Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Asante mkuu,,
ila hakikisha kweme zinasagwa vizur kabisaaa,,
Mkuu mimi sizifahamu kweme si unafahamu Tz ni chaka kubwa mwezio nimekulia usukumani (Kanda ya ziwa) tashukuru kama utafafanua kwa undani huu mti na kama ukiwa around na zinapopatikana basi utupie kapicha ili Watz wezetu wazione huku niliko labda asali unaweza kupata kwenye mall (supermarket) lkn yai la asili ni ngumu sana mkubwa wangu.
 
Kweme ukienda sokoni ukiuliza unazipata,, nenda masoko makubwa kama kisutu, tandale, tandika au kariakoo.., ni kama ka-cd kadogo, sasa unapasua ganda lake kuipata kweme, ukiitafuna kidogo ni kama jamii ya karanga,,,, ukishaibandua kwenye ganda lake gumu, ndani inakua kama imezungushiwa kilailon cheupe, kitoe na chenyewe...

Mayai ya kienyeji jitahidi upate aisee,, sijui upo wapi lkn kwa tanzania unapata popote

Hope umenielewa,, maana mie sio mzur kwenye kueleza kwa kuandika
 
Mafeking North West,South Africa
 
Ninapokuwa katika maumivu ya vidonda tumbo kwanza akili ya haraka ilikuwa ni kukimbilia maziwa fresh. Wiki jana nilijikuta katika hali hiyo na kama mazoea yangu ya kukimbilia kununua tu dawa hospital huku South Africa ni tofauti huwezi kupewa dawa pasipo Dr. kukupatia vipimo. Lakini kikubwa ni kuwa nimekatazwa kutumia maziwa kwani ni chanzo cha tatizo pia. Lakini amini nawaambia marafiki zangu na ndugu zangu huko nyumbani wanatumia maziwa kupunguza maumivu ya vidonda tumbo na hata mimi nilikuwa natumia sana hii njia. Mnaweza tafuta hii dawa hapa ni nzuri sana.
a84cffc6b36453e2450671ecf1af29f4.jpg
6f7418bc7c1f7eb31cdcaf348191a021.jpg
1bb367ae1e19d17c3f462b07e34e92ef.jpg
Hii dawa ni ya vidonge au ni ya maji? Msaada plz
 
Wandugu kuna dawa kama chakula inatibu kabisa vidonda vya tumbo,,, amini inatibu kabisa...

Maandalizi:
Kweme 7 (unazitwanga mpaka zisagike kabisaaaa)
Nusu lita ya maziwa fresh (isipungue nusu lita)
Yai moja la kienyeji (wachukua kile kiini cha njano)
Asali ( kwa kiwango utachoona chakufaa)

Changanya mchanganyiko huo na uunywe kila siku asubuhi kabla ya kula chochote kwa muda wa siku 14 mfululizo

Ukimaliza siku 14 waweza endelea kunywa mchangnyiko huo maana hauna madhara na ni chakula kilichokamilika

Ukipona kwa dawa hii njoo ulete mrejesho hapa
Ingredients zake Ni nini hadi ikaweza kutibu?
 
mkuu, kila siku kipimo ni kama hiki, au hii ndo natumia kwa siku zote 14? samahani sana, napenda kujua zaidi.
 
Kwa huko ni bei gani kama nikiagiza kiongozi?
Takujulisha lkn wanauza kwa rand mimi nililipiwa tu mkuu kama ujuavyo cha bure hakihitaji maswali zaidi ya kupiga kimya ila wanauogopa sana huu ugojwa pamoja na maralia.
 
Back
Top Bottom