibitika kuponyesha.
nakushauri uende hospitali upate ushauri na tiba ya daktari.
kikubwa ufwate ushauri utakaopewa ukilenga kuondoa visababishi.