Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Sasa dokta MziziMkavu hiyo dozi ya maji ya uvuguvugu mbona kali...labda unihimize kunywa maji kwa wingi.
Nimeenda kupima typhoid leo nimeambiwa sina so nimekubali tu hizi reaction ni za malaria.
Natumia duocotecxin nimeanza leo.
Tuombeane uzima.
 
Last edited by a moderator:
Nunua pia unga wa majani ya mlonge tumia kwenye kinywaji ni njema sana mimi ndio sehemu ya chakula yangu. Jaribu uje toa feedback

Bw. ngoshwe hayo majani nikienda tu sokoni ntayapata bila shida au yana jina lake la kiswahili??!
 
Last edited by a moderator:
Pata dawa kwa ajili ya kutibu vidonda vya tumbo
Dawa hizi zinatengenezwa kwa asili Kabila na hazing side effect Kwenye mwili aw binadamu pia Kama unatatizo la gas au kutopata choo inakusaidia kupunguza na miso kumaliza tatizo.
Kwa mawasiliano tupigie
0654806381
Au tuandikie rjoseph433@gmail.com
 
Hii mutu nahisi nataka chesea akili yetu,sijui ni muswawili ya wapi?nasema nausa dawa,hapana naandika jina ya dawa na jisi nafanya kazi ili dokita muzizi mukavu akuje aseme kama dawa musuli au apana musuli,yeye naweka namba simu tu, nnani napigia wewe?
 
Mchanganyiko wa dawa hizi unaondoa tatizo la vidonda Kabila Aloe+spirulina+Golden Oyster
Spirulina Nutrition composition: Per soft capsule (1000mg) contains 460mg spirulina platensis Product Characteristics Nutritional ingredient of 1g spirulina is equivalent to the sum of the nutrition of 1000 g of all kinds of vegetables or fruits.Raw materials of spirulina are selected from Sanya pollution-free mariculture base, dynamic cultivation, sunshine and excellent quality, rich nutrition. Without hormone, essence, synthetic pigment and preservatives Main Efficacy Original immune regulation ability, offer abundant and balanced nutrition for the crowd of malnutrition, recuperation of after illness etc; Spirulina contains extremely abundant iron and chlorophyll, has significant effect on anaemia; Regulate blood fat, reduce the amount of cholesterol in human body and thus can lower hypertension and prevent heart disease; Stimulate the synthesis of prostate, prevent and cure male prostatosis, regulate many kinds of physiological functions. Applicable Group Crowd of malnutrition, after illness and postpartum; Persons of weaker function of intestines and stomach, worse absorbability; Crowd of long-term working before computer, resist radiation;Persons who are not healed of traumatism or sunscald; Persons of diabetes, and high blood pressure

Aloe
Nutrition composition: Two soft capsules (1000mg) contain 200mg aloe powder, 20mg aloin, 140mg xylo-oligosaccharide
Product Characteristics

Choose high-quality aloe carefully, every two pills of aloe soft capsule offer barbaloin 20mg, equivalent to 20000mg first-class American fresh Aloe barbadensis Miller mesophyll;

Especially add Xyloolgosaccharides, combining discharge and nourishing, nourish intestines ecologically;

Do not contain compositions of hormone and those causing diarrhea.

Main Efficacy

·Loosening bowel to relieve constipation, discharge the endotoxin of body effectively, regulate endocrine;

Care skin, promote skin metabolism, make skin keeping sufficient moisture, prevent dark sore, remove ecchymosest, and can prevent the sunshine ultraviolet ray from injuring the skin;

Resist ulcer, resist inflammation function, improve immunity, antitumor, inhibit the growth ability of unusual cells;

Facilitate the wound to heal, sunburn, scald, burn.

Applicable Group:

Persons of weaker function of intestines and stomach and constipation;

patients of papule, acne;

Persons who are not healed of traumatism or persons of sunburning and scalding;

·Women beautifying.
 
Feedback:
Baada ya kupima malaria, choo na typhoid na kukutwa na malaria peke yake ikanibidi nianze dozi ya malaria.
Kwa kuwa nina alergy na sulphur nikaambiwa nitumie duo cotecxin 3/3/3. Nilianza dozi jumapili usiku.
Sasa effect kubwa nnayoipata ni kuumwa kichwa. Yani kinagonga hasa.
Ilinibidi kuwa natumia diclopar usiku lasivyo nisingeweza kulala. Sasa shida ni mpaka leo Jumamosi bado kichwa kinauma na dozi nilimaliza tangu jumanne usiku.
Could there be something wrong? Kichwa kinauma sana karibu na macho.
 
Dr. MziziMkavu dr. Riwa jamani dawa ya kushusha homa ni ipi??!
Yani mwili una moto afu nasikia baridi mbaya. Nimeenda pharmacy wananambia nisiwe na wasiwasi ni effect za kunywa dawa za malaria bila panadol.
Apa nashindia diclopar tu si nitakua addict? Nikiacha kichwa kinauma.
 
Last edited by a moderator:
Dr. MziziMkavu dr. Riwa jamani dawa ya kushusha homa ni ipi??!
Yani mwili una moto afu nasikia baridi mbaya. Nimeenda pharmacy wananambia nisiwe na wasiwasi ni effect za kunywa dawa za malaria bila panadol.
Apa nashindia diclopar tu si nitakua addict? Nikiacha kichwa kinauma.
Mkuu Mentor

UGONJWA WA MALARIA:



Kila Tiba kati ya zifuatazo ni yenye kujitegemea.Chagua iliyo rahisi kwako.Isipokufaa ndipo uchague nyengine

TIBA 1
😛AKANGA (Fivi)

Chukua 100grm za pakanga chemsha kwenye lita moja na robo ya maji (1250ml).
Chemsha ili ibaki lita moja kamili.
Kunywa ujazo wa kikombe kimoja (200ml) kutwa mara mbili (1×2) hadi dawa ishe.

TIBA 2
:KARUKARIYAT

Matayarisho na matumizi ni kama tiba no.1 ya malaria.

TIBA 3
:ZANDU

Chukua zandu kijiko kimoja (5ml) mpaka viwili (10ml) tia kwenye glasi moja (250ml) ya maji ya vuguvugu.
Kunywa kutwa mara tatu (1×3 ) kwa muda wa siku (7-15).




Kunywa maji mengi ya uvuguvugu yatakusaidia kushusha hilo joto lako na kuondosha baridi unayoipata pole sana.
 
jaman meza paracetamol 1g mara tatu kaka, na vp ulitafuta dawa za typhoid. Make nashangaa nlikushauri uanze hukuanza.
Pole sana kaka. Na ulitumia dawa gan za malaria
 
jaman meza paracetamol 1g mara tatu kaka, na vp ulitafuta dawa za typhoid. Make nashangaa nlikushauri uanze hukuanza.
Pole sana kaka. Na ulitumia dawa gan za malaria

Paracetamol nlitafuta jana nkakosa..but usijali homa imeisha na kesho narudi kazini.

Kuhusu typhoid nilienda kupima sikukutwa nayo.

Nilitumia duo cotecxin...ni balaa.
 
Binti yangu wa umri wa miaka 15 amepimwa hosptalini na kukutwa na vidonda vya tumbo baada ya kuumwa tumbo.Mama yake mzazi naye tumbo lilikuwa linajaa gesi alipopimwa akakutwa na vidonda vya tumbo,mdogo wake ambaye ni shemeji yangu naye amegunduliwa kuwa na vidonda vya tumbo baba mdogo wa mke wangu anavidonda vya tumbo.mimi mwenyewe nilipopimwa nilikutwa na vidonda vya tumbo baada ya tumbo kuanza kujaa gesi na kunguruma sana kuharisha kuchoka bila kufanya kazi yoyote na miguu kufa ganzi ila tumbo huwa haliumi.japo kuwa kwa sasa nimepata nafuu baada ya kutumia dawa mbalimbali kutokana na ushauri nilioupata kutoka kwa watu mbalimbali ikiwa ni pamoja na wale wa jf ila siwezi kujuwa ni dawa gani iliyonifanya nikapata nafuu kwa vile nilitumia dawa nyingi sana tofauti tofauti.Je huu ugonjwa ni wa kuambukizana au ni wakurithishana?ni fanyeje ili kuumaliza huu ugonjwa ili usiendelee kutesa familia yangu?.
 
Pole sana mkuu.
>hakuna kurithishana wala kuambukizana kwa magonjwa ya tumbo.
>nadhan ni Tabia/mazingira mnayoishi ndiyo yanayopelekea kuugua ugonjwa sawa tena kwa watu wa familia moja ama mnaoishi mazingira yanayofanana.
>Magonjwa mengi ya tumbo husababishwa na uchafu ,mf:Typhod,Cholera,Amoeba,n.k
>magonjwa haya hata ukitumia dawa ya namna gani,bila ya kuwa msafi utajisumbua bure.
>Lakini pia kuna magonjwa kama vile Ulcers/vidonda vya tumbo. Huu husababishwa na vitu vingi mf:stress,tumbo kuwa tupu kwa muda mrefu,wadudu,n.k
>NINAAMINI KUWA MKIMUONA DAKTARI ALIYE BOBEA KUHUSU MAGONJWA YA TUMBO ATAWASAIDIA VIZURI ZAIDI
>ACHA KUTUMIA DAWA BILA KUPEWA USHAURI WA DAKTAR, NI HATAR.
 
Inaweza ikaambukizwa kwan kama ni intestinal ulcer inaweza kuambukizwa kwan kuna baadh ya bacteria ambao wana sababisha vidonda vya tumbo kama "H pyroli" C difficel ambao huambukizwa kwa njia ya chakula! Na matibabu yapo.
 
Inaweza ikaambukizwa kwan kama ni intestinal ulcer inaweza kuambukizwa kwan kuna baadh ya bacteria ambao wana sababisha vidonda vya tumbo kama "H pyroli" C difficel ambao huambukizwa kwa njia ya chakula! Na matibabu yapo.
ninaweza nikayapataje hayo matibabu?ni dawa gani inayoweza kuniondolea hilo tatizo hasa kwenye familia yangu hiyo.mana mimi binafsi maendeleo yangu siyo mabaya sana.
 
Mimi sio daktari, lakini ugonjwa huo siku hizi unatibika baada ya kugunduliwa chanzo chake ni bakteria anayeitwa 'pylori' Usishtuke sana mkuu fuatilia kwenye mahospitali utapata msaada. Zipo dawa kama 'netrogen' inadaiwa zinaponesha kabisa.
 
Back
Top Bottom