Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Muuone dokta kingu ifakara morogoro anakupa dawa moja local siku mbili tu Keisha hizo habari .Mimi hata pilau nilikuwa sili ila sasa hivi nakula hadi pilipili.
Siku mbili upone!! hahaha hivyo vyako vilikua vinaanza ila mwenzio ni 'chronic'
 
Kunywa juisi ya majani ya mlonge kila siku asubuhi kabla ya kula chochote kwa muda wa siku 90. Ni tiba nzuri sana ya vidonda vya tumbo
 
Nikiangalia dawa ulizotumia, sioni cha kushauri only if ulichoandika ni kweli.

Nishauri uende kwa maombi!
 
Habari zenu wadau, naomba kuuliza ninaweza kupata dokta anayeweza kutibu vidonda vya tumbo na kupona kabisa.Kama yupo naomba namba zake ili niweze kufanya mawasiliano.
 
Pole mkuu... Sababu kubwa ya vidonda vya tumbo ni mawazo... Mawazo hufanya tumbo lizalishe acid kwa wingi hivyo kuchoma ngozi ya utumbo.. Sasa mimi (nikipata ulcers) usiku kabla ya kulala huwa nakunywa dawa ya kikohozi ya Koflyn... Hii ni dawa inayoleta usingizi mkali na hunifanya kulala fofofo kwa hiyo niwapo usingizini huwa siwazi na kweli nikifanya hivyo usiku kucha nalala raha mustarehe bila kuumwa na tumbo kwa kuwa mawazo hayapo active na ile koki ya kuzalisha acid inakuwa imefungwa kwa muda.
Pamoja na hayo huwa nakunywa anti acid pamoja na maziwa pakti moja. Nikifanya hivi baada ya wiki mbili nakuwa nimepona.

Nb.. Ukinywa dawa ya kikohozi yenye kuleta usingizi, kumbuka kutega alarm maana unaweza amka kesho yake saa nne ukachelewa kazini.
 
Kama unaweza kupata aloe vera kwa wingi itakusaidia.Chukua mmea wa Aloe Vera kwa wingi kisha katakata vipande vidogovidogo kisha uweke ndani ya chungu bila kuweka maji.Hakikisha unaupika mpaka unakauka na kubaki majivu kisha chukua chombo safi weka lile jivu la aloe vera iliyoungua.Changanya hilo jivu na asali kisha tumia kijiko kimoja mara tatu kwa siku.Vidonda vya tumbo vitabaki kuwa historia.Changamoto ni kuupata mmea wa Aloe Vera kwa wingi kwa sababu unaweza ukakaanga chungu kikubwa kikiwa kimejaa lakini majivu yakawa hayajai hata kwenye kiganja.
 
Asante kwa ushauri wako
 
Ni chungu tu au hata sufuria naweza kutumia na pia hiyo dawa niitumie kwa muda gani yaani wiki moja,mbili au miezi...
 
Mkuu wengine wanachanganya mayai yavkienyeji, mdalasini na asali (nyuki wadogo)
 

haina madhara ukiiitumia kila wakati,je ikigeuka kuwa ulevi
 
haina madhara ukiiitumia kila wakati,je ikigeuka kuwa ulevi
Ukitumia kiwango cha wastani hakuna madhara... Kumbuka dawa nyingi zina uwezo wa kuweza kutibu zaidi ya ugonjwa mmoja, yani dawa inaweza kuwa prescription drug na pia ikawa off the shelve drugs...
 
Mimi nilitibiwa ikonda hospital nilipewa dozi ya siku 32 baada ya hapo namshukuru Mungu maharage,pilipili mi fresh tu
 
Kwa wale wenye tatizo la ulcers, tina Dawa ya kumaliza hilo tatizo na kuendelea kula chakula ambacho ulikua haukitumii mwanzo. Kuna dawa za aina mbili moja ni ya unga ya kukoroga kwenye maji ya moto(hii inatoka Usangi kilimanjaro) na nyingine ni syrup inatoka Mwanza. Tunaweza kuwasiriiana kupitia no 0629075289
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…