Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Mwambie apunguze mawazo. Pia wakati wa kulala anywe robo glass ya pombe kali kama Valuer au dawa ya Koflyin. Hii itamsaidia kushut down brain activities hivyo akilala usiku, tumbo halitokaa limuume usingizini.
 
Pole mkuu mimi niliumwa vidonda ya tumbo zaidi ya miaka 10 lkn tangu 2007 hadi sasa 2017 nimepona nakula kila kitu chenye gas n.k. Vidonda vya tumbo ni ugonjwa ambao ni rahisi kupona punde unapotumia dawa na unapofuata mashart. Nenda Hospital yeyote kapige X ray ili ujue aina gani ya vidonda vyako ambayo vipo. Kuna xray OGD/ Endoscope hii ni Xray unaingizwa mpira tumboni ili iweze kuona wapi vidonda vipo au kuna Xray ingine inaitwa Barium Meal hii pia itagundua wapi vidonda vipo ni xray ambayo unapigwa ukiwa uchi.
Vijijidudu vya vidonda vya tumbo vinaitwa pylori hawa wadudu wanashambulia tumbo, ndio maana unapata maumivu makubwaa sana hasa vidonda vikiwa ktk utumbo wa dudenum.
Dalili:
. Choo kikubwa kinakuwa kama cha mbuzi
. Unaweza kaa siku hata 5 bila kupata haja kubwa.
. Kuwa na hasira, kusikia kiungulia mara kwa mara
. Kusikia maumivu chini ya chembe
Dawa:
Emaprazole au Lamsoorazole au Gastrocid ya maji au Metronidazole.
KAMA UPO VIZURI KIFEDHA.
NUNUA dawa inayoitwa HELIGO KIT hii dawa ni nomaa inauwa wale wadudu wa pylori.
Masharti yake:
. Acha kukaa na mawazo
. Acha kukaa na hasira
. Acha kabisa sex kwa miezi 3 hadi 5
. Acha kula vyakula vyenye asili ya gas, mafuta
. Acha kula nyama kavu kama samaki kukaanga, chipsi
. Baadhi ya Dawa haziruhusuwi kama Panadol.
. Acha kula mboga za kisamvu, majani kunde, majani maharage nk
. Acha soda, pombe, embe, nanasi wala juice.
Ukifuata MASHARTI VIDONDA VYA TUMBO UNAPONA.
"NITAFUTE NIKUSHAURI NISHAKUWA MUHANGA MIMI SAIV KILA KITU NAKULA"
Ndg Magita asante sana kwa kutuelimisha. Naomba unielimishe zaidi hasa kuhusu dawa ulizotushauri: 1. Kama tatizo ni IBS nitumie dawa ipi?; 2. Kama ni hyperacidity nitumie ipi? (au ndiyo Gastrocid uliyoshauri?). Nielimishe mkuu! Pia nimepanga kwenda kupata vipimo km ulivyoshauri. Thanks.
Asante mkuu! Ngoja nkaitafte hiyo heligo kit
 
Pole sana !! But:-
- Hujasema ni aina gani ya dawa umetumia kwa ajili ya tatizo lako.
- Je ilifanyiwa kipimo cha HELICOBACTER PYLORI (Hii ni aina ya Bacteria ambayo ndio visababishi vikubwa vya tatizo la vidonda vya tumbo/Ulcers
- Lakini pia unaweza kuwa na tatizo la IBS (Irritable Bowel Syndrome) ambayo hupelekea kujaa kwa gesi kwenye mfumo wa chakula hivyo kusababisha maumivu kama mtu mwenye tatizo la ulcers.
- Pia unaweza kuwa na tatizo la mwili kutengezeza Acid/Hydrochloric acid kupita kiasi (Excessive acid production) hivyo kupelekea maumivu kwenye mfumo wa chakula.

- Hivyo matokeo chanya ya utatuzi wa tatizo ulilonalo yatategemea uchunguzi wa kina/fasaha ili kujua chanzo (Mara nyingine kumekuwa na utoaji wa dawa bila kufanya vipimo vya uhakika/confirmatory tests hata pale vinapowezekana kufanyika) na hili linaweza pelekea mtu kuhangaikia tiba kwa muda mrefu kwa sababu tu baadhi ya vipimo vilikuwa ignonered (kwa sababu mbalimbali).
Asante sana ndg Biggs kwa elemu uliyoitoa kwa umma. Nisaidie kitu kimoja mkuu: 1. Kama tatizo la ngu ni IBS nitumie dawa gani? 2. Kama tatizo language ni over production ya HCl nini tiba yake? Asante.
una uhakia?



Charts for Babies to Teens

Health experts worldwide agree that adults who are overweight and have weight related medical problems or a family history of such problems can benefit from weight loss. Even a small weight loss of 10 to 20 pounds can improve your overall general health by lowering your blood pressure and cholesterol levels. Maintaining a healthy weight is very important for protection against obesity related illness or disability. If your weight is currently over the healthy range for your height, losing weight will certainly be beneficial to your health, your looks and how you feel. Check your height to weight ratio using the approximate height to weight chart guide below.

If you're underweight you may need to gain some weight, this should always be done as part of a balanced and nutritious diet, see the New Food Pyramid. In addition you should also be sure to Calculate your Body Mass Index (BMI)

If your weight is in the ok range then you're eating the correct amount of food to keep your weight in the desirable range for health. However, if you are overweight for your height, try to cut down on the amount you're eating, especially food and drinks high in fat or sugar, and try to do more physical activity, exercises, workouts, etc., as being over weight can increase your risk of heart disease, type II diabetes, high blood pressure, and osteoarthritis. Be sure to check with your doctor if you need to lose weight and had problems losing it in the past.

So What is the Right Weight for My Height? This updated height to weight chart is a guide to an adults ideal bodyweight. Now in both Metric and Imperial measurements; Inches/Centimeters - Pounds/Kilograms. Stones - Pounds - Kilograms Conversion (New window).

Adults Weight to Height Ratio Chart
Height

ft. in. (cms)
female.jpg

Female
male.jpg

Male

4' 6"
(137 cm) 63 - 77 lb
(28.5 - 34.9 kg) 63 - 77 lb
(28.5 - 34.9 kg)

4' 7"
(140 cm) 68 - 83 lb
(30.8 - 37.6 kg) 68 - 84 lb
(30.8 - 38.1 kg)

4' 8"
(142 cm) 72 - 88 lb
(32.6 - 39.9 kg) 74 - 90 lb
(33.5 - 40.8 kg)

4' 9"
(145 cm) 77 - 94 lb
(34.9 - 42.6 kg) 79 - 97 lb
(35.8 - 43.9 kg)

4' 10"
(147 cm) 81 - 99 lb
(36.4 - 44.9 kg) 85 - 103 lb
(38.5 - 46.7 kg)

4' 11"
(150 cm) 86 - 105 lb
(39 - 47.6 kg) 90 - 110 lb
(40.8 - 49.9 kg)

5' 0"
(152 cm) 90 - 110 lb
(40.8 - 49.9 kg) 95 - 117 lb
(43.1 - 53 kg)

5' 1"
(155 cm) 95 - 116 lb
(43.1 - 52.6 kg) 101 - 123 lb
(45.8 - 55.8 kg)

5' 2"
(157 cm) 99 - 121 lb
(44.9 - 54.9 kg) 106 - 130 lb
(48.1 - 58.9 kg)

5' 3"
(160 cm) 104 - 127 lb
(47.2 - 57.6 kg) 112 - 136 lb
(50.8 - 61.6 kg)

5' 4"
(163 cm) 108 - 132 lb
(49 - 59.9 kg) 117 - 143 lb
(53 - 64.8 kg)

5' 5"
(165 cm) 113 - 138 lb
(51.2 - 62.6 kg) 122 - 150 lb
(55.3 - 68 kg)

5' 6"
(168 cm) 117 - 143 lb
(53 - 64.8 kg) 128 - 156 lb
(58 - 70.7 kg)

5' 7"
(170 cm) 122 - 149 lb
(55.3 - 67.6 kg) 133 - 163 lb
(60.3 - 73.9 kg)

5' 8"
(173 cm) 126 - 154 lb
(57.1 - 69.8 kg) 139 - 169 lb
(63 - 76.6 kg)

5' 9"
(175 cm) 131 - 160 lb
(59.4 - 72.6 kg) 144 - 176 lb
(65.3 - 79.8 kg)

5' 10"
(178 cm) 135 - 165 lb
(61.2 - 74.8 kg) 149 - 183 lb
(67.6 - 83 kg)

5' 11"
(180 cm) 140 - 171 lb
(63.5 - 77.5 kg) 155 - 189 lb
(70.3 - 85.7 kg)

6' 0"
(183 cm) 144 - 176 lb
(65.3 - 79.8 kg) 160 - 196 lb
(72.6 - 88.9 kg)

6' 1"
(185 cm) 149 - 182 lb
(67.6 - 82.5 kg) 166 - 202 lb
(75.3 - 91.6 kg)

6' 2"
(188 cm) 153 - 187 lb
(69.4 - 84.8 kg) 171 - 209 lb
(77.5 - 94.8 kg)

6' 3"
(191 cm) 158 - 193 lb
(71.6 - 87.5 kg) 176 - 216 lb
(79.8 - 98 kg)

6' 4"
(193 cm) 162 - 198 lb
(73.5 - 89.8 kg) 182 - 222 lb
(82.5 - 100.6 kg)

6' 5"
(195 cm) 167 - 204 lb
(75.7 - 92.5 kg) 187 - 229 lb
(84.8 - 103.8 kg)

6' 6"
(198 cm) 171 - 209 lb
(77.5 - 94.8 kg) 193 - 235 lb
(87.5 - 106.5 kg)

6' 7"
(201 cm) 176 - 215 lb
(79.8 - 97.5 kg) 198 - 242 lb
(89.8 - 109.7 kg)

6' 8"
(203 cm) 180 - 220 lb
(81.6 - 99.8 kg) 203 - 249 lb
(92 - 112.9 kg)

6' 9"
(205 cm) 185 - 226 lb
(83.9 - 102.5 kg) 209 - 255 lb
(94.8 - 115.6 kg)

6' 10"
(208 cm) 189 - 231 lb
(85.7 - 104.8 kg) 214 - 262 lb
(97 - 118.8 kg)

6' 11"
(210 cm) 194 - 237 lb
(88 - 107.5 kg) 220 - 268 lb
(99.8 - 121.5 kg)

7' 0"
(213 cm) 198 - 242 lb
(89.8 - 109.7 kg) 225 - 275 lb
(102 - 124.7 kg)


[paste:font size="4"]Weight Control Tools
Height to weight chart you can print:
Right click the chart below and save it to your computer. You can then print the height to weight chart for future reference.

height-weight-ratio-chart.png


*Information and data for above growth charts sourced from The World Health Organization (WHO), Gerontology Research Center (National Institutes of Health, USA), and the U.S. Centers for Disease Control and Prevention (CDC).




Information and Guides
Submit disability news, coming events, as well as assistive technology product news and reviews.

Loan Information for low income singles, families, seniors and disabled. Includes home, vehicle and personal loans.

Famous People with Disabilities - Well known people with disabilities and conditions who contributed to society.

List of awareness ribbon colors and their meaning. Also see our calendar of awareness dates.

Blood Pressure Chart - What should your blood pressure be, and information on blood group types/compatibility.




Recent Updates
  1. Stuttering: Stop Signals in the Brain Prevent Fluent Speech
  2. New Peer-reviewed Journal 'Autism in Adulthood' Launching in 2019
  3. People Want to Live Longer - But Only If in Good Health
  4. Canada's Aging Population Signals Need for More Inclusive, Accessible Transportation System



Disclaimer: Content on Disabled World is not intended to be a substitute for professional medical advice, diagnosis, or treatment. Always seek the advice of a physician or other qualified health provider with any questions you may have regarding a medical condition. See our Terms of Service for more information.

Reporting Errors: Disabled World is an independent website, your assistance in reporting outdated or inaccurate information is appreciated. If you find an error please let us know.
 
Asante sana ndg Biggs kwa elemu uliyoitoa kwa umma. Nisaidie kitu kimoja mkuu: 1. Kama tatizo la ngu ni IBS nitumie dawa gani? 2. Kama tatizo language ni over production ya HCl nini tiba yake? Asante.

Mkuu ni vizuri kumuona mtaalamu/specialistry wa mfumo wa chakula (Gastroenterologist) kwa uchunguzi wa kina ili kuja na utatuzi chanya. Mfano kwa kesi ya IBS inaweza tegemea na aina ya vyakula tunavyokula mfano ukosefu wa aina ya vyakula vyenye Fibers. Uzalishaji wa acid nyingi unaweza hitaji matumizi ya muda mrefu dawa za kurekebisha kiwango cha acid kama Proton pump inhibitors n.k !!!
 
AFYA BORA

VIDONDA VYA TUMBO NI UGONJWA GANI?


Ugunduzi uliofanywa na watafiti kutoka mji wa Perth magharibi ya Australia mwaka 1982 na Prof. Robin Warren na Dr. Barry Marshall kutoka chuo kikuu cha Western Australia na washindi wa tuzo ya Nobel ya afya ya mwaka 2005.

Mabingwa hawa wa tiba waligundua kuwa, vidonda vya tumbo ni ugonjwa wa kuambukiza (communicable disease). Binadamu anaugua vidonda vya tumbo baada ya kupata maambukizi ya vimelea jamii ya bacteria vinavyoitwa Helicobacter Pylori.

Ugunduzi huu ni mapinduzi makubwa kabisa katika sayansi ya afya duniani katika karne 21, kwani unafuta dhana ya kwamba vidonda vya tumbo vinatokana na mawazo, kuchelewa kula na ugonjwa wa kurithi.

Wale wenye mtandao wanaweza ku google Helicobacter Pylori kujifunza zaidi juu ya vidonda vya tumbo na chanzo chake.
Tafiti zimethibitisha kuwa vimelea hivi Helicobacter Pylori vinaambukiza kati ya mtu na mtu kupitia mate (Saliva) na pia uchafuzi wa kinyesi cha binadamu kwenye maji na chakula.

Kwenye nchi maskini ukosefu wa maji salama, uchafuzi wa mazingira, na makazi duni yenye msongamano wa watu wengi, unachangia watu wengi sana kupata maambukizo ya vimelea hivi, hivyo kupelekea kuugua vidonda vya tumbo.

Kulingana na shirika la afya duniani nchi za Africa, kusini mwa jangwa la sahara, asilimia 80% ya wakazi wake wanaishi na vimelea vya Helicobacter Pylori na asilimia 20 % waugua vidonda vya tumbo.

Kimelea Helicobacter Pylori kinayvosababisha vidonda vya tumbo.

Baada ya mtu kumeza vimelea hivi kupitia mate ya mgonjwa, maji yasiyo salama, chakula kilichoandaliwa kutoka mazingira yasiyo salama na mikono michafu.

Vimelea hivi huweka masikani kwa kujichimbia ndani ya uteute unaofunika ngozi laini ya ndani ya mfuko wa chakula na kuzaliana na kuwa vingi.

Kulingana na ugunduzi wa mabingwa hawa, vimelea hivi huzalisha aina mbili za kemikali ambazo ni sumu kwa binadamu.
Kemikali sumu ya kwanza inajulikana kama Cag A

Sumu hii hufanya uharibifu kwenye mfumo wa uzalishaji wa tindikali (Hydrochloric Acid) kwenye mfuko wa chakula na kusababisha tindikali hii kuzalishwa kali sana na nyingi kuliko inavyohitajika (gastric atrophy) na kupelekea vimengenyo vya chakula kushindwa kumeng'enya chakula vizuri (dispepsia).

Mgonjwa hujisikia kama anaungua kwa ndani na maumivu makali ya tumbo, tumbo kujaa gesi na kuunguluma (bloating),
Maumivu makali sehemu ya juu ya tumbo, chini ya kifua, (chembe ya moyo)

Kupata kiungulia hasa baada ya kula chakula chenye asili ya tindikali kama vile viazi, maharage nk.

Kufunga choo au kupata choo kigumu wakati mwingine kinakuwa kama cha mbuzi na chenye uteute mwingi (constipation).
Mgonjwa mwenye maambukizi makubwa ya vimelea hivi, hali huwa mbaya zaidi, kwani kemikali sumu hii huzalishwa kwa wingi sana, uhalibifu unakuwa mkubwa zaidi, kemikali sumu hii na tindikali hufyonzwa na kusambaa mwili mzima, kupitia mishipa ya damu hivyo kuharibu kila kiungo muhimu cha mwili.

Mgonjwa hujisikia mchovu, mapigo ya moyo kuwa ya juu na ya kasi, homa za mara kwa mara, kuumwa kichwa na kipanda uso (migrane headache).

Maumivu yards viungo na misuli ya miguu, mikono, mgongo, mabega ,shingo n.k

Hisia za baridi, joto au ganzi kwenye nyayo za miguu, vidole vya mikono na miguu.

Kichefuchefu, kizunguzungu na kukosa hamu ya chakula.

Aina ya pili ya kemikali sumu inaitwa VacA

Kemikali sumu hii, husababisha uvimbe kwenye mfumo wa chakula (Inflammatory Bowel Disease-IBD), ukiambatana na maumivu ya tumbo.

Uvimbe kwenye koromeo la chakula unaitwa -Esophagitis, uvimbe kwenye mfuko wa chakula -gastritis, uvimbe kwenye sehemu ya juu ya utumbo mdogo -duodernitis, uvimbe kwenye utumbo mdogo -enteritis, uvimbe kwenye utumbo mpana -crown’s disease, au hemorrhoid- bawasili.

Hatari ya kuwa na uvimbe wa mfumo wa chakula (Inflammatory Bowel Disease-IBD) ni kuziba njia ya chakula hivyo mgonjwa kuhitaji upasuaji mkubwa. Hatari nyingine, mgonjwa anaweza kupata saratani ya mfuko wa chakula -Gastric Cancer au MALT –Lymphomas

Kemikali sumu VacA pia inasababisha kutokea kwa vidonda kwenye mfumo wa chakula (Bowel Ulcer Disease) na maumivu makali ya tumbo.

Vidonda kwenye koromeo la chakula vinaitwa -Esophageal ulcers, vidonda kwenye mfuko wa chakula -Gastric ulcers, vidonda kwenye sehemu ya juu ya utumbo mdogo -Duodernal ulcers, vidonda kwenye utumbo mdogo- Illem ulcers, vidonda kwenye utumbo mpana -Ulcerative colitis

Hatari ya kuugua vidonda kwenye mfumo wa chakula (Bowel Ulcer Disease) – mgonjwa kuishiwa damu mara kwa mara kwa sababu vidonda vinavujisha damu kwa ndani, kinyesi cha magonjwa hubadilika rangi na kuwa cha kahawia, damu nyingi ikivujia mgonjwa hutapika na kuharisha damu mbichi au iliyoganda.

Kidonda kilichojichimba kinaweza kutengeneza tundu kwenye tumbo hivyo kusababisha uozo ndani ya tumbo na kusababisha kifo.

Tafiti mbalimbali zimethibitisha kuwa kemikali sumu CagA, VacA na tindikali nyingi mwilini kutokana na maambukizi makubwa ya vimelea helicobacter pylori ni kisababishi kikuu cha magonjwa yafuatayo :-

Magonjwa ya Inni (Biliary Cirrhosis, Liver Sclerosis) na mawe kwenye kifuko cha nyongo –(Gall Stone Disease).
Magonjwa ya moyo (Cardiovascular Disease) na mishipa ya damu (Artherosclerosis), moyo kupanuka na kuwa mkubwa -Ischaemic heart disease(IHD), Shinikizo la damu – Hypertension, Shinikizo la damu kwa wajawazito- Pre- Eclampsia.
Ugonjwa wa kisukari- (Diabetes Mellitus II)
Magonjwa ya maumivu ya viungo
Kuvimba joints -Gout, baridi yabisi - Arthritis, yabisi kavu - Osteoarthritis.
Magonjwa ya ngozi, na kupata mzio -Allergies nk.

Tafiti nyingi zimethibisha kuwa mgonjwa mwenye maambukizi makubwa ya vimelea Helicobacter Pylori anauwezekano mkubwa wa vimelea hivi kuweka masikani ndani ya utumbo mpana,na kuzalisha kemikali wa sumu CagA, VacA na Ammonia kwa wingi.

Mlundikano mkubwa wa kemikali sumu hizi ndani ya utumbo mpana husababisha uvimbe na maumivu kwenye utumbo mpana na pia husambaa sehemu ya chini ya tumbo na kiunoni na kusababisha kuvimba na uharibifu kwenye viungo na misuli vinavopatikana sehemu hizi yakiambatana na maumivu makali ya mgongo na kiuno Chronic Pelvic Pain (CPP)

Pelvic Congestion syndrome (PCS) kwa wanaume au Pelvic Inflammatory Disease (PID) kwa wanawake, ni mjumuisho wa magonjwa yanayotokana na maambukizi ya vimelea Helicobacter Pylori ndani ya utumbo mpana:-

Magonjwa ya njia ya mkojo na figo kama vile :-
Uvimbe na vidonda kwenye figo- Chronic Kidney Injury (CKD) Ugonjwa wa mawe kwenye figo -(kidney stone disease) na kibofu cha mkojo -urine blader stone disease, , uvimbe,vidonda na kusinyaa kwa njia ya mkojo-Urethritis-UTI sugu, na kuvimba tezi dume kwa wanaume-Prostatitis
Matatizo ya uzazi -Reproductive disorders
Uvimbe kwenye njia ya mayai- Salpingitis –uvimbe ndani ya mfuko wa uzazi- Endometritis-mchango, kukosa nguvu za kiume-Erectile Disorder, kushindwa kushika mimba, na kuharibika kwa mimba changa- Spontaneous Abortion.
 
Wadau ni hvi Nina pata maumivu ya tumbo ninaposimama na kutunisha tumbo kwa nje au nikiliingiza ndani na vilevile nikila na kushiba sana basi nahisi naumivu lakini nikikaa chini na Kufanya kama nilivyoeleza hapo juu wala sihisi maumivu so wanaofahamu hzi zinaweza kuwa dalili za nn?
 
Inaweza kuwa ni hyperacidity na sio vidonda vya tumbo ametumia dawa yenye kiwango halisi

Ni bora akaenda hosp
 
Kwa kweli asali pia inasaidia mnoo yani....!! Nimekuwa nikitumia km mwezi sasa, Nina nafuh kubwa mno!
 
ningekuwa Kilimanjaro ningekusaidia bure kuchukuwa dawa nikutumie ulipie nauli tu kuna rafiki yangu alisomaga Moshi tec nilimpeleka Kwa huyo masai alivyopewa huo ugonjwa ulikuwa ndo mwisho wake
 
cha kukushauri tu abadili ratiba yake ya kula
asubui anywe chai
saa 4 uji
saa 6 cha mchana
saa 10 matunda au maziwa au uji tena
saa 2 usiku ale tena
saa 4 usiku anywe ata maziwa
hapo atapona at bila dawa
 
Back
Top Bottom