Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Pole mkuu.. samahani wewe ni me au ni ke..
Mimi nina dada yangu amesumbuliwa na vitonda toka miaka hyo ya 90s kaja kupona mwaka jana kapona kabisa na dawa yake ni easy ambayo waweza tengeneza mwenyewe nyumbani, huhitaji kulipa hata senti kwake..

Kama ni ke, basi uje pm ntakupa namba yake uzungumze nae, mie pia ntakiwa nishampa muhtasari wa haya..

Ila kama ni me njoo pia pm lakin sintakupa namba yake maana ni mke wa mtu, sasa nisije nikaleta tafarani kwa kutoa namba yake na sijui atajisikiaje pale nitakapotoa namba tena kwa mwanaume.. nitakupa yangu , niyazungumza nae then nitakujulisha kila kitu mkuu..

Pole sana, nina imani mwenyezi mungu atakuafu inshaallah
 
Du!!! appeal wajuvi mumsaidie huyu jamaa, ila nakushauri pia uende agakhan hospital dar kamuona Dr Wambura
 
tafta dawa inaitwa Herbert sauda kwenye maduka yanayouza dawa asilia,

tafta mayai 14ya kuku wa kienyeji

tafta asali mbich kama lita moja iv

matumiz

chukua glas weka asali kiasi ,changanya na kiini cha yai la kuku wa kienyeji, ongeza na dawa Herbert sauda (matumizi ya Herbert sauda utapewa kwenye duka la dawa)
kisha kunywa, fanya hivyo asbh na jion ndan ya cku saba
 
Utatumia dawa zote utazimaliza ila dawa ya madonda ni pic of mind bac.

Yani huu ugonjwa ile hali tu ya kujijua kuwa unaumwa madonda inakutengenezea stress ambayo inakudhoofisha na kuzid kukushambulia kirahic.
 
Pole sana ndugu, hili tatizo limenisumbua hata mimi muda mrefu na maumivu yake nayaelewa vyema, nilishatumia sana dawa za hospital zikagonga ukuta nikahamia kwenye mitishamba, matunda na vyakula vya asili nilikuja kushangaa tumbo limepoa tu lenyewe huu ni mwaka wa nne sasa niko vyema.
Ila cha kusikitisha hadi leo ukiniuliza ni mmea gani umeniponya siwezi jua sababu kwa maumivu nilokua nayo nilikula kila aina ya mmea niliodhani ungenisaidia.
 
Kingine cha muhimu na wengi tunasahau ni kuanza tiba bila kushughulika na chanzo hasa cha tatizo mara nyingi inakua ngumu kupona, mara nyingi vidonda husababishwa na kuzidi kwa tindikali tumboni hivyo ningekushauri jaribu kutumia vyakula vyenye uwezo wa kuondoa tindikali na kupunguza sumu ndo uanze matibabu na hakika utapona we mwenyewe utashangaa.
Anza kwa kutumia sana juice ya mboga mbichi za kijani, juice ya karoti na tango, watermelon vitakusaidia kwa sana.
 


Humu kuna mada za magonjwambalimbali. Na wadau wengi sana wameshauri tiba ni vyakula ,matunda na viungo vya asili tu. Hizi dawa zakizungu ni magumashi na sumu tu..
Lakini watu wabishi sana.
Hongera sana mkuu kwa kufuata ushauri .
 

Hapa ndiyo penyewe ,safi sana.
 
Baking soda pia inao uwezo mkubwa wa kupunguza tindikali mwilini, changanya kijiko kimoja cha chai kwenye glass ya maji koroga vyema unywe, hata maumivu yatapungua kwa kiwango kikubwa.
Note; iwe baking soda na sio ile baking powder
 
Humu kuna mada za magonjwambalimbali. Na wadau wengi sana wameshauri tiba ni vyakula ,matunda na viungo vya asili tu. Hizi dawa zakizungu ni magumashi na sumu tu..
Lakini watu wabishi sana.
Hongera sana mkuu kwa kufuata ushauri .
Ni kweli kabisa ndugu mzungu katudanganya sana kila ugonjwa tunakimbilia hospitali tunaacha tiba majumbani tumezikalia.
 
Mkuu Makaveli10 salaam
Tatizo hili tupo wengi tu
Niombe msaada na mimi kama itawezekana mkuu
Mimi ni Me
Plsee help me
 
Mimi nilikuwa natapika mpaka damu,nilifuatilia dawa za hospital nikaon zinanizingua,dactar mmoja ICC hospital akanambia nile bamia kila cku na parachichi na kabla sijala nile ndizi zilizoiva nashukuru Mungu nmepona
Mkuu hizo bania ni za kupika au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…