Aleke Subugo
New Member
- May 22, 2018
- 1
- 1
Njoo private nikupe namba yangu ya simu tuwasiliane. Me nimepona kabisa...Hivi jamani vidonda vya tumbo vinatibika kwa dawa gani, nina ndugu yangu katumia dawa za hospital lakini hajapona. Kwa yeyote anaefaham dawa ya huu ugonjwa tafadhari
Bongo sihami ng'oo
Mimi binafsi sijwahi kuugua huo ugonjwa. Ni experience ya watu niliowaona tu.Ni dawa ipi ya asili ambayo unatumia mkuu? Siwezi namimi kuipata?
Inawezekana niamini, kama unaweza niibobo ukishndwa basi.Habari wanajukwaa, naomba kwa aliyewahi kuwa na vidonda vya tumbo akatibiwa na kupona tafadhal atusaidie alitumia dawa gan,hospital gan au kwa mtaalam gani ili nasisi tunufaike. Natanguliza shukran
Mkuu baadhi ya mchanganyiko wa dawa hapo nimeshatumia ila badoPEPTIC ULCERS DISEASE (P.U.D)
TYPES
1.Gastric Ulcer (G.U).
2.Duodenal Ulcer (D.U).
CAUSES
■Over 95%
[emoji830]Bacteria-Helicobactor pylori
[emoji830]NSAIDS eg Aspirin.
■Less than 5%
[emoji830]Pancreatic tumor secretions.
[emoji830]Uknown.
MEDICATIONS
●Proton Pump Inhibitors (P.P.I.s).
Omeprazole 20mg.
Pantoprazole 40mg.
Lansoprazole 30mg.
Rabeprazole 20mg
INDICATION
Duodenal Ulcers.
Gastric Ulcers.
Maintenance of GERD-Gastroesophageal reflux disease.
Erosive Esophagitis.
●H.pylori eradication
1. PPI+Amoxicillin+Clarithromycin
2.PPI+Amoxicillin+Clarithromycin+Metronidazole
3.PPI+Clarithromycin+Tinidazole
Examples;
A B C
Rabeprazole20mg+Amoxicillin1000mg+Clarithromycin 500mg
HELIGO KIT for H.pylori
A B C
Tinidazole500mg+Clarithromycin250mg+Lansoprazole30mg
BD for 7 Days.
Then Lansoprazole 30mg OD for 4 weeks.
●H2- RECEPTOR ANTAGONIST (H2RA).
Cimetidine 400mg (p.o)BD or 800mg nocte.
Ranitidine 150mg (p.o)BD or 300mg nocte.
Famotidine 20mg (p.o) BD or 40mg nocte.
Duration;
12 weeks for Gastric Ulcers(GU).
8 weeks forDuodenal Ulcers(DU).
●ANTACIDS
Sucralfate 1g(p.o)QID
Sucrafil suspension.
Relcel gel suspension
Mucogel suspension
Entacyd plus Tabs & suspension.
●MUCOSAL PROTECTIVE AGENTS
Prevent ulcers in patients on NSAIDs
misoprostol 200mcg QID
KAMA UKO ARUSHA NENDA PALE HIGH WAY LABORATORY WATAPIMA DAMU KAMA UNA MDUDU ANAITWA PYLORI WATAKUPA DAWA YA MAJI NA VIDONGE VYA SIKU 30. MIMI NINA MIEZI KADHAA TATIZO HALIJAJIRUDIA TOKEA NITUMIE HIYO DOZIHabari wanajukwaa, naomba kwa aliyewahi kuwa na vidonda vya tumbo akatibiwa na kupona tafadhal atusaidie alitumia dawa gan,hospital gan au kwa mtaalam gani ili nasisi tunufaike. Natanguliza shukran
Kweli? Unakunywa baada ya muda gani?tumia kikombe kimoja cha maj ya vuguvugu yalochanganywa na alovera kwa wiki mbili n kila siku
tatizo utaliskia kwa wenzanko
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Mimi binafsi sijwahi kuugua huo ugonjwa. Ni experience ya watu niliowaona tu.
Kule Mwanza kuna mtu alinipa ushuhuda kapona ulcers kwa kula pilipili. Very awkward lakini anasema alikua anaumwa sana ila mwishowe alipona.
Litawaka moto lkn atapona[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Asee unataka kumuua mwenzako kirahisi hivi? Pilipili hii ninayoifahamu au? Kama ndio yenyewe wala asithubutu kabisaaa!! Tumbo litawaka moto si kawaida
Npo dar mkuuKAMA UKO ARUSHA NENDA PALE HIGH WAY LABORATORY WATAPIMA DAMU KAMA UNA MDUDU ANAITWA PYLORI WATAKUPA DAWA YA MAJI NA VIDONGE VYA SIKU 30. MIMI NINA MIEZI KADHAA TATIZO HALIJAJIRUDIA TOKEA NITUMIE HIYO DOZI
Kia Dar sijui ila capo nilipokuagizia ni "laboratory" wana kipimo cha kucheki PyloriNpo dar mkuu
Mheshimiwa kweliii ?Namshukuru sana huyu aliyeleta hii mada vilinitesa sana huyo h. Pylori nilitumia vitunguu saumu kama maelekezo yake yalivyo ameisha siku ya kwanza acid ilikuwa nyingi kidogo niache watu wakanipa moyo nikaendelea nipo fresh now
Hivyo vitu vya Acid ni kama vp kiongozi, hebu nitajie aisee maana imefikia mpaka kiungulia kwenye kooVidonda vya tumbo havisababishwi na kile unachokula bali kile kinachokula wewe hivyo tafadhali msaidieni kufaham ni nini kinamla?anawaza nini,na kwakua ni mda mrefu sasa atumie maziwa wengine wanasisitiza ya mbuzi na kupunguza vitu vya acid kwakua tayari kuna michubuko,asante
Ahsant mkuuPole sana Dawa ya kiungulia chukuwa Kijiko 1 kidogo cha Magadi soda chapa ya Simba (Bicabonate of Soda) tia ndani ya glasi ya maji ya koroga vizuri ipate kuchanganyika vizuri kisha hapo hapo kunywa utapona.Ikiwa bado unayo maradhi mengine nitafute kwa wakati wako.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
View attachment 858375