Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 5,950
- 9,511
Poa poaNi pm kuna Dada angu nae vilimsumbua sana akapewa dawa kapona kabisa ni ya kulamba tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa poaNi pm kuna Dada angu nae vilimsumbua sana akapewa dawa kapona kabisa ni ya kulamba tu
Tayar check inbNi pm kuna Dada angu nae vilimsumbua sana akapewa dawa kapona kabisa ni ya kulamba tu
Ndg Magita asante sana kwa kutuelimisha. Naomba unielimishe zaidi hasa kuhusu dawa ulizotushauri: 1. Kama tatizo ni IBS nitumie dawa ipi?; 2. Kama ni hyperacidity nitumie ipi? (au ndiyo Gastrocid uliyoshauri?). Nielimishe mkuu! Pia nimepanga kwenda kupata vipimo km ulivyoshauri. Thanks.Pole mkuu mimi niliumwa vidonda ya tumbo zaidi ya miaka 10 lkn tangu 2007 hadi sasa 2017 nimepona nakula kila kitu chenye gas n.k. Vidonda vya tumbo ni ugonjwa ambao ni rahisi kupona punde unapotumia dawa na unapofuata mashart. Nenda Hospital yeyote kapige X ray ili ujue aina gani ya vidonda vyako ambayo vipo. Kuna xray OGD/ Endoscope hii ni Xray unaingizwa mpira tumboni ili iweze kuona wapi vidonda vipo au kuna Xray ingine inaitwa Barium Meal hii pia itagundua wapi vidonda vipo ni xray ambayo unapigwa ukiwa uchi.
Vijijidudu vya vidonda vya tumbo vinaitwa pylori hawa wadudu wanashambulia tumbo, ndio maana unapata maumivu makubwaa sana hasa vidonda vikiwa ktk utumbo wa dudenum.
Dalili:
. Choo kikubwa kinakuwa kama cha mbuzi
. Unaweza kaa siku hata 5 bila kupata haja kubwa.
. Kuwa na hasira, kusikia kiungulia mara kwa mara
. Kusikia maumivu chini ya chembe
Dawa:
Emaprazole au Lamsoorazole au Gastrocid ya maji au Metronidazole.
KAMA UPO VIZURI KIFEDHA.
NUNUA dawa inayoitwa HELIGO KIT hii dawa ni nomaa inauwa wale wadudu wa pylori.
Masharti yake:
. Acha kukaa na mawazo
. Acha kukaa na hasira
. Acha kabisa sex kwa miezi 3 hadi 5
. Acha kula vyakula vyenye asili ya gas, mafuta
. Acha kula nyama kavu kama samaki kukaanga, chipsi
. Baadhi ya Dawa haziruhusuwi kama Panadol.
. Acha kula mboga za kisamvu, majani kunde, majani maharage nk
. Acha soda, pombe, embe, nanasi wala juice.
Ukifuata MASHARTI VIDONDA VYA TUMBO UNAPONA.
"NITAFUTE NIKUSHAURI NISHAKUWA MUHANGA MIMI SAIV KILA KITU NAKULA"
Asante mkuu! Ngoja nkaitafte hiyo heligo kit
Asante sana ndg Biggs kwa elemu uliyoitoa kwa umma. Nisaidie kitu kimoja mkuu: 1. Kama tatizo la ngu ni IBS nitumie dawa gani? 2. Kama tatizo language ni over production ya HCl nini tiba yake? Asante.Pole sana !! But:-
- Hujasema ni aina gani ya dawa umetumia kwa ajili ya tatizo lako.
- Je ilifanyiwa kipimo cha HELICOBACTER PYLORI (Hii ni aina ya Bacteria ambayo ndio visababishi vikubwa vya tatizo la vidonda vya tumbo/Ulcers
- Lakini pia unaweza kuwa na tatizo la IBS (Irritable Bowel Syndrome) ambayo hupelekea kujaa kwa gesi kwenye mfumo wa chakula hivyo kusababisha maumivu kama mtu mwenye tatizo la ulcers.
- Pia unaweza kuwa na tatizo la mwili kutengezeza Acid/Hydrochloric acid kupita kiasi (Excessive acid production) hivyo kupelekea maumivu kwenye mfumo wa chakula.
- Hivyo matokeo chanya ya utatuzi wa tatizo ulilonalo yatategemea uchunguzi wa kina/fasaha ili kujua chanzo (Mara nyingine kumekuwa na utoaji wa dawa bila kufanya vipimo vya uhakika/confirmatory tests hata pale vinapowezekana kufanyika) na hili linaweza pelekea mtu kuhangaikia tiba kwa muda mrefu kwa sababu tu baadhi ya vipimo vilikuwa ignonered (kwa sababu mbalimbali).
una uhakia?
Charts for Babies to Teens
Health experts worldwide agree that adults who are overweight and have weight related medical problems or a family history of such problems can benefit from weight loss. Even a small weight loss of 10 to 20 pounds can improve your overall general health by lowering your blood pressure and cholesterol levels. Maintaining a healthy weight is very important for protection against obesity related illness or disability. If your weight is currently over the healthy range for your height, losing weight will certainly be beneficial to your health, your looks and how you feel. Check your height to weight ratio using the approximate height to weight chart guide below.
If you're underweight you may need to gain some weight, this should always be done as part of a balanced and nutritious diet, see the New Food Pyramid. In addition you should also be sure to Calculate your Body Mass Index (BMI)
If your weight is in the ok range then you're eating the correct amount of food to keep your weight in the desirable range for health. However, if you are overweight for your height, try to cut down on the amount you're eating, especially food and drinks high in fat or sugar, and try to do more physical activity, exercises, workouts, etc., as being over weight can increase your risk of heart disease, type II diabetes, high blood pressure, and osteoarthritis. Be sure to check with your doctor if you need to lose weight and had problems losing it in the past.
So What is the Right Weight for My Height? This updated height to weight chart is a guide to an adults ideal bodyweight. Now in both Metric and Imperial measurements; Inches/Centimeters - Pounds/Kilograms. Stones - Pounds - Kilograms Conversion (New window).
Adults Weight to Height Ratio Chart
Height
ft. in. (cms)![]()
Female![]()
Male
4' 6"
(137 cm) 63 - 77 lb
(28.5 - 34.9 kg) 63 - 77 lb
(28.5 - 34.9 kg)
4' 7"
(140 cm) 68 - 83 lb
(30.8 - 37.6 kg) 68 - 84 lb
(30.8 - 38.1 kg)
4' 8"
(142 cm) 72 - 88 lb
(32.6 - 39.9 kg) 74 - 90 lb
(33.5 - 40.8 kg)
4' 9"
(145 cm) 77 - 94 lb
(34.9 - 42.6 kg) 79 - 97 lb
(35.8 - 43.9 kg)
4' 10"
(147 cm) 81 - 99 lb
(36.4 - 44.9 kg) 85 - 103 lb
(38.5 - 46.7 kg)
4' 11"
(150 cm) 86 - 105 lb
(39 - 47.6 kg) 90 - 110 lb
(40.8 - 49.9 kg)
5' 0"
(152 cm) 90 - 110 lb
(40.8 - 49.9 kg) 95 - 117 lb
(43.1 - 53 kg)
5' 1"
(155 cm) 95 - 116 lb
(43.1 - 52.6 kg) 101 - 123 lb
(45.8 - 55.8 kg)
5' 2"
(157 cm) 99 - 121 lb
(44.9 - 54.9 kg) 106 - 130 lb
(48.1 - 58.9 kg)
5' 3"
(160 cm) 104 - 127 lb
(47.2 - 57.6 kg) 112 - 136 lb
(50.8 - 61.6 kg)
5' 4"
(163 cm) 108 - 132 lb
(49 - 59.9 kg) 117 - 143 lb
(53 - 64.8 kg)
5' 5"
(165 cm) 113 - 138 lb
(51.2 - 62.6 kg) 122 - 150 lb
(55.3 - 68 kg)
5' 6"
(168 cm) 117 - 143 lb
(53 - 64.8 kg) 128 - 156 lb
(58 - 70.7 kg)
5' 7"
(170 cm) 122 - 149 lb
(55.3 - 67.6 kg) 133 - 163 lb
(60.3 - 73.9 kg)
5' 8"
(173 cm) 126 - 154 lb
(57.1 - 69.8 kg) 139 - 169 lb
(63 - 76.6 kg)
5' 9"
(175 cm) 131 - 160 lb
(59.4 - 72.6 kg) 144 - 176 lb
(65.3 - 79.8 kg)
5' 10"
(178 cm) 135 - 165 lb
(61.2 - 74.8 kg) 149 - 183 lb
(67.6 - 83 kg)
5' 11"
(180 cm) 140 - 171 lb
(63.5 - 77.5 kg) 155 - 189 lb
(70.3 - 85.7 kg)
6' 0"
(183 cm) 144 - 176 lb
(65.3 - 79.8 kg) 160 - 196 lb
(72.6 - 88.9 kg)
6' 1"
(185 cm) 149 - 182 lb
(67.6 - 82.5 kg) 166 - 202 lb
(75.3 - 91.6 kg)
6' 2"
(188 cm) 153 - 187 lb
(69.4 - 84.8 kg) 171 - 209 lb
(77.5 - 94.8 kg)
6' 3"
(191 cm) 158 - 193 lb
(71.6 - 87.5 kg) 176 - 216 lb
(79.8 - 98 kg)
6' 4"
(193 cm) 162 - 198 lb
(73.5 - 89.8 kg) 182 - 222 lb
(82.5 - 100.6 kg)
6' 5"
(195 cm) 167 - 204 lb
(75.7 - 92.5 kg) 187 - 229 lb
(84.8 - 103.8 kg)
6' 6"
(198 cm) 171 - 209 lb
(77.5 - 94.8 kg) 193 - 235 lb
(87.5 - 106.5 kg)
6' 7"
(201 cm) 176 - 215 lb
(79.8 - 97.5 kg) 198 - 242 lb
(89.8 - 109.7 kg)
6' 8"
(203 cm) 180 - 220 lb
(81.6 - 99.8 kg) 203 - 249 lb
(92 - 112.9 kg)
6' 9"
(205 cm) 185 - 226 lb
(83.9 - 102.5 kg) 209 - 255 lb
(94.8 - 115.6 kg)
6' 10"
(208 cm) 189 - 231 lb
(85.7 - 104.8 kg) 214 - 262 lb
(97 - 118.8 kg)
6' 11"
(210 cm) 194 - 237 lb
(88 - 107.5 kg) 220 - 268 lb
(99.8 - 121.5 kg)
7' 0"
(213 cm) 198 - 242 lb
(89.8 - 109.7 kg) 225 - 275 lb
(102 - 124.7 kg)
[paste:font size="4"]Weight Control Tools
Height to weight chart you can print:
- With the help of our Weight Loss Planning Calculator you can easily establish realistic time-lines for your weight loss goals.
- Targeted Body Weight Loss Solutions - From head to toe Daniel Murray takes us through a number of ways and exercises that assist in losing fat in various parts of the body.
- You may also be interested in our chart showing the Average Height of Men and Women by Country
Right click the chart below and save it to your computer. You can then print the height to weight chart for future reference.
![]()
*Information and data for above growth charts sourced from The World Health Organization (WHO), Gerontology Research Center (National Institutes of Health, USA), and the U.S. Centers for Disease Control and Prevention (CDC).
Information and Guides
Submit disability news, coming events, as well as assistive technology product news and reviews.
Loan Information for low income singles, families, seniors and disabled. Includes home, vehicle and personal loans.
Famous People with Disabilities - Well known people with disabilities and conditions who contributed to society.
List of awareness ribbon colors and their meaning. Also see our calendar of awareness dates.
Blood Pressure Chart - What should your blood pressure be, and information on blood group types/compatibility.
- Tips for the Newly Disabled
- Childrens Height to Weight Chart
- Adults Height to Weight Ratio Chart
- Pain Level Scale: Diagram and Chart
Recent Updates
- Stuttering: Stop Signals in the Brain Prevent Fluent Speech
- New Peer-reviewed Journal 'Autism in Adulthood' Launching in 2019
- People Want to Live Longer - But Only If in Good Health
- Canada's Aging Population Signals Need for More Inclusive, Accessible Transportation System
Disclaimer: Content on Disabled World is not intended to be a substitute for professional medical advice, diagnosis, or treatment. Always seek the advice of a physician or other qualified health provider with any questions you may have regarding a medical condition. See our Terms of Service for more information.
Reporting Errors: Disabled World is an independent website, your assistance in reporting outdated or inaccurate information is appreciated. If you find an error please let us know.
Asante sana ndg Biggs kwa elemu uliyoitoa kwa umma. Nisaidie kitu kimoja mkuu: 1. Kama tatizo la ngu ni IBS nitumie dawa gani? 2. Kama tatizo language ni over production ya HCl nini tiba yake? Asante.
ngoja nimcheck maana hali Ni teteMwambie atumie bidhaa za edmark zitamuondoa kwenye hayo maumivu kabisa mcheck huyu dada 0692948695