Pole mkuu... Sababu kubwa ya vidonda vya tumbo ni mawazo... Mawazo hufanya tumbo lizalishe acid kwa wingi hivyo kuchoma ngozi ya utumbo.. Sasa mimi (nikipata ulcers) usiku kabla ya kulala huwa nakunywa dawa ya kikohozi ya Koflyn... Hii ni dawa inayoleta usingizi mkali na hunifanya kulala fofofo kwa hiyo niwapo usingizini huwa siwazi na kweli nikifanya hivyo usiku kucha nalala raha mustarehe bila kuumwa na tumbo kwa kuwa mawazo hayapo active na ile koki ya kuzalisha acid inakuwa imefungwa kwa muda.
Pamoja na hayo huwa nakunywa anti acid pamoja na maziwa pakti moja. Nikifanya hivi baada ya wiki mbili nakuwa nimepona.
View attachment 663468
Nb.. Ukinywa dawa ya kikohozi yenye kuleta usingizi, kumbuka kutega alarm maana unaweza amka kesho yake saa nne ukachelewa kazini.