Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Vidonda vya tumbo ni matokeo ya uzalishwaji wa tindikali ya haidrokroliki asidi nyingi kuliko kiasi ndani ya tumbo.Na pia kuna bacteria ambao kitaaram huitwa HELICOBACTER PYLORI (h.pylori) ambao hutokana na kula chakula na kunywa maji kwa wakati

Kwa mwenye tatizo hili la vidonda vya tumbo ninayo dawa yake ambayo hutibu kwa mda mfupi sana takribani siku 2 tu utapona tatizo ilo.
Pia katika dawa hiyo utapata kuku saidia kwa magonjwa mengine kama minyoo yote,kuondoa ganzi zote mwilini,typhodi,matatizo ya figo,tumbo kujaa gesi,kukinga matatizo yote ya tumbo.
Napia natoa ushauli kwa wale wanao sumbuliwa na matatizo ya miguu kuwaka moto na miguu kuwa na ganzi na wenye kisukari kupona kwa siku 30tu
Dawa yangu naiuza kwa bei ya 70000tsh na nawasaidia wote hata kam umepungukiwa.
Napatikana kwa nambari
0685299621 au 0752093410
Mungu akubaliki
Ameni.

Asante kwa kusoma makala hii

Ukila chakula na kunywa maji kwa wakati utapata H.Pylori?
 
Kitaalmu au kwa kutumia elimu ya biologia ni kwamba maziwa yana kiasi kikubwa cha protein na kiasi fulani cha calcium.

Ili protein iweze kumeng'enywa na kutumika ndani ya mwili kuna kimeng'enyo kinachoitwa pespni ambacho huitaji uzalishwaji wa asidi tumboni kiweze kuwa pepsinogen ambayo ni kimeng'enywa hai cha kusaidia hiyo protein iweze kutumiwa na mwili.

Kingine kilicho ndani ya maziwa ni madini ya calcium ingawa bado kuna vitu vingine ndani ya maziwa ila napenda niiongee calcium kwa maana ndiyo inayomfanya mgonjwa apate nafuu ya muda mfupi anapotumia maziwa.'yaani anapata psychological relief' kwa vile asidi inahitajika ili matumizi ya maziwa yafanyike mwilini basi calcium hiyo huungana na acid ya tumboni,'HCL' na kutengeneza chumvi na maji yaani CaHl2 pamoja na H20 .

Hapo utahisi maumivu ya tumbo kupungua ila kumbuka kiwango cha protein ni kikubwa kuliko kiwango cha calcium ndani ya maziwa hivyo bado Acid itaendelea kuzalishwa na bado athari kwenye maeneo ya tumbo yataendelea..

Nawasilisha
 
Ahsante sana inatibu kabisa au inatuliza tu maumivu, mie huwa najipoza na omeprazole
Inaponyesha kabisa kulingana na mwenyeji wangu aliyenipeleka hospital ambaye na yeye alikuwa anasumbuliwa na hili tatizo. Dada Evelyn kumbuka ulcers zina madaraja kuna daraja ikifikia kuitibu ni inshu komaa ikiwa bado step ya mwanzo (primary step).
 
Kitaalmu au kwa kutumia elimu ya biologia ni kwamba maziwa yana kiasi kikubwa cha protein na kiasi fulani cha calcium.
Ili protein iweze kumeng'enywa na kutumika ndani ya mwili kuna kimeng'enyo kinachoitwa pespni ambacho huitaji uzalishwaji wa asidi tumboni kiweze kuwa pepsinogen ambayo ni kimeng'enywa hai cha kusaidia hiyo protein iweze kutumiwa na mwili.
Kingine kilicho ndani ya maziwa ni madini ya calcium ingawa bado kuna vitu vingine ndani ya maziwa ila napenda niiongee calcium kwa maana ndiyo inayomfanya mgonjwa apate nafuu ya muda mfupi anapotumia maziwa.'yaani anapata psychological relief' kwa vile asidi inahitajika ili matumizi ya maziwa yafanyike mwilini basi calcium hiyo huungana na acid ya tumboni,'HCL' na kutengeneza chumvi na maji yaani CaHl2 pamoja na H20 .Hapo utahisi maumivu ya tumbo kupungua ila kumbuka kiwango cha protein ni kikubwa kuliko kiwango cha calcium ndani ya maziwa hivyo bado Acid itaendelea kuzalishwa na bado athari kwenye maeneo ya tumbo yataendelea....nawakilisha
Asante ndugu mimi siku zote nafahamu maziwa ndo first aid na sikuwaza hata siku moja kuwa ni kisababishi pia.
 
Mimi vya kwangu viliisha vyenyewe baada ya kuhama kule kwenye baridi kali sijui nini kilitokea. Nilikuwa na hakika ni ulcers kwa kuwa ilikuwa hata nikinywa dawa za mambo mengine mbazo hazifai wenye ulcers nilikuwa napata tabu sana. Ila baada ya kuhamia huku tropical sijui nini kilifanyika ila sina tatizo hilo tena zaidi ya miaka sita sasa
 
Matumizi yake yakoje kiongozi? Je huku kwetu tanzania zinapatikana? Mimi mwenyewe ni mwathirika wa vidonda leo nilitaka niende pale muhimbili nasikia kuna hospital inayotibu vidonda lakini nimeambiwa vipimo vyake vinaanzia laki tatu mpaka tano inategemea naomba kama kuna mtu amewahi kutibiwa hapo atusaidie mrejesho plz
 
Mkuu mimi sina uhakika kama vinapatikana nchini kwetu lkn naamini katika pharmacy kubwa unaweza kuvipata. Nimeweka hiyo picha ili iwe rahisi kuvisaka mkubwa wangu kwa vile nafahamu maumivu ya vidonda tumbo na usumbufu wake huku ukiambiwa eti usiwaze kwa maisha haya.
 
Mimi vya kwangu viliisha vyenyewe baada ya kuhama kule kwenye baridi kali sijui nini kilitokea. Nilikuwa na hakika ni ulcers kwa kuwa ilikuwa hata nikinywa dawa za mambo mengine mbazo hazifai wenye ulcers nilikuwa napata tabu sana. Ila baada ya kuhamia huku tropical sijui nini kilifanyika ila sina tatizo hilo tena zaidi ya miaka sita sasa
Hongera na mshukuru mungu mkuu
 
Wandugu kuna dawa kama chakula inatibu kabisa vidonda vya tumbo,,, amini inatibu kabisa...

Maandalizi:
Kweme 7 (unazitwanga mpaka zisagike kabisaaaa)
Nusu lita ya maziwa fresh (isipungue nusu lita)
Yai moja la kienyeji (wachukua kile kiini cha njano)
Asali ( kwa kiwango utachoona chakufaa)

Changanya mchanganyiko huo na uunywe kila siku asubuhi kabla ya kula chochote kwa muda wa siku 14 mfululizo

Ukimaliza siku 14 waweza endelea kunywa mchangnyiko huo maana hauna madhara na ni chakula kilichokamilika

Ukipona kwa dawa hii njoo ulete mrejesho hapa
 
Wandugu kuna dawa kama chakula inatibu kabisa vidonda vya tumbo,,, amini inatibu kabisa...

Maandalizi:
Kweme 7 (unazitwanga mpaka zisagike kabisaaaa)
Nusu lita ya maziwa (isipungue nusu lita)
Yai moja la kienyeji (wachukua kile kiini cha njano)
Asali ( kwa kiwango utachoona chakufaa)

Changanya mchanganyiko huo na uunywe kila siku asubuhi kabla ya kula chochote kwa muda wa siku 14.

Ukimaliza siku 14 waweza endelea kunywa mchangnyiko huo maana hauna madhara na ni chakula kilichokamilika

Ukipona kwa dawa hii njoo ulete mrejesho hapa
Asante sana mkubwa,hope itawasaidia wengi kwa vile wataisoma na naona hivyo vitu kwetu ni vingi sana na natural
 
Hayo maziwa ni ya mgando au fresh?
 
Asante sana mkubwa,hope itawasaidia wengi kwa vile wataisoma na naona hivyo vitu kwetu ni vingi sana na natural
Kweli mkuu,, mie mama yangu alisumbuliwa na vidonda vya tumbo mpaka vikawa vinamlaza,, nw yupo fiti na anakula chochote,, so i knw inavyoumiza huo ugonjwa na ndo maana nikaona niweke wazi isaidie kila mtu
 
Back
Top Bottom