G12
Senior Member
- Aug 31, 2012
- 156
- 51
kama mwaka wa nne nasumbuka na ulcers nimezunguka hospital kibao nime tumia tiba mbadala lakini bado sijafanikiwa b saizi nazidi kuteseka kichwa kinauma kila mda uwezo wa kufikiria umepungua sana hasira zinaongezeka maumivu makali ya tumbo yanniuma sana natamani nihairishe hata masomo naomba ushauri wenu.
Ndugu pole.
Maziwa ni dawa nzuri pia.
Kuna kipimo kinawekwa mdomoni mwako then unahema kwa nguvu about 1 minute, baada ya hapo doctor anacheki vijidudu vilivyoko tumboni mwako. Kila mwanadamu anavyo hivi vijidudu, lakini vikizidi vinasababisha vidonda vya tumbo.
Sijui kama tz wanatoa hiki kipimo. Mimi niliona ughaibuni mtu akifanyiwa. Kiko simple sana, lakini kinatoa majibu ya uhakika.
Utaratibu wa nyumbani wa kupima bado si mzuri. So jaribu kuwaona wataalamu.
Pole sana