Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

kuna ndugu yangu amekuwa akisumbuliwa na vidonda vya tumbo..... kwa muda sasa.... so kwa yeyote ambaye yuko aware na dawa nzuriii ya dukani ambayo itamsaidia ningefurahii sana kama mkinipa jina la dawa husika.. natanguliza shukrani zangu.....
Ukikosa hapa Jamvini dawa ya vidonda vya Tumbo nitafute mimi Bonyeza hapa.@Mawasiliano
 
huo ugonjwa wazungu wamechemsha hauna dawa za hospitali zamani tulidanganywa eti maziwa fresh ahaha wapi kwa ufupi huwa hauponi bali unatulia waliojidai wamepona wakila ndimu na pilipili ya kutosha kesho hawaamki maumivu balaa,na ukizidi dawa yake kukata utumbo
 
kuna ndugu yangu amekuwa akisumbuliwa na vidonda vya tumbo..... kwa muda sasa.... so kwa yeyote ambaye yuko aware na dawa nzuriii ya dukani ambayo itamsaidia ningefurahii sana kama mkinipa jina la dawa husika.. natanguliza shukrani zangu.....
kwani yeye mpaka sasa katumia dawa gani?
 
Mwambie atumie juice ya carrot mimi nimetumia tangu mwezi wa nne sijaumwa mpaka sasa.
 
kuna ndugu yangu amekuwa akisumbuliwa na vidonda vya tumbo..... kwa muda sasa.... so kwa yeyote ambaye yuko aware na dawa nzuriii ya dukani ambayo itamsaidia ningefurahii sana kama mkinipa jina la dawa husika.. natanguliza shukrani zangu.....

mimi dawa ninayo ni dose ya miezi mitatu. 0759077008 karibu.
 
kwa upande wa dawa za hospitali daktari anakupa dawa best kulingana na maelezo yako plus ushauri wa ziada wa kuzidi kukusaidia...... lakini dawa za hospitali mara nyingi zinatuliza na haziponeshi kabisa.... kwa kipindi unachozidi kutafuta dawa mgonjwa ajaribu kufuata tu masharti madogo ya vyakula na life style kwa ujumla. Ila kuna father yupo morogoro ana dawa nzuri kweli za asili mwenye taarifa za kuweza kumsaidia ndugu yetu kuhusu location ya huyo father atusaidie humu.
 
Ase jipange nitakuelekeza kwa mzee mmoja wa kisukuma yupo mwanza kama vipi nicheki kwene 0759634329!
 
Kila mtu anasema dawa yake sasa tumwamini nani? Au na nyinyi ndo wale wale tu kina rahabu na fiterawa feki? Jamani peptic ulcers ni vidonda vikali na vinauma sio mchezo na dawa za ajabu ajabu haziponyi vidonda hivi kamwe, kama kuna aliyewahi kutumia dawa ile ya netragen ikampa matokeo mazuri tunaomba atujuze hapa waungwana........coz so far ndo naona kama maelezo yake yanajitosheleza...
 
Natragen wez tu m nltmia lkn hata ckupata nafuu na kuna rafk ang alitumia kaambulia kuota maupele mwl mzma

Duh pole mkuu mi nilidhan ile dawa ndo mkombozi wa vidonda vya tumbo kumbe nayo ni magumashi!?....au haukufuata masharti kikamilifu mkuu?
 
Inakuwaje umeugua vidonda vya tumbo kwa muda mrefu hivyo. Wakati huu vidonda vya tumbo vinapona kwa urahisi. Naomba nenda hospitalini ukapimwa oesophagealgastroscopy, then unipe matokeo
 
Wakuu hii ni wiki moja sasa,,nikichelewa kidogo kula tumbo juu ya kitovu panawaka moto,,au saa kumi na moja alfajiri hunisumbua kidogo hadi ninywe maji wakuu.
Sikai na njaa sana ila kwa kweli nina mawazo mengi ya maisha sababu ajira ni ngumu,maisha tabu nk,,,naomba ushauri nichukue hatua gan ya haraka kujiokoa toka kwenye hivi vidonda
 
Wahi hospitali itakuwa rahisi kupata matibabu, vikianza kukusumbua hospitali watakuwa hawana dawa za kukutibu.
 
Wakuu habari za weekend naomba kujuzwa kama kuna dawa ya kiasili ya vidonda vya tumbo nikapona kabisa asanteni
 
Back
Top Bottom