Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Hili jukwaa la uchumi yameshaanza jaa matangazo imekuwa kero
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
C ndo jukwaa lenyewe la Biashara na uchumi mkuu, au ndo ushazoe udaku tu. Hata kwenye cm yako natumaini kunawakati unatumiwa msg za matangazo. Ni vitu ambavyo vipo ktk jamii.Hili jukwaa la uchumi yameshaanza jaa matangazo imekuwa kero
Ndio ni deal au unadhani deal maana yake ni utapeli?Mtakuwa wapiga deal kama majamaa ya FOREX nyie
Sisi tupo Dar ili Dawa ndo tunaagiza mikoaniHapa dar MNA ofis
Inaitwa OMEPRAZOLE ila huwa hazisaidii huwezi kupona hizoUmeshawai kutumia omophrozone( naisi nimekosea spelling kidogo) jaribu hiyo kama ujawai kutumia, mimi iliniponyesha kabisa vidonda vya tumbo
Group la matangazo mbona lipo kwanini unaweka huku ni bora ungeliweka hata jukwaa la jf doctorC ndo jukwaa lenyewe la Biashara na uchumi mkuu, au ndo ushazoe udaku tu. Hata kwenye cm yako natumaini kunawakati unatumiwa msg za matangazo. Ni vitu ambavyo vipo ktk jamii.
jifunze kuandika kwanza ndo uje hapaaaKwa wale wenye tatizo la ulcers, tina Dawa ya kumaliza hilo tatizo na kuendelea kula chakula ambacho ulikua haukitumii mwanzo. Kuna dawa za aina mbili moja ni ya unga ya kukoroga kwenye maji ya moto(hii inatoka Usangi kilimanjaro) na nyingine ni syrup inatoka Mwanza. Tunaweza kuwasiriiana kupitia no 0629075289
Ni wazo zuri pia, hata huko itabidi liende. Kwakua hapa ni Biashara na ujasiriamali, niliona km panafaa japo ni ya matibabu. Lakini pia sio dawa(chemical) ila ni inaponyesha inaponyesha. Yenyewe inakuwa extracted toka kwenye food stuffGroup la matangazo mbona lipo kwanini unaweka huku ni bora ungeliweka hata jukwaa la jf doctor
Umelazimishwa kusoma? Co kla kitu lazma ucoment, unaweza pita kmya. Au huna kaz za kufanyajifunze kuandika kwanza ndo uje hapaaa
Dar sehemu gani ?Sisi tupo Dar ili Dawa ndo tunaagiza mikoani
Kumbe Dar sio mkoa.Sisi tupo Dar ili Dawa ndo tunaagiza mikoani
Chahakula ndio, lkn inategemea kwani chakula hicho hicho kinaweza kikawa chanzo cha mtu kupata ulcers au kikawa ndo kikazidi kumuongezea tatizo mtu mwenye tatizo tayari. Inategemea sana na vyakula muathirika anavyokula na ratiba ya kula inategemea mazingira ya mtu katika harakati zake za utaftaji. Hakuna mtu asiyependa kula kwa wakati ila kuna mazingira inatokea watu hawali kwa wakati au chakula ambacho mwenye ulcers anapaswa kula, wkt mwingine akakosa kabisa chakula kinacho mfaa(hii itategemea na stage ya ulcers zenyewe). Changamoto hiyo ndo inayowapa watu taabu hadi kutafuta solution hiyo. Helgo ni nzuri na ina antibiotic na anti-acid, ila ni temporary solution pia ni expensive pia ukilinganisha na bei zetu. Pia yetu sio chemical ni chakula ambacho unachanganya kwenye chakula km mlivyosikia side effects ya antibiotics zikitumika kwa muda mrefu.Dawa ya Vidonda vya Tumbo ni Kula chakula kwa Ratiba nzuri tu... Sababu kinachoumiza Tumbo ni ile Acid ya tumboni inayoyayusha chakula muda maalum wa Kula Ukifika ukakosa kitu tumboni utaumwa na kama vidondo ndio vitazidi kuchimbika na Bakteria watafurahia zaidi hivyo zingatia ratiba ya kula huo ugonjwa utausikia kwenye Bomba tu na Mwishowe utamaliza tu pesa za Dawa iliyothibitishwa ya HELIGO KIT kwa Wiki tatu mfululizo. kwa wenye afya nzuri maana zinapelekesha kama huli vizuri
Pole mkuu... Sababu kubwa ya vidonda vya tumbo ni mawazo... Mawazo hufanya tumbo lizalishe acid kwa wingi hivyo kuchoma ngozi ya utumbo.. Sasa mimi (nikipata ulcers) usiku kabla ya kulala huwa nakunywa dawa ya kikohozi ya Koflyn... Hii ni dawa inayoleta usingizi mkali na hunifanya kulala fofofo kwa hiyo niwapo usingizini huwa siwazi na kweli nikifanya hivyo usiku kucha nalala raha mustarehe bila kuumwa na tumbo kwa kuwa mawazo hayapo active na ile koki ya kuzalisha acid inakuwa imefungwa kwa muda.
Pamoja na hayo huwa nakunywa anti acid pamoja na maziwa pakti moja. Nikifanya hivi baada ya wiki mbili nakuwa nimepona.
View attachment 663468
Nb.. Ukinywa dawa ya kikohozi yenye kuleta usingizi, kumbuka kutega alarm maana unaweza amka kesho yake saa nne ukachelewa kazini.
Kila dawa nainywa kivyake.. Maziwa angalau nusu lita kwa siku.Heshima YAKO mkuu !.
Naomba maelezo zaidi je huwaunakunywa dawa hizo pamoja na maziwa kwa mpangirio gani na manisha kutwa Mara ngapi?.
Je maziwa una changanya na hizo dawa ama kila dawa unakunywa kivyake?.
Asante