Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Hivi jamani vidonda vya tumbo vinatibika kwa dawa gani, nina ndugu yangu katumia dawa za hospital lakini hajapona. Kwa yeyote anaefaham dawa ya huu ugonjwa tafadhari

Bongo sihami ng'oo
Hey mkuu tumia asali ya nyuki wadogo inasaidia sana mkuu pia ukiona maendeleo sio unatakiwa ukafanye endoscopy

Kuangalia ni namna gan tumbo lako limepata perforation ama madonda kiasi gani

Kingine ukishajua hilo na tatizo likawa kubwa we bongo mbona utasepa tu aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] nimekusoma mkuu

Bongo sihami ng'oo
 
Je alipata uchunguzi ili kujua kweli ana vidonda vya tumbo ili usije ukawa unatibu kitu kingine. Nauliza hivi maana madaktari wengine ukiwaambia naumwa tumbo basi watasema una vidonda. Uchunguzi sahihi uhusisha damu kuangalia wadudu waitwao H pylori au endoscopy kuangalia utumbo umetoboka kiasi gani au barium meal kama aina ya ultasound unameza uji ya barium kufanya tumbo kuwa gumu ili picha ionekane vema. Haya nyie mmepima njia gani?

Je daktari alimwambia ana vidonda vya aina gani maana kuna peptic ulcwr, duodenal ulcer ambazo kila moja ina tiba yake.

Baada ya kufanyiwa uchunguzi alimaliza dawa ? Na kubwa zaidi ni aina yake ya maisha kwa maana ya vyakula, muda wa kula, msongo nk hivi kama havijarekebishwa hata unnywe dawa zipi hautatatua bali utapata nafuu kiasi tu.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu niliwahi kutumia dawa inaitwa heligo kit nikapoma kabisa ni miaka miwili sasa nilikua sijasikia dalili. Lakini ghafla vimerudi I think ni stress na kuchelewa kula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…