mandela1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 837
- 602
Hey mkuu tumia asali ya nyuki wadogo inasaidia sana mkuu pia ukiona maendeleo sio unatakiwa ukafanye endoscopyHivi jamani vidonda vya tumbo vinatibika kwa dawa gani, nina ndugu yangu katumia dawa za hospital lakini hajapona. Kwa yeyote anaefaham dawa ya huu ugonjwa tafadhari
Bongo sihami ng'oo
Kuangalia ni namna gan tumbo lako limepata perforation ama madonda kiasi gani
Kingine ukishajua hilo na tatizo likawa kubwa we bongo mbona utasepa tu aise
Sent using Jamii Forums mobile app