Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Mkuu mimi sizifahamu kweme si unafahamu Tz ni chaka kubwa mwezio nimekulia usukumani (Kanda ya ziwa) tashukuru kama utafafanua kwa undani huu mti na kama ukiwa around na zinapopatikana basi utupie kapicha ili Watz wezetu wazione huku niliko labda asali unaweza kupata kwenye mall (supermarket) lkn yai la asili ni ngumu sana mkubwa wangu.Asante mkuu,,
ila hakikisha kweme zinasagwa vizur kabisaaa,,
smahani, hii kweme ni kitu gani??Asante mkuu,,
ila hakikisha kweme zinasagwa vizur kabisaaa,,
Kweme ukienda sokoni ukiuliza unazipata,, nenda masoko makubwa kama kisutu, tandale, tandika au kariakoo.., ni kama ka-cd kadogo, sasa unapasua ganda lake kuipata kweme, ukiitafuna kidogo ni kama jamii ya karanga,,,, ukishaibandua kwenye ganda lake gumu, ndani inakua kama imezungushiwa kilailon cheupe, kitoe na chenyewe...Mkuu mimi sizifahamu kweme si unafahamu Tz ni chaka kubwa mwezio nimekulia usukumani (Kanda ya ziwa) tashukuru kama utafafanua kwa undani huu mti na kama ukiwa around na zinapopatikana basi utupie kapicha ili Watz wezetu wazione huku niliko labda asali unaweza kupata kwenye mall (supermarket) lkn yai la asili ni ngumu sana mkubwa wangu.
Angalia andiko # 23 mkuusmahani, hii kweme ni kitu gani??
Mafeking North West,South AfricaKweme ukienda sokoni ukiuliza unazipata,, nenda masoko makubwa kama kisutu, tandale, tandika au kariakoo.., ni kama ka-cd kadogo, sasa unapasua ganda lake kuipata kweme, ukiitafuna kidogo ni kama jamii ya karanga,,,, ukishaibandua kwenye ganda lake gumu, ndani inakua kama imezungushiwa kilailon cheupe, kitoe na chenyewe...
Mayai ya kienyeji jitahidi upate aisee,, sijui upo wapi lkn kwa tanzania unapata popote
Hope umenielewa,, maana mie sio mzur kwenye kueleza kwa kuandika
Oooh nimekuelewa sasa,, duh kama una ndugu TZ inabidi akutumie mkuu,, au siku nikizipata ntazipiga picha nizitume humu,, nw nipo safarinMafeking North West,South Africa
Na mayai ya kienyeji huko hamna kabisa?,Mafeking North West,South Africa
Asilimia kubwa ni kuku wa kisasa wanaofungwa kaka yanaweza yakapatikana lkn yahitaji kutumia wenyeji.Na mayai ya kienyeji huko hamna kabisa?,
Hii dawa ni ya vidonge au ni ya maji? Msaada plzNinapokuwa katika maumivu ya vidonda tumbo kwanza akili ya haraka ilikuwa ni kukimbilia maziwa fresh. Wiki jana nilijikuta katika hali hiyo na kama mazoea yangu ya kukimbilia kununua tu dawa hospital huku South Africa ni tofauti huwezi kupewa dawa pasipo Dr. kukupatia vipimo. Lakini kikubwa ni kuwa nimekatazwa kutumia maziwa kwani ni chanzo cha tatizo pia. Lakini amini nawaambia marafiki zangu na ndugu zangu huko nyumbani wanatumia maziwa kupunguza maumivu ya vidonda tumbo na hata mimi nilikuwa natumia sana hii njia. Mnaweza tafuta hii dawa hapa ni nzuri sana.
Ingredients zake Ni nini hadi ikaweza kutibu?Wandugu kuna dawa kama chakula inatibu kabisa vidonda vya tumbo,,, amini inatibu kabisa...
Maandalizi:
Kweme 7 (unazitwanga mpaka zisagike kabisaaaa)
Nusu lita ya maziwa fresh (isipungue nusu lita)
Yai moja la kienyeji (wachukua kile kiini cha njano)
Asali ( kwa kiwango utachoona chakufaa)
Changanya mchanganyiko huo na uunywe kila siku asubuhi kabla ya kula chochote kwa muda wa siku 14 mfululizo
Ukimaliza siku 14 waweza endelea kunywa mchangnyiko huo maana hauna madhara na ni chakula kilichokamilika
Ukipona kwa dawa hii njoo ulete mrejesho hapa
Wandugu kuna dawa kama chakula inatibu kabisa vidonda vya tumbo,,, amini inatibu kabisa...
Maandalizi:
Kweme 7 (unazitwanga mpaka zisagike kabisaaaa)
Nusu lita ya maziwa fresh (isipungue nusu lita)
Yai moja la kienyeji (wachukua kile kiini cha njano)
Asali ( kwa kiwango utachoona chakufaa)
Changanya mchanganyiko huo na uunywe kila siku asubuhi kabla ya kula chochote kwa muda wa siku 14 mfululizo
Ukimaliza siku 14 waweza endelea kunywa mchangnyiko huo maana hauna madhara na ni chakula kilichokamilika
Ukipona kwa dawa hii njoo ulete mrejesho hapa
mkuu, kila siku kipimo ni kama hiki, au hii ndo natumia kwa siku zote 14? samahani sana, napenda kujua zaidi.Wandugu kuna dawa kama chakula inatibu kabisa vidonda vya tumbo,,, amini inatibu kabisa...
Maandalizi:
Kweme 7 (unazitwanga mpaka zisagike kabisaaaa)
Nusu lita ya maziwa fresh (isipungue nusu lita)
Yai moja la kienyeji (wachukua kile kiini cha njano)
Asali ( kwa kiwango utachoona chakufaa)
Changanya mchanganyiko huo na uunywe kila siku asubuhi kabla ya kula chochote kwa muda wa siku 14 mfululizo
Ukimaliza siku 14 waweza endelea kunywa mchangnyiko huo maana hauna madhara na ni chakula kilichokamilika
Ukipona kwa dawa hii njoo ulete mrejesho hapa
Vidonge vyake vina gm ngpi?Vidonge mkubwa
Kila siku vipimo ni hivyo mkuu,, i mean hivyo vipimo ni kwa siku moja tu,, so kila siku waandaa upyamkuu, kila siku kipimo ni kama hiki, au hii ndo natumia kwa siku zote 14? samahani sana, napenda kujua zaidi.
Mkuu nishamaliza dose,ngoja tacheki then nikujuzeVidonge vyake vina gm ngpi?
Bila kusahau hiyo dozi ulitumia mda gani coz kesho nataka nikaisakeMkuu nishamaliza dose,ngoja tacheki then nikujuze
Takujulisha lkn wanauza kwa rand mimi nililipiwa tu mkuu kama ujuavyo cha bure hakihitaji maswali zaidi ya kupiga kimya ila wanauogopa sana huu ugojwa pamoja na maralia.Kwa huko ni bei gani kama nikiagiza kiongozi?
Details zote utapata mkuuBila kusahau hiyo dozi ulitumia mda gani coz kesho nataka nikaisake