Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Mkuu mzizi mkavu naomba matokeo ya watu waliojaribu dawa hii walifanikio kupona?kama wapo wajitokezee ili nijue naanzaje kumshaur mzee wang kutumia mana ni mtata hasa lkija swala la kunywa mikoje yake ndo tatzo
 
licha ya kwamba mimi sio dr.Mizizi Mkavu kwa ishu ya vidonda vya tumbo usijaribu kutumia mkojo.. utakuumiza na hautapona..
pia kumbuka mkojo ni acidic so ni hatari kwa mtu mwenye ulcers
 
licha ya kwamba mimi sio dr.Mizizi Mkavu kwa ishu ya vidonda vya tumbo usijaribu kutumia mkojo.. utakuumiza na hautapona..
pia kumbuka mkojo ni acidic so ni hatari kwa mtu mwenye ulcers

Kuna uzi nilsoma lakn nnlijishaur kusubiria majbu ya waliotumia nijue walfanikiwa ama laa
 
Mkuu mzizi mkavu naomba matokeo ya watu waliojaribu dawa hii walifanikio kupona?kama wapo wajitokezee ili nijue naanzaje kumshaur mzee wang kutumia mana ni mtata hasa lkija swala la kunywa mikoje yake ndo tatzo
wewe Usingojee mpaka watu niliwapa ushauri wa kunywa mkojo ili wapone vidonda vya tumbo. wewe fanya hivi Mwambie Mzee wako aende kupima kwanza mkojo wake mwenyewe kama hauna maradhi yoyote ya zinaaau maradhi ya UTI akihakikisha kuwa mkojo wake hauna Maradhi aamke asubuhi kabla ya kula kitu au kunywa kitu akinge Mkojo wake mwenyewe kipimo cha Glasi Moja kisha anywe afanye hivyo kwa mudawa siku 12 kisha aende kupima atakuta hana tena vidonda vya Tumbo. kuna Mtu humu ndani Jamii Forums ametumia dawa hii na imemsaidia anaitwa kwa jina hili Mkuu ngoshwe njoo uwaambie kuhusu faida ya kutumia Mkojo wako mwenyewe asubuhi kabla ya kula kitu. au unaweza kutembelea Thread yake Mr Ngoshwe bonyeza hapa.Topic: Umetenda maajabu, siwezi kueleza!!!

licha ya kwamba mimi sio dr.Mizizi Mkavu kwa ishu ya vidonda vya tumbo usijaribu kutumia mkojo.. utakuumiza na hautapona..
pia kumbuka mkojo ni acidic so ni hatari kwa mtu mwenye ulcers
Mkuu Danny Job kama wewe hujuwi kitu si bora unyamaze kuliko kuwatisha watu. Nenda kawaulize Ma-Daktari wako unao waamini kuwa mkojo wako mwenyewe una madhara ? kisha uje hapa ulete majibu yako sio kukisia kitu huna elimu nacho bora kunyamaza upate elimu kuliko kuropoka na kusema kitu huna elimu nacho.
 
Urine therapy ni mewahi sikia na kusoma sehemu ni tiba nzuri ya magonjwa mbalimbali,hivyo fuata maelekezo ya Dr.Mzizi mkavu.Muhimu apime kama mkojo wake ni safi hauna maambukizo
 
Jaman wadau anaejua tiba mbadala mitishamba au lishe kutibu vidonda vya tumbo!
Je chanzo cha kusikia njaa mara kwa mara kwa mgonjwa huwa inamaana gani kimwili?na ule uchachu unatokana na nini msaada jamani!
 
Wadau msaada wa dawa za mitishamba na lishe kutibu vidonda vya tumbo
Na je ni kwa nn mgonjwa wa vidonda vya tumbo anaskia njaa kila mda na kupata uchachu kifuani.
Mchango wako tafadhali
 
Wadau msaada wa dawa za mitishamba na lishe kutibu vidonda vya tumbo
Na je ni kwa nn mgonjwa wa vidonda vya tumbo anaskia njaa kila mda na kupata uchachu kifuani.
Mchango wako tafadhali
Mkuu JituLA MIRABA MINNE ukihitaji Dawa ya kukutibu Vidonda vya Tumbo ukihitaji nitafute mimi dawa ninayo ukiweza kunitafuta bonyez hapa.Mawasiliano
 
Last edited by a moderator:
Wadau ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa wiki Ya pili Sasa na maumivu yake hayavumiliki, nimeenda hospitali nimeishia kupewa antacid lakini hali ndo imezidi kuwa mbaya kuna ndugu aliniambia juice Ya kabeji inasaidia nayo nimejaribu lakini bado nafuu sijaipata naombeni ushauri kwa madaktari waliomo humu nifanye nini ili niweze kupima kabisa tatizo hili. Naombeni Kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom