Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Usingojee kuletewa ushuhuda wa watu kama ni kweli unataka tiba toka kwangu nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia.
 
Hivi jamani vidonda vya tumbo vinatibika kwa dawa gani, nina ndugu yangu katumia dawa za hospital lakini hajapona. Kwa yeyote anaefaham dawa ya huu ugonjwa tafadhari

Bongo sihami ng'oo
Mwambie akatafute dawa inaitwa "kit".
Sina tena hayo madonda ya tumbo
 
Leta sasa huo ukweli wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzizi mkavu habari yako kiongozi...

Nilikuwa najihi maumivu madogo ktk kifua haswa ukigeuka,au kuinama. Na hata nikitumia mkono wangu kukangamiza kifua huwa kinauma sio kwa sana.
Jambo la pili likatokea kichomi upande wa kushoto chini pafu tumboni.

Kuona hivyo nikaenda Hospital Amana kuchukua vipimo vya kifua kwa kupiga X-Ray pamoja na vipimo Moyo.
Majibu yakatoka kuwa sina tatizo. Wakanipa dawa ya kutuliza hayo maumivu ambayo ni CLAVULIN na AROXICAM.

Sasa baada kuanza kuitumia hiyo dawa baada ya siku tatu nikimeza saa 2 Asubuhi ikifaka saa 5 mpaka 6 mchana naanza kujihisi kiungulia tumboni.

Naagiza chakula mida hiyo kiungulia kina potea. Ikifika saa 12 jioni kiungulia kinarudi. Nagiza maziwa kina pote.
Nikaamua niache kuitumia hiyo dawa lakini mpaka sasa bado kiungulia kinanisumbua.
 
Pole sana Dawa ya kiungulia chukuwa Kijiko 1 kidogo cha Magadi soda chapa ya Simba (Bicabonate of Soda) tia ndani ya glasi ya maji ya koroga vizuri ipate kuchanganyika vizuri kisha hapo hapo kunywa utapona.Ikiwa bado unayo maradhi mengine nitafute kwa wakati wako.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu

 
Habari wanajukwaa, naomba kwa aliyewahi kuwa na vidonda vya tumbo akatibiwa na kupona tafadhal atusaidie alitumia dawa gan,hospital gan au kwa mtaalam gani ili nasisi tunufaike. Natanguliza shukran
Mkuu tatizo LA vidonda vya TUMBO ni sugu sana, Mimi nimeshindwa kabisa kutibiwa KWA sawa za hospital saizi nimeingia za asili Nazo nione itakuwaje, nitakuja mrejesho baada ya mwezi naona kama maendeleo ni mazuri
 
Vidonda vya tumbo ni moja ya long term conditions. Kufuata masharti na kubadilisha life style ni moja ya tiba.

1. Asubuhi ukiamka chemsha mdalasini weka kijiko cha asali mbichi unyewe hii ndiyo chai yako.

Chakula steam kebichi bila mafuta, katia parachichi juu. Hiki ndiyo chakula kukuu hasa hali inapokua mbaya.

Epukana na maziwa, pombe na ongeza unywaji wa maji na asali mbichi.
 
Mkuu tatizo LA vidonda vya TUMBO ni sugu sana, Mimi nimeshindwa kabisa kutibiwa KWA sawa za hospital saizi nimeingia za asili Nazo nione itakuwaje, nitakuja mrejesho baada ya mwezi naona kama maendeleo ni mazuri
Ni dawa ipi ya asili ambayo unatumia mkuu? Siwezi namimi kuipata?
 
Shukran mkuu
 
Ni dawa ipi ya asili ambayo unatumia mkuu? Siwezi namimi kuipata?
Mkuu nimeanza juzi kutumia ngoja niicheck, maana mi nilikuwa naumwaumwa sana tumbo na kupata choo laini sana sababu ya vidonda, tangu nianze kuitumia choo napata kawaida na kuuma silisikii tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…