Msidanagnyike wana JF,vidonda vya tumbo mpaka sasa havina dawa,dawa zilizopo ni hupunguza uzalishaji wa acid tumboni ambayo ndo husababisha maumivu kwa kipindi cha mwaka mpaka miaka miwili,na katika kipindi hicho vidonda ndo huwa vinapata nafasi ya kupona naturally taratibu,ni baada ya muda huo acid itakapoanza kuzalishwa kwa njia ya kawaida inakuta vidonda vimeshapona.na katika kipindi hicho inabidi uache kunywa pombwe,vyakula vya acid na spies,mi nimekaa na vidonda kwa miaka mitano na nimefuata masharti hayo na napona sasa.HAKUNA DAWA YA ULCERS kwa maana ya ukitumia unapona kama unavyopona kidonda kilichopo mguuni.