Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

kama mwaka wa nne nasumbuka na ulcers nimezunguka hospital kibao nime tumia tiba mbadala lakini bado sijafanikiwa b saizi nazidi kuteseka kichwa kinauma kila mda uwezo wa kufikiria umepungua sana hasira zinaongezeka maumivu makali ya tumbo yanniuma sana natamani nihairishe hata masomo naomba ushauri wenu.

Ndugu pole.
Maziwa ni dawa nzuri pia.

Kuna kipimo kinawekwa mdomoni mwako then unahema kwa nguvu about 1 minute, baada ya hapo doctor anacheki vijidudu vilivyoko tumboni mwako. Kila mwanadamu anavyo hivi vijidudu, lakini vikizidi vinasababisha vidonda vya tumbo.
Sijui kama tz wanatoa hiki kipimo. Mimi niliona ughaibuni mtu akifanyiwa. Kiko simple sana, lakini kinatoa majibu ya uhakika.
Utaratibu wa nyumbani wa kupima bado si mzuri. So jaribu kuwaona wataalamu.

Pole sana
 
ahsante kwa ushauri wako lakini maziwa kutokana na ushauri wa madaktari wanasema yana sababisha majeraha zaidi ya vidonda vya tumbo.
 
pole kamanda! jambo la kwanza jitahidi kula chakula kabla hata ya kusikia njaa! pili punguza hasira. tatu, usile vyakula vyenye uchachu. nne, nunua asali mbichi LITA 1, kaanga choroko robo kilo na kisha zisage unga. halafu changanya asali yote na huo unga hadi vichanganyike kabisaa. weka kwenye chupa. utakuwa unakunywa kijiko kikubwa kimoja mara tatu kwa siku hadi itakapoisha yote. hapo mambo yatakuwa sawa sawa ndugu yangu na utawndelea ku-enjoy maisha. God bless you!
 
kama mwaka wa nne nasumbuka na ulcers nimezunguka hospital kibao nime tumia tiba mbadala lakini bado sijafanikiwa b saizi nazidi kuteseka kichwa kinauma kila mda uwezo wa kufikiria umepungua sana hasira zinaongezeka maumivu makali ya tumbo yanniuma sana natamani nihairishe hata masomo naomba ushauri wenu.
Awali ya yote pole sana.
Nadhani unahitaji msaada wa uchunguzi, zaidi ya matibabu kwa mujibu wa hali yako.
Inapaswa ithibitike vidonda hivyo ni vya wapi katika sehemu ya tumbo. Tumbo ni kubwa tofauti na neno moja la kiswali tumbo. Matibabu ya ulcer ya sehemu moja ni tofauti na na sehemu nyingine ya tumbo.

Mathalani vidonda katika utumbo wa juu(gastric) huwa na maumivu wakati wa njaa, na vile vya utumbo wa chini maumivu ni baada ya kula. Sasa unatakiwa ujue ni aina gani kabla ya kuanza kutumia dawa au ushauri mbadala.

Lakini pia maumivu ya tumbo ni zaidi ya ulcer unayoweza kuwa umeelezwa.
Maumivu yanaweza kuwa ni dalili ya tatizo lingine linalohitaji kuangaliwa kwa undani zaidi.
Kwa kuzingatia miaka 4 ya maumivu yasiyoonekana kuwa na unafuu nakushauri urudi katika hospitali na kuonana na MADAKTARI bingwa.
 
Ebwana pole sana mimi nilikuwa na hivyo vidonda vya tumbo nimeteseka sana mwaka mzima,nilienda pale hospital ya wachina sinza inaitwa SINO HOSPITAl nikapewa dawa.baada ya kumaliza dozi yao nikaongezea tena dawa inaitwa OMEPRAZOLE hii nilikuwa nakunywa kidonge kimoja asubuhi kabla sijala kitu,then baada ya saa moja ndio nakula chakula,nakwambia baada ya wiki 2 tu nilipona kabisa hadi leo story za vidonda vya tumbo nazisikia kwenye bomba tu,jaribu njia hiii pia mkuu itakusaidia.
 
Mkuu man julius Dawa ya vidonda vya tumbo tumia Dawa ya Hii ya Kienyeji - Ukiamka Asubuhi kabla ya kula kitu kojowa mkojo wako mwenyewe

kwa kipimo cha Glasi moja uwe unakunywa mkojo wako kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa Siku Saba kisha uende kupima hivyo

Vidonda vya Tumbo Vitapona na kukauka kabisa jaribu kutumia hiyo Dawa itakusaidia Sana.Tumia kisha unipe Feedback.
 
Last edited by a moderator:
Tumia Omeprazole kama alivyosema mdau hapo juu au cimetidine tabs kidonge kimoja baada ya chai na kimoja wakati wa kulala. Kunywa mfululizo at least for one month. Zingatia kuavoid acidic food, vyakula vyenye chumvi nyingi na vyenye sukari nyingi. Avoid coke kama Pepsi na cocacola, kama uzito mkubwa punguza. Jioni baada ya kula kaa angalau saa 1 ndo ulale, punguza mawazo na fanya mazoezi, punguza hasira. Ukizingatia haya vidonda vitatulia kabisa. Baada ya matumizi ya wiki moja waweza nipm nione unaendeleaje.
 
mmmh mkojo no way, mi pia vinanisumbua niko na dozi na najaribu masharti ila kwa mkojo naona kama ntatibu vidonda na kuamsha mental problem.
 
Napenda kuwajulisha wanajamii kuwa hapa kuna msaada tosha wa kuondoa kabisa tatizo la vidonda vya tumbo. Hizi ni products zilizoandaliwa kiasilia na zisizokuwa na madhara yoyote katika afya. Fuatilia maelezo yake hapa chini.

REISHI

Bidhaa hii inatokana na uyoga mwekundu unaotoka Asia ya mashariki, China, Japan. Uyoga(Ganoderma licidum) unaaminika sana Asia ya mashariki kuwa ni mmea ambao unawapa urefu wa maisha.

FAIDA YA REISHI

  • Kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Inapunguza kasi ya kuzeeka
  • Inaimarisha utendaji kazi wa moyo
  • Inaondoa uchovu mwilini
  • Inaimarisha ubongo,kumbukumbu na usikivu
  • Inatibu presha ya kushuka
  • Inatibu vidonda vya tumbo
  • Inatibu pumu, allegy
  • Inasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kukupa usingizi mzuri
  • Inapambana na maambukizi ya bacteria na fungus
  • Inasaidia mwili kujikinga na kansa
  • Inatibu matatizo ya candida

CA + FE + ZI PLUS

  • CA – Madini ya Chokaa
  • FE – Madini ya Chuma
  • ZI – Madini ya Zinki

FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA

  • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
  • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
  • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
  • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha

FAIDA ZA MADINI CHUMA

  • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
  • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
  • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
  • Huongeza nguvu mwilini

FAIDA ZA MADINI YA ZINKI

  • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
  • Inaimarisha milango ya fahamu
  • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
  • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
  • Inaondoa matatizo ya macho.

GOLDEN HYPHA

Bidhaa hii inatokana na uyoga wa njano na uyoga mweupe wa kawaida.

FAIDA ZA GOLDEN HYPHA


  • Inasaidia kujikinga na saratani(kansa)
  • Kuzuia kuenea kwa saratani(kansa) ya mwili
  • Kujenga upya mfumo wa kinga mwilini na kuuimarisha
  • Inaondoa madhara ya baadaye na matibabu ya kansa
  • Inaondoa uvimbe mwilini
  • Inatibu matatizo ya ini
  • Inaongeza ute ute tumboni, puani,machoni na ukeni
  • Kutibu matatizo ya ngozi
  • Kupambana na bacteria na virusi

Napenda kuwajulisha pia kama kuna mtu yeyote mwenye swali anaweza kunipigia kwa namba 0776491294 au kuniandikia kupitia ishealthy@hotmail.com
Gharama za REISHI ni Tsh 85000/- , CA+FE+ZI Plus ni 51000/- na GOLDEN HYPHA ni 72000/- tu
 

Attachments

  • GOLDEN HYPHA.jpg
    GOLDEN HYPHA.jpg
    16.2 KB · Views: 78
mmmh mkojo no way, mi pia vinanisumbua niko na dozi na najaribu masharti ila kwa mkojo naona kama ntatibu vidonda na kuamsha mental problem.
Mkuu.@kobonde Una uhakika unachosema Kuhusu mkojo? Hapo kwenye Rangi ya Blue unasema utaamsha Mental Problem kwa kunywa mkojo wako mwenyewe unajuwa unachokisema wewe lakini? unajuwa mkojo wako unatibu maradhi mengi sana katika mwili wako. Unajuwa mkojo wako wa asubuhi ni Dawa tosha kuliko vidonge? Wewe tumia hizo dawa za Hospitali usipopona utatumia mkojo wako mwenyewe kujibu vidonda vya tumbo.
 
naomba leo niwe msomaji tu ila nimpe pole julius na kama upo dar nenda pia pale mlimani city kabla ya tarehe 2.1.2013 kuna wauzaji wa madawa mbalimbali ya tiba mbadala wana dawa nzuri sana pamoja na ushauri na namna ya kuepuka vyakula vyenye acid..mungu atakusaidia.chukua ushauri wa mzizi na huyo jamaa wa sino china
 
Treat Peptic Ulcers naturally
Whole Foods Used to Treat Peptic Ulcers

pepticulcer.gif
Figure 1. Photograph of a peptic ulcer taken during an upper endoscopy. This ulcer is a "gastric ulcer" because it is located in the stomach.

Peptic ulcers can cause serve pain and burning sensations in the esophagus, stomach, and intestines. Sometimes peptic ulcers can cause nausea, irregular bowel movements, sharp pains, heartburn, indigestion, or even hunger pains believe it or not. However, you do not have to suffer from peptic ulcers nor do you need to take prescription drugs to help ease the symptoms. Believe it or not whole foods can be used to cure, treat, and even relieve peptic ulcers naturally, safely, and effectively.For those of you who do not no what peptic ulcers are they are sores inside the lining of the esophagus, stomach, and intestines. The sores are known as ulcers which are created by bacteria called helicobacter pylori. This bacteria disrupts and can sometimes destroy the mucosal lining of the digestive tract making it weak and thin which than makes the acid in our stomachs damaging to the lining of the digestive tract. Many people the most effective treatment for peptic ulcers are antibiotics, but little do they know that certain whole foods contain natural antibiotics in them that can help treat the ulcers.

One of the very best whole foods for peptic ulcers is pure organic natural honey. Honey contains natural antibacterial and antiviral properties to it that helps fight off and kill the helicobacter pylori bacteria which means this is an effective natural treatment for peptic ulcers. Honey is also very soothing to the lining of the esophagus, stomach, and intestines and will help coat the ulcer sores. By coating the ulcer sores there is less burning sensations and other peptic symptoms. Honey has works as an antiseptic and anti-inflammatory which means it help cleanse the painful ulcer sores and relief the inflammation and swelling they are causing in the lining of the digestive tract. One of the best honeys to take for treating peptic ulcers is Manuka honey. The best way to get the healing benefits of honey is by taking 2 to 3 tablespoon of it a day by mouth.
Garlic is another excellent whole food to use for treating peptic ulcers believe it or not. Garlic contains natural antibacterial and antiviral properties to it which also help fight off and destroy the harmful bacteria that causes peptic ulcers. Sometime garlic has been known to help completely cure ulcers when used with other whole foods because it is so potent and full of antioxidants that help heal and protect the body from
infections such as peptic ulcers. The best way to get the healing benefits of garlic is by eating 3 to 4 cloves a day in a meal or alone with a tablespoon of two of honey. I find garlic to be more effective when it is chopped up and mixed together with a couple tablespoons of honey.

Another fabulous whole food to eat for treating and relieving peptic ulcers is cabbage. Cabbage contains potent substances in it such as amino acids, L-glutamine, and Gefarnate. These substances help protect the lining of the digestive tract so the ulcers can heal and new ones can be prevented. They also help increase the mucus production in the stomach which helps coat and protect the ulcers that have already formed on the lining of the stomach so they do not become worse and have a chance to heal. The best way to get cabbage into your diet to help heal and treat your peptic ulcers is by eating 2 to 3 cups of raw cabbage a day with a salad or meal. If you don't like eating raw cabbage you can always drink a couple of glass of raw cabbage juice a day and that will do the trick as well.

Yogurt and cottage cheese are other whole foods that helps treat and heal peptic ulcer. The reason yogurt is so helpful with treating and healing peptic ulcers is because it contains loads of healthy amounts of good bacteria that help fight off and kill the helicobacter pylori bacteria . Yogurt and cottage cheese can also help coat the ulcers in the stomach which also helps soothe them from that ugly burning sensation and other painful symptoms. Eating 1 to 2 cups of organic natural yogurt a day with live active cultures will do the trick with helping to relieve and treat peptic ulcers.

Last but not least the famous plantain fruit is an excellent whole food for treating and soothing peptic ulcers. Plantains contain starches that help soothe, coat, and relieve the inflammation caused by peptic ulcers. Plantains even contain antibacterial properties to it that can help fight off that nasty bacteria that cause the peptic ulcers. The best way to get the healing benefits from the plantain is by eating 1 to 2 raw pieces of this fruit a day, but whatever you do, do not eat them cooked or baked because than they will aggravate and make the peptic ulcers worse.

So there you have it! A handful of whole food that can help treat, relieve, and soothe peptic ulcers. I do help this helps several of you out there suffering from peptic ulcers find away to treat yours naturally, safely, and effectively. I wish you all the best at getting well and feeling your best soon.


 
tumia triple therapy kwa siku kumi na nne km ifuatavyo
1.tabs omeprazole 20mg bd x kwa siku 14.
2.caps amoxycillin 1g bd kwa siku 14.
3.tabs clarithromycin 500mg bd kwa siku 14

hlf zikiisha hizo siku 14 endelea kutumia hiyo omeprazole kwa wiki 2 zaidi
epuka kukaa na njaa muda mrefu ,kula vyakula vya jamii yenye acid ,epuka msongo wa mawazo/stress ,kama unavuta sigara punguza au acha kabisa ,km unakunywa pombe punguza au acha kabisa na zaidi epuka dawa ya maumivu jamii ya NSAIDS km vile asprin ,diclofenac, diclopar n.k.
km ukipata maumivu sana unaweza kunywa acetaminophine ,paracetamol au tramadol badala ya hizo hapo juu
 
tumia triple therapy kwa siku kumi na nne km ifuatavyo
1.tabs omeprazole 20mg bd x kwa siku 14.
2.caps amoxycillin 1g bd kwa siku 14.
3.tabs clarithromycin 500mg bd kwa siku 14

hlf zikiisha hizo siku 14 endelea kutumia hiyo omeprazole kwa wiki 2 zaidi
epuka kukaa na njaa muda mrefu ,kula vyakula vya jamii yenye acid ,epuka msongo wa mawazo/stress ,kama unavuta sigara punguza au acha kabisa ,km unakunywa pombe punguza au acha kabisa na zaidi epuka dawa ya maumivu jamii ya NSAIDS km vile asprin ,diclofenac, diclopar n.k.
km ukipata maumivu sana unaweza kunywa acetaminophine ,paracetamol au tramadol badala ya hizo hapo juu

asante xaana ngoja nkajarbu coz hata mwenyewe ni mwathirika wa vidonda vya 2mbo, But Kula karanga Mbichi au zlzokaangwa kwa mwenye vdonda vya 2mbo kuna madhara yeyote?
 
Lusajo Kyejo Waeleze wewe ndio labda watamini wanafikiri mimi ninawadanganya kuwaMkojo wako mwenyewe unatibu Maradhi ya Vidonda vya Tumbo? wanafikiri ninasema maneno ya uongo jaribu kuwaeleza wewe labda wataelewa vizuri asante sana ndugu Lusajo Kyejo

Jamani sasa hivi Dunia ni kijiji, ingia kwenye google, Andika Urine remedy, majibu utapata mengi ajabu, je wote hao waongo, tusiwe wavivu kutafiti. Nawakilisha.
 
Ndizi zitakuwa ni mbivu sio ndizi mbichi, na Maziwa ya Ng'ombe fresh sio maziwa ya dukani ya chupa hayafai. lakini hii dawa alizotoa mkuu mshihiri zinasaidia kupunguza makali

ya Maradhi ya Vidonda vya Tumbo hazitibu mkuu Las Mas Bobos inayotibu Maradhi ya vidonda vya tumbo ni

mkojo wako mwenyewe unapoamka Asubuhi kinga mkojo wako mwenyewe kunywa kwa muda wa siku 10

nenda kamuone Daktari akakupime utaona huna tena vidonda vya tumbo unakula chakula chochote kile pasipo

na miiko yoyote jaribu ukiweza fanya mkuu niamini Dawa hii imewasaidia watu wengi tu.

asante saana kwa msaada wako me ni mmoja wa waathirika wa vidonda vya tumbo nmejaribu dawa aina mbal mbal lakin cjapata nafuu na SASA NATAKA NIjaribu kutumia hiyo DAWA ULIYOTUAMBIA bt TATZO ni kwamba cfahamu huo MKOJO lazma ufkie kiac gan,HEBU FUNGUKA BAC KUHUSÚ HLO IL KESHO nianze kunywa mkojo wangu,pia nltaka kujua kama kutakuwa na harufu yeyote mdomon baada ya kunywa?
 
Last edited by a moderator:
asante saana kwa msaada wako me ni mmoja wa waathirika wa vidonda vya tumbo nmejaribu dawa aina mbal mbal lakin cjapata nafuu na SASA NATAKA NIjaribu kutumia hiyo DAWA ULIYOTUAMBIA bt TATZO ni kwamba cfahamu huo MKOJO lazma ufkie kiac gan,HEBU FUNGUKA BAC KUHUSÚ HLO IL KESHO nianze kunywa mkojo wangu,pia nltaka kujua kama kutakuwa na harufu yeyote mdomon baada ya kunywa?
Mkuu HardMartin Unapo amka asubuhi kabla ya kula kitu kinga mkojo wako mwenyewe kipimo cha glasi moja kila siku kunywa kwa muda siku 7 kisha uje unipe feeback.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom