Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

MCHEKI HUYU DK WETU WA KF
DK SIJJAD FAZEL
0782785221
AMESAIDIA WENGI SANA HUMUU UKUMBUKE NA SHUKRANI UKIPONA.. SEMA AMINA
Kama huna vidonda vya tumbo ila una hao hpylori bacteria, anayo dawa
 
DX hawatoagi? WAP huko mkuu?
Mbeya... Hawa watu ni wezi sana. Eti kumuona daktari pamoja na kadi ni elfu 5, Advance kabla ya vipimo unatoa elfu 30, ukipimwa haijalishi umekutwa na ugonjwa au lah...unaambiwa umebakiza elfu 80 ili ukamilishe malipo yote usidaiwe....baadae mgonjwa anawekwa kitandani wanamuweka dripu la maji. Ukiwa na maswali mengi ya kuwauliza wanakujibu kuwa tumeweka dawa humo kwenye dripu la maji ili iingie vizuri kwenye mishipa. Jamani hospitali ni wezi sijawahi ona.... Tena hizi za binafsi ni wezi wa kupindukia
 
Kama huna vidonda vya tumbo ila una hao hpylori bacteria, anayo dawa
Mim ninayo dawa ya kutibu maradhi ya tumbo na Dawa ya kutibu hao wadudu aka Bacteria wa hpylori bacteria ukitumia dawa zangu kwa siku 30 utapona kabisa.
 
Dah!!! Pole sana mkuu ila una haki zote za kujua chochote kinachohusu matibabu yako ...Ww sio wa kwanza kuna jamaa yangu kule Zenji alimpelekaga mtoto wake zahanat binafsi wakam DX ana malaria hivyo wakamwandikia sindano za masaa.Jamaa alipowauliza hiv ni sindano gani(dawa) hizo mnachoma? Jamaa wakamwambia ww unatakiwa kila ukija ulipie 4000 ktka sindano bila kumwambia ni dawa gan dogo anachoma....huu ni uhuni mkubwa.
 
Ni wezi sana, yaani ndugu zetu wanaogopa kwenda hospitalini wakihofia pesa hawana. Wanafia majumbani kwasababu ya wadhurunaji wachache
 
Dawa nzuri ya vidonda vya tumbo ni COCAINE.
tatizo lako linaisha baada ya masaa 3 tu, ukitumia cocaine.
 
Kwanza pole kwa kisumbuliwa na hilo gonjwa. Mimi msaada wangu usioende kutumia vitu vikali kama ndim limau n.k kupunguza ukubwa wa tatizo.
 
Hapa uko sawa kabisaaaa... ni kuondoa mambo yanayokupa stresss..
 
Tafuta mayai 90 ya kienyeji, na asali mbichi lita 1. Vunja yai moja chukua kiini chake ule ute mweupe uache, kikoroge kile kiini kiwe rojorojo halafu chota vijiko viwili vya chakula changanya halafu kunywa. Dozi kwa siku ni asubuhi yai moja, mchana moja na jioni moja. Dozi nzima ni siku 30, ndiyo maana hapo mwanzo nimeandika mayai 90 ya mwezi mzima. Au chukua maganda ya parachichi yakaushe kisha uyasage halafu ule unga wake chota kijiko kimoja changanya na asali mbichi vijiko viwili kula asubuhi na jioni kwa wiki 2. Pia ipo dawa nyingine ila nimeshindwa kuiandika hapa kutokana na ugumu wa upatikanaji wa mmea fulani wa kuchanganyia. Nicheki 0622 725 728.
 
Tafuta Alovera Gel ya kampuni ya Forever Living Product.
 
POLE DAWA IPO KAPIME KIPIMO HIKI "HELICOBACTER PYLORI" (H-PYLORI TEST) KISHA UTUMIE DAWA HIZI H-PYLORI KIT CAPSULES VIDONDA KWISHNEE. JAMBO LA MSINGI UWE MVUMILIVU WA KUMEZA DAWA .DOZI NI SIKU 14
 
POLE DAWA IPO KAPIME KIPIMO HIKI "HELICOBACTER PYLORI" (H-PYLORI TEST) KISHA UTUMIE DAWA HIZI H-PYLORI KIT CAPSULES VIDONDA KWISHNEE. JAMBO LA MSINGI UWE MVUMILIVU WA KUMEZA DAWA .DOZI NI SIKU 14
Hiyo dawa ukinywa unakuwa kama umevurugwa, kuwa makini nayo. Mimi imenitesa sana
 
Pole sana. Nilikuwa muhanga ila kwasasa nasoma post yako ndionakumbuka.
Nilichofanya, niliepuka vyakula vyote vyenye asili ya uchachu, mfano limao, vyakula vyenye asili ya kuwasha mfano pilipili, vinywaji vikali hapana, vinywaji vyenye gesi nyingi mfano coca hapana.
Kula chakula kwa wakati, yani kama kifungua kinywa ni saa tatu chamchana saa nane chausiku saa mbili basi nilijijengea ratiba hiyo.
Nilicha kabisa kuwaza mambo yaliyonisababishia uchovu mwingi kiakili na kimwili.
Nilitumia sana matunda yasiyokuwa machschu kama ndizi, tikiti na vinywaji kama maziwa freshi, juice ya embe tikiti au pashen na asali.
Kwasasa hata limao nikula na maganda na tetere zake hakuna kuumwa.
 
Mzizimkavuu yukombalii huwaanamsaadaa Sana kamautaweza mtumiaaa.. MUNGU AWAONGOZE
 
POLE DAWA IPO KAPIME KIPIMO HIKI "HELICOBACTER PYLORI" (H-PYLORI TEST) KISHA UTUMIE DAWA HIZI H-PYLORI KIT CAPSULES VIDONDA KWISHNEE. JAMBO LA MSINGI UWE MVUMILIVU WA KUMEZA DAWA .DOZI NI SIKU 14
Hii dawa ni bei gani mkuu? Na inaweza kupatikana hata kwenye pharmacy ?
 
Wadau hivi kuna kipimo cha huu ugonjwa? Maana nauliza kwa kuwa sehemu nyingi madaktari wanaishia kuniuliza "una vidonda vya tumbo?" Badala ya kunifanyia vipimo...

Wengi wamekuwa wakiguess tu na kuniandikia dawa! Je kama kuna vipimo gharama yake ni kiasi gani? Je kuna tiba sahihi ya hizi dawa za hospitali?

NB; Nimekuwa nikisumbuliwa na tumbo kwa miaka sasa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…