Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ni dawa ipi ya asili ambayo unatumia mkuu? Siwezi namimi kuipata?
Mimi binafsi sijwahi kuugua huo ugonjwa. Ni experience ya watu niliowaona tu.

Kule Mwanza kuna mtu alinipa ushuhuda kapona ulcers kwa kula pilipili. Very awkward lakini anasema alikua anaumwa sana ila mwishowe alipona.
 
Shukran sana mkuu sulayman, ila shida ni kwamba izo dawa ulizozitaja tayari nimeshatumia lakini sikupata nafuu yeyote
 
Shukran sana mkuu sulayman, lakini shida ni kwamba izo dawa ulizozitaja nimeshatumia lakini sikupata nafuu yeyote
 
Habari wanajukwaa, naomba kwa aliyewahi kuwa na vidonda vya tumbo akatibiwa na kupona tafadhal atusaidie alitumia dawa gan,hospital gan au kwa mtaalam gani ili nasisi tunufaike. Natanguliza shukran
Inawezekana niamini, kama unaweza niibobo ukishndwa basi.
 
PEPTIC ULCERS DISEASE (P.U.D)

TYPES
1.Gastric Ulcer (G.U).
2.Duodenal Ulcer (D.U).

CAUSES
■Over 95%
▪Bacteria-Helicobactor pylori
▪NSAIDS eg Aspirin.
■Less than 5%
▪Pancreatic tumor secretions.
▪Uknown.

MEDICATIONS
●Proton Pump Inhibitors (P.P.I.s).
Omeprazole 20mg.
Pantoprazole 40mg.
Lansoprazole 30mg.
Rabeprazole 20mg

INDICATION
Duodenal Ulcers.
Gastric Ulcers.
Maintenance of GERD-Gastroesophageal reflux disease.
Erosive Esophagitis.

●H.pylori eradication
1. PPI+Amoxicillin+Clarithromycin
2.PPI+Amoxicillin+Clarithromycin+Metronidazole
3.PPI+Clarithromycin+Tinidazole
Examples;
A B C
Rabeprazole20mg+Amoxicillin1000mg+Clarithromycin 500mg
HELIGO KIT for H.pylori
A B C
Tinidazole500mg+Clarithromycin250mg+Lansoprazole30mg
BD for 7 Days.
Then Lansoprazole 30mg OD for 4 weeks.

●H2- RECEPTOR ANTAGONIST (H2RA).
Cimetidine 400mg (p.o)BD or 800mg nocte.
Ranitidine 150mg (p.o)BD or 300mg nocte.
Famotidine 20mg (p.o) BD or 40mg nocte.
Duration;
12 weeks for Gastric Ulcers(GU).
8 weeks forDuodenal Ulcers(DU).

●ANTACIDS
Sucralfate 1g(p.o)QID
Sucrafil suspension.
Relcel gel suspension
Mucogel suspension
Entacyd plus Tabs & suspension.

●MUCOSAL PROTECTIVE AGENTS
Prevent ulcers in patients on NSAIDs
misoprostol 200mcg QID
 
PEPTIC ULCERS DISEASE (P.U.D)

TYPES
1.Gastric Ulcer (G.U).
2.Duodenal Ulcer (D.U).

CAUSES
■Over 95%
[emoji830]Bacteria-Helicobactor pylori
[emoji830]NSAIDS eg Aspirin.
■Less than 5%
[emoji830]Pancreatic tumor secretions.
[emoji830]Uknown.

MEDICATIONS
●Proton Pump Inhibitors (P.P.I.s).
Omeprazole 20mg.
Pantoprazole 40mg.
Lansoprazole 30mg.
Rabeprazole 20mg

INDICATION
Duodenal Ulcers.
Gastric Ulcers.
Maintenance of GERD-Gastroesophageal reflux disease.
Erosive Esophagitis.

●H.pylori eradication
1. PPI+Amoxicillin+Clarithromycin
2.PPI+Amoxicillin+Clarithromycin+Metronidazole
3.PPI+Clarithromycin+Tinidazole
Examples;
A B C
Rabeprazole20mg+Amoxicillin1000mg+Clarithromycin 500mg
HELIGO KIT for H.pylori
A B C
Tinidazole500mg+Clarithromycin250mg+Lansoprazole30mg
BD for 7 Days.
Then Lansoprazole 30mg OD for 4 weeks.

●H2- RECEPTOR ANTAGONIST (H2RA).
Cimetidine 400mg (p.o)BD or 800mg nocte.
Ranitidine 150mg (p.o)BD or 300mg nocte.
Famotidine 20mg (p.o) BD or 40mg nocte.
Duration;
12 weeks for Gastric Ulcers(GU).
8 weeks forDuodenal Ulcers(DU).

●ANTACIDS
Sucralfate 1g(p.o)QID
Sucrafil suspension.
Relcel gel suspension
Mucogel suspension
Entacyd plus Tabs & suspension.

●MUCOSAL PROTECTIVE AGENTS
Prevent ulcers in patients on NSAIDs
misoprostol 200mcg QID
Mkuu baadhi ya mchanganyiko wa dawa hapo nimeshatumia ila bado
 
tumia kikombe kimoja cha maj ya vuguvugu yalochanganywa na alovera kwa wiki mbili n kila siku

tatizo utaliskia kwa wenzanko
 
Habari wanajukwaa, naomba kwa aliyewahi kuwa na vidonda vya tumbo akatibiwa na kupona tafadhal atusaidie alitumia dawa gan,hospital gan au kwa mtaalam gani ili nasisi tunufaike. Natanguliza shukran
KAMA UKO ARUSHA NENDA PALE HIGH WAY LABORATORY WATAPIMA DAMU KAMA UNA MDUDU ANAITWA PYLORI WATAKUPA DAWA YA MAJI NA VIDONGE VYA SIKU 30. MIMI NINA MIEZI KADHAA TATIZO HALIJAJIRUDIA TOKEA NITUMIE HIYO DOZI
 
Mimi binafsi sijwahi kuugua huo ugonjwa. Ni experience ya watu niliowaona tu.

Kule Mwanza kuna mtu alinipa ushuhuda kapona ulcers kwa kula pilipili. Very awkward lakini anasema alikua anaumwa sana ila mwishowe alipona.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Asee unataka kumuua mwenzako kirahisi hivi? Pilipili hii ninayoifahamu au? Kama ndio yenyewe wala asithubutu kabisaaa!! Tumbo litawaka moto si kawaida
 
KAMA UKO ARUSHA NENDA PALE HIGH WAY LABORATORY WATAPIMA DAMU KAMA UNA MDUDU ANAITWA PYLORI WATAKUPA DAWA YA MAJI NA VIDONGE VYA SIKU 30. MIMI NINA MIEZI KADHAA TATIZO HALIJAJIRUDIA TOKEA NITUMIE HIYO DOZI
Npo dar mkuu
 
Vidonda vya tumbo havisababishwi na kile unachokula bali kile kinachokula wewe hivyo tafadhali msaidieni kufaham ni nini kinamla?anawaza nini,na kwakua ni mda mrefu sasa atumie maziwa wengine wanasisitiza ya mbuzi na kupunguza vitu vya acid kwakua tayari kuna michubuko,asante
Hivyo vitu vya Acid ni kama vp kiongozi, hebu nitajie aisee maana imefikia mpaka kiungulia kwenye koo
 
Pole sana Dawa ya kiungulia chukuwa Kijiko 1 kidogo cha Magadi soda chapa ya Simba (Bicabonate of Soda) tia ndani ya glasi ya maji ya koroga vizuri ipate kuchanganyika vizuri kisha hapo hapo kunywa utapona.Ikiwa bado unayo maradhi mengine nitafute kwa wakati wako.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu

View attachment 858375
Ahsant mkuu
 
Back
Top Bottom