David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Fatilieni tiba mpone bwana kama mnaumwa hii ni serious issue acheni mzaa mkitaka ufafanuzi nipigie sim no hiyo juu.
Yani wewe na avatar yako hata haumshawishi mtuWanajanvi,
Mimi ninatibu vidonda vya tumbo aina zote yaani gastric ulcers au peptic ulcers na duodenum ulcers kwa siku kumi tu.mwenye shida hiyo apige no 0755651583.Musoma,Tanzania
licha ya kwamba mimi sio dr.Mizizi Mkavu kwa ishu ya vidonda vya tumbo usijaribu kutumia mkojo.. utakuumiza na hautapona..
pia kumbuka mkojo ni acidic so ni hatari kwa mtu mwenye ulcers
Daaah mkojo tena ?
wewe Usingojee mpaka watu niliwapa ushauri wa kunywa mkojo ili wapone vidonda vya tumbo. wewe fanya hivi Mwambie Mzee wako aende kupima kwanza mkojo wake mwenyewe kama hauna maradhi yoyote ya zinaaau maradhi ya UTI akihakikisha kuwa mkojo wake hauna Maradhi aamke asubuhi kabla ya kula kitu au kunywa kitu akinge Mkojo wake mwenyewe kipimo cha Glasi Moja kisha anywe afanye hivyo kwa mudawa siku 12 kisha aende kupima atakuta hana tena vidonda vya Tumbo. kuna Mtu humu ndani Jamii Forums ametumia dawa hii na imemsaidia anaitwa kwa jina hili Mkuu ngoshwe njoo uwaambie kuhusu faida ya kutumia Mkojo wako mwenyewe asubuhi kabla ya kula kitu. au unaweza kutembelea Thread yake Mr Ngoshwe bonyeza hapa.Topic: Umetenda maajabu, siwezi kueleza!!!Mkuu mzizi mkavu naomba matokeo ya watu waliojaribu dawa hii walifanikio kupona?kama wapo wajitokezee ili nijue naanzaje kumshaur mzee wang kutumia mana ni mtata hasa lkija swala la kunywa mikoje yake ndo tatzo
Mkuu Danny Job kama wewe hujuwi kitu si bora unyamaze kuliko kuwatisha watu. Nenda kawaulize Ma-Daktari wako unao waamini kuwa mkojo wako mwenyewe una madhara ? kisha uje hapa ulete majibu yako sio kukisia kitu huna elimu nacho bora kunyamaza upate elimu kuliko kuropoka na kusema kitu huna elimu nacho.licha ya kwamba mimi sio dr.Mizizi Mkavu kwa ishu ya vidonda vya tumbo usijaribu kutumia mkojo.. utakuumiza na hautapona..
pia kumbuka mkojo ni acidic so ni hatari kwa mtu mwenye ulcers
Mkuu mzizi mkavu naomba matokeo ya watu waliojaribu dawa hii walifanikio kupona?kama wapo wajitokezee ili nijue naanzaje kumshaur mzee wang kutumia mana ni mtata hasa lkija swala la kunywa mikoje yake ndo tatzo
Mkuu JituLA MIRABA MINNE ukihitaji Dawa ya kukutibu Vidonda vya Tumbo ukihitaji nitafute mimi dawa ninayo ukiweza kunitafuta bonyez hapa.MawasilianoWadau msaada wa dawa za mitishamba na lishe kutibu vidonda vya tumbo
Na je ni kwa nn mgonjwa wa vidonda vya tumbo anaskia njaa kila mda na kupata uchachu kifuani.
Mchango wako tafadhali